RealixT
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 1,547
- 2,751
Msiendekeze ujinga mnadumaza akili za wanawake from lower levelMwanaume kamili hawezi kumpenda mwanamke kwa kigezo cha kuangalia kipato cha mwanamke, hizo tabia waachie wanawake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msiendekeze ujinga mnadumaza akili za wanawake from lower levelMwanaume kamili hawezi kumpenda mwanamke kwa kigezo cha kuangalia kipato cha mwanamke, hizo tabia waachie wanawake
Unakua na mwanamke hata kufa unaogopa maana unajua kizazi chako kitageuka tafraniMkuu nshakuelewa mantiki yko[emoji41] ni kwamba haupendi unyonyaji cyo?
Sio awe na vile vyte alivyonavyo m/me ila atleast awe na backup fulan itakayomuwezesha kufill gap incase mumewe akiteleza kiainaKwa hio wote mnatakiwa muwe nacho au unamaanisha mfananeje nikiwa na Gari na wewe utembelee gari la kwako tukutane kwenye five star hotel
KbsaaUnakua na mwanamke hata kufa unaogopa maana unajua kizazi chako kitageuka tafrani
Mwanaume atakula kwa jasho hii ndo kanuni if you wish to go against it,you have crossed a red lineWakuu hii ishu ya kumuowa mwanamke masikini asiekuwa na kila kitu mnaichukuliaje, kuna wanaume wengine kama mimi kigezo cha sura na tako wala sikipi uzito.
Mimi ni mpambanaji na kiuchumi walau niko vizuri inakuwaje nioe mwanamke masikini? yaani siku anakuja kwangu anakuja na kabegi kake ka nguo tu.
eeeee kuna jela , noma sana , mimi nachojua pesa karatasiMwanamke akiwa na ;
1: Tako
2: Rangi ya andazi
3: Macho ya kurembua
4: Mguu na pale kwenye joint za goti kwa nyuma kueleweke
5:nywele za asili, ( siyo kipilipili)
6:kipochi manyoya chenye utelezi wa kutosha, joto na kufinyia kwa ndani
7: Tabia njema
Huo ni utajiri tosha tofauti na hapo achana nae atakurudisha nyuma
ambae hana kila kituMtoa mada mimi naomba kufahamishwa, 'mwanamke maskini' ni mwanamke gani kabla sijasema chochote tafadhali..!!
Acha ujinga imeandikwa na nani,na hii 50/50 imeandikwa kutoka wapi?Mwanaume atakula kwa jasho hii ndo kanuni if you wish to go against it,you have crossed a red line
Kwahiyo wewe una amini katika 50/50???Acha ujinga imeandikwa na nani,na hii 50/50 imeandikwa kutoka wapi?
Wanaume wengi tunahitaji amani na upendo nyumbani,mimi nikitoka kazini nawahi nyumbani maana wife ananipa amani na furaha kuliko kazini nikiwa nyumbani nasahau dunia nyingine hahahahKuna mwanamke ni masikini mwenye akili (mawazo na maono ya kimaendeleo) ila TU kakoswa support.
Mm upande wangu nitaoa anaenipa aman na fuhara swala la utajiri au umasikini sio kipaumbele sana
naipinga 50/50 .kwa sababu unamuoa fukara anaemiliki begi la lipstick tu baadae anakusumbua,wakati umehaso sana kufika mahali ulipo.ambapo nimekosoa nihapo ulipo dai mwanaume atakula kwa jasho.ndomana nikauliza andiko la 50/50 limetoka kwenye kitabu gani?..maana mwanamke masikini ni unyonyaji,unahangaika we ye anafika kula jasho lako hiyo haikubaliki nduguKwahiyo wewe una amini katika 50/50???
Oa tu chief ila atapojua mji apo ndipo utaelewa kwanini mbuzi alikua na mkia mfupiWakuu hii ishu ya kumuowa mwanamke masikini asiekuwa na kila kitu mnaichukuliaje, kuna wanaume wengine kama mimi kigezo cha sura na tako wala sikipi uzito.
Mimi ni mpambanaji na kiuchumi walau niko vizuri inakuwaje nioe mwanamke masikini? yaani siku anakuja kwangu anakuja na kabegi kake ka nguo tu.
Kwaiyo unahis ukioa tajiri siku mkiachana mtagawana had Mali zake ulizomkuta nazo? Ukiona tajiri jua awezi kosa mbinu ya kulinda Mali zake.naipinga 50/50 .kwa sababu unamuoa fukara anaemiliki begi la lipstick tu baadae anakusumbua,wakati umehaso sana kufika mahali ulipo.ambapo nimekosoa nihapo ulipo dai mwanaume atakula kwa jasho.ndomana nikauliza andiko la 50/50 limetoka kwenye kitabu gani?..maana mwanamke masikini ni unyonyaji,unahangaika we ye anafika kula jasho lako hiyo haikubaliki ndugu