Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Oa Firstborn uone cha Moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja siku akiingia ndio atajua anaitaji ambacho alikuwa hakifikiriinaipinga 50/50 .kwa sababu unamuoa fukara anaemiliki begi la lipstick tu baadae anakusumbua,wakati umehaso sana kufika mahali ulipo.ambapo nimekosoa nihapo ulipo dai mwanaume atakula kwa jasho.ndomana nikauliza andiko la 50/50 limetoka kwenye kitabu gani?..maana mwanamke masikini ni unyonyaji,unahangaika we ye anafika kula jasho lako hiyo haikubaliki ndugu
Tena firstborn ambaye wadogo zake ni wakiumeOa Firstborn uone cha Moto
Eeh bhan wanahamia kwako kula kulala tuTena firstborn ambaye wadogo zake ni wakiume
freshi ndo kila mtu atatumia zake,umasikini kwanza nilaana,ukioa masikini lazima kizazi chako kitarithi chembe chembe za kimasikini kutoka kwenye uko wa mama yaoKwaiyo unahis ukioa tajiri siku mkiachana mtagawana had Mali zake ulizomkuta nazo? Ukiona tajiri jua awezi kosa mbinu ya kulinda Mali zake.
Pisi njaa kali sio pisi kaliUbaya pisi masikini na zenye vipengele ndo nyingi kinoma bongo me cha kukushauri mkuu gongelea msumari hapohapo hadi upate pisi yenye inajiweza... Hizi habari za atakuheshimu akiwa hajiwewezi zipuuze kwani heshima ya mtu inatokana na malezi... PISI ZENYE VIPENGELE ZIKIMBIE KAMA UKOMA
Bado haujakua kijana una mengi ya kujitunzanaipinga 50/50 .kwa sababu unamuoa fukara anaemiliki begi la lipstick tu baadae anakusumbua,wakati umehaso sana kufika mahali ulipo.ambapo nimekosoa nihapo ulipo dai mwanaume atakula kwa jasho.ndomana nikauliza andiko la 50/50 limetoka kwenye kitabu gani?..maana mwanamke masikini ni unyonyaji,unahangaika we ye anafika kula jasho lako hiyo haikubaliki ndugu
Sawa amekusikia vipi ulishaacha ule mchezo wako wa kukaba nyoka?Ubaya pisi masikini na zenye vipengele ndo nyingi kinoma bongo me cha kukushauri mkuu gongelea msumari hapohapo hadi upate pisi yenye inajiweza... Hizi habari za atakuheshimu akiwa hajiwewezi zipuuze kwani heshima ya mtu inatokana na malezi... PISI ZENYE VIPENGELE ZIKIMBIE KAMA UKOMA
Sijakusoma??Sawa amekusikia vipi ulishaacha ule mchezo wako wa kukaba nyoka?
Unakutana na toto la namna hii, hana kazi; utakuwa na ujasiri wa kumkataa..Pisi njaa kali sio pisi kali
Ulishaacha ule mchezo wako wa kupandisha bendera na kuzishusha kwa kutumia mkono mmojaSijakusoma??
Eeh kwahy itabidi uwahi kurudi home mapema ili kumkanda Kanda kila idara mkuu😅😅👊Unakutana na toto la namna hii, hana kazi; utakuwa na ujasiri wa kumkataa..
View attachment 2707569
oooh unamaanisha punyeto kama sikosei mkuu... Je, ni kwanini umeuliza kana kwamba unanijua hivi? Je, unanijua?Ulishaacha ule mchezo wako wa kupandisha bendera na kuzishusha kwa kutumia mkono mmoja
Uchumi ndio umetufikisha hapa… watu tunaonana mizigo….
Ukweli ni kwamba japokua Una hela sasa hivi mtoa mada ulikulia tabu au ushawahi ku struggle na pesa ujanani, kuna kipindi ulikua uncertain na uchumi wako, that’s why Unaona uwe na uhusiano na mwanamke anaye offer security, pole sana insecurities zako zitakuletea mahusiano yasio na furaha au utabaki mwenyewe baada ya mahusiano kuvunjika, leo Unaoa mwanamke ana kazi/biashara nzuri akifukuzwa kazini, biashara ikifa ndoa inakufa!!! Ni chaguo lako lakini
Anakupa amani ingawa ni masikini sana au sio?Wanaume wengi tunahitaji amani na upendo nyumbani,mimi nikitoka kazini nawahi nyumbani maana wife ananipa amani na furaha kuliko kazini nikiwa nyumbani nasahau dunia nyingine hahahah
Yaweza ikawaoooh unamaanisha punyeto kama sikosei mkuu... Je, ni kwanini umeuliza kana kwamba unanijua hivi? Je, unanijua?