Kuoa mwanamke masikini

Ngoja siku akiingia ndio atajua anaitaji ambacho alikuwa hakifikirii
 
Kwaiyo unahis ukioa tajiri siku mkiachana mtagawana had Mali zake ulizomkuta nazo? Ukiona tajiri jua awezi kosa mbinu ya kulinda Mali zake.
freshi ndo kila mtu atatumia zake,umasikini kwanza nilaana,ukioa masikini lazima kizazi chako kitarithi chembe chembe za kimasikini kutoka kwenye uko wa mama yao
 
Ubaya pisi masikini na zenye vipengele ndo nyingi kinoma bongo me cha kukushauri mkuu gongelea msumari hapohapo hadi upate pisi yenye inajiweza... Hizi habari za atakuheshimu akiwa hajiwewezi zipuuze kwani heshima ya mtu inatokana na malezi... PISI ZENYE VIPENGELE ZIKIMBIE KAMA UKOMA
 
Pisi njaa kali sio pisi kali
 
Bado haujakua kijana una mengi ya kujitunza
 
Sawa amekusikia vipi ulishaacha ule mchezo wako wa kukaba nyoka?
 
Roho ya ubinafsi inakunyemelea.

Kama una mapenzi ya dhati kwa huyo mwanamke hilo sio swala la kufikiria.

Kuna kila dalili unaogopa majukumu ya ndoa.Na huo ni udhaifu kihisia kwa mwanaume.
 
Wanaume wengi tunahitaji amani na upendo nyumbani,mimi nikitoka kazini nawahi nyumbani maana wife ananipa amani na furaha kuliko kazini nikiwa nyumbani nasahau dunia nyingine hahahah
Anakupa amani ingawa ni masikini sana au sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…