Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka aje kwako na nini bruh 😄Wakuu hii ishu ya kumuowa mwanamke masikini asiekuwa na kila kitu mnaichukuliaje, kuna wanaume wengine kama mimi kigezo cha sura na tako wala sikipi uzito.
Mimi ni mpambanaji na kiuchumi walau niko vizuri inakuwaje nioe mwanamke masikini? yaani siku anakuja kwangu anakuja na kabegi kake ka nguo tu.
Kwakweli 😃😃🙌Yah..! Kachumbari bila pilipili Ni fake[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
mwanamke hana kila kitu yaani pesa hana shule yenyewe hana.. ifikie muda na sisi tuweke vigezo vigumu
🤣🤣🤣🤭Una hoja mkuu usikilizwe.
Mimi sioni shida ya umasikini wake ila tatizo linakuja kwenye familia yake kujiweka mabegani mwako.
Unamuoa yeye na familia yake nzima, uwasomeshe wadogo zake, watoto wa ndgu zake, uwajengee wazazi wake nk hilo ndo janga ila kama ni yeye tu mbona unammudu vizuri.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
Tena hata hiko kibegi hatakiwi kuja nacho. Kila kitu hukohuko tutapataWakuu hii ishu ya kumuowa mwanamke masikini asiekuwa na kila kitu mnaichukuliaje, kuna wanaume wengine kama mimi kigezo cha sura na tako wala sikipi uzito.
Mimi ni mpambanaji na kiuchumi walau niko vizuri inakuwaje nioe mwanamke masikini? yaani siku anakuja kwangu anakuja na kabegi kake ka nguo tu.
🤣🤣🤣yaani siku anakuja kwangu anakuja na kabegi kake ka nguo tu.
Unaweka kikao unawaambia mimi sintohusika katika yafuatayo.Mimi sioni shida ya umasikini wake ila tatizo linakuja kwenye familia yake kujiweka mabegani mwako.
Unamuoa yeye na familia yake nzima, uwasomeshe wadogo zake, watoto wa ndgu zake, uwajengee wazazi wake nk hilo ndo janga ila kama ni yeye tu mbona unammudu vizuri.
No, nothing 🤣🤣🙌Vipi mkuu[emoji1]
No, nothing [emoji1787][emoji1787][emoji119]
Kweli kabisa mkuu, hilo linaboa na linakwamisha maendeleo binafsiUnaweka kikao unawaambia mimi sintohusika katika yafuatayo.
1. Kutumikia ukoo
2. Kuletea shida za pesa zisizo namwelekeo
3. Kuacha kufanya mambo ya msingi eti hela imetumika mahali nanikwenu kila siku .
4. Nipo katika kusaidia ujenzi wa nyumba ya wazazi na kuwafungulia biashara basi . Jingine bambaneni na hali zenu je nisingeoa kwenu ingekuwaje??
Usipokuwa na msimamo utafilisika na mke anatakukimbiaKweli kabisa mkuu, hilo linaboa na linakwamisha maendeleo binafsi
Kuna masikini wa mali na masikini wa maarifa....Mtoa mada mimi naomba kufahamishwa, 'mwanamke maskini' ni mwanamke gani kabla sijasema chochote tafadhali..!!
Mkuu nshakuelewa mantiki yko[emoji41] ni kwamba haupendi unyonyaji cyo?mwanamke hana kila kitu yaani pesa hana shule yenyewe hana.. ifikie muda na sisi tuweke vigezo vigumu