Kuoa mwanamke masikini

Kuoa mwanamke masikini

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
5,715
Reaction score
13,739
Wakuu hii ishu ya kumuowa mwanamke masikini asiekuwa na kila kitu mnaichukuliaje, kuna wanaume wengine kama mimi kigezo cha sura na tako wala sikipi uzito.

Mimi ni mpambanaji na kiuchumi walau niko vizuri inakuwaje nioe mwanamke masikini? yaani siku anakuja kwangu anakuja na kabegi kake ka nguo tu.
 
wakuu hii ishu ya kumuowa mwanamke masikini asiekuwa na kila kitu mnaichukuliaje, kuna wanaume wengine kama mimi kigezo cha sura na tako wala sikipi uzito.. mimi ni mpambanaji na kiuchumi walau niko vizuri inakuwaje niowe mwanamke masikini ?yaani siku anakuja kwangu anakuja na kabegi kake ka nguo tu.....
Wanaume tumebaki wachache mno!
 
C5B57B4F-CC4A-4498-86ED-D36364D9BD09.jpeg
 
........wengi wetu huwa tunadhani vigezo vibaya ktk kuchagua mwanamke ni shepu na sura tu, lakini pia wengi wetu tunadhani kwamba kuoa mwenye kazi au elimu kubwa ndo ujanja, wengi wetu huwa tunadhani taasisi ya ndoa inaendeshwa kidini ndio maana upendo ndani ya ndoa umekufa kwa sababu ya kuchaguana kwa itikadi za kidni, wengi wetu huwa tunadhani ndoa ni taasisi ya kiuchumi ndo maana upendo haupo tena coz watu wanachagua business partner badala ya love partner, wengi wetu hudhani.......endeleza comment hii kwa kuanza na neno wengi wetu hudhani.........
 
Mimi sioni shida ya umasikini wake ila tatizo linakuja kwenye familia yake kujiweka mabegani mwako.

Unamuoa yeye na familia yake nzima, uwasomeshe wadogo zake, watoto wa ndgu zake, uwajengee wazazi wake nk hilo ndo janga ila kama ni yeye tu mbona unammudu vizuri.
 
Back
Top Bottom