jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Sasa mkuu ulitaka kuhudumia kwenu na kwako tu na unataka mke wako hasihudumie kwao?Na akija, unaanza kuhudumia familia tatu(kwenu, kwao na hapo kwako).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mkuu ulitaka kuhudumia kwenu na kwako tu na unataka mke wako hasihudumie kwao?Na akija, unaanza kuhudumia familia tatu(kwenu, kwao na hapo kwako).
Mkuu kigezo cha utajiri kwa mwanamke sio cha msingi kwa kuwa huyo sio partner wako wa kibiashara bali ni partner wako wa maisha na wewe mwanaume ndiye unayepaswa kuhudumia familia. Kuangalia kigezo cha utajiri/umaskini wa mwanamke ni kukimbia majukumu yako. Acha hizo mkuu.Wakuu hii ishu ya kumuowa mwanamke masikini asiekuwa na kila kitu mnaichukuliaje, kuna wanaume wengine kama mimi kigezo cha sura na tako wala sikipi uzito.
Mimi ni mpambanaji na kiuchumi walau niko vizuri inakuwaje nioe mwanamke masikini? yaani siku anakuja kwangu anakuja na kabegi kake ka nguo tu.
Tatizo mnachanganya mila na dini hivi ni vitu tofauti. Kwa jamii zetu za kiafrica kila mtu ni mtafutaji, hakuna mwanamke wa kiafrika ambaye anakaa tu ndani aletewe. Kama ni shamba ni wote, baba atatangulia na mama anakuja baadae na chakula na kusaidia kidogo shughuli za shamba. Umasikini ni janga la kimataifa ndio maana kuna mkakati na malengo ya kidunia kuutokomeza kabisa.Mkuu hapo umeongea point sana. Shida Christian inapotoshwa Sana na wamagharibi Feminists Sana..!
Mpaka kutoa hoja hii,tayali shajifunza na nikafunzikaBado haujakua kijana una mengi ya kujitunza
mbona havutiiUnakutana na toto la namna hii, hana kazi; utakuwa na ujasiri wa kumkataa..
View attachment 2707569
Ata mimi zamani nilikuwa nasema, kula nyama kunaongeza sumu mwilini, kumbe nilikuwa sina uwezo wa kununua nyama 😀😀mbona havutii
Nimeukubari mdomo huo akianza kuifyonza mbo OUnakutana na toto la namna hii, hana kazi; utakuwa na ujasiri wa kumkataa..
View attachment 2707569
kabooooom!!!! nimemkumbuka le super mbebez rest in peace bro.
Mwanaume anatakiwa amfungulie mkewe biashara/ kampuniHii ni kwa wale tuliotokea familia za kawaida na tuna wanaume middle class tu sio matajiri.....
Aisee mwanamke mwenye watoto unawezaje kuenjoy maisha ya ndoa huku ukijua mumeo asipokuwepo huwezi fikia hata 50% ya maisha anayohudumia?
Pesa yangu iombwe isiombwe ila for as long as najua nna kipato changu binafsi ambacho kinaweza sitiri familia kichwa wa nyumba akipata changamoto (not necessarily death) basi hata majukumu ya kifamilia yanakua smooth.
Ewe mwanaume ambae ndo kwanza unatafuta maisha, ukiwa na mwanamke ambae chumvi mpaka akusubiri, kikoba mpaka abane hela ya matumizi utachelewa sana.
Maisha ya sasa hivi, baba pambania mambo makubwa makubwa kama ujenzi, family investments, bima za afya....
Mambo madogo madogo mama amalize kama unaona a too well off woman will hurt your ego.
[emoji419][emoji419][emoji419]Anayetakiwa kuwa tajiri wa mali ni mwanaume, mwanamke akishakuwa pisi kali huo ni utajiri tosha.
Wengi wetu tulikua hatujui kuhusu haya hadi tulivoipitia comment yako........wengi wetu huwa tunadhani vigezo vibayan ktk kuchagua mwanamke ni shepu na sura tu, lakini pia wengi wetu tunadhani kwamba kuoa mwenye kazi au elimu kubwa ndo ujanja, wengi wetu huwa tunadhani taasisi ya ndoa inaendeshwa kidini ndio maana ndo upendo ndani ya ndoa umekufa kwa sababu ya kuchaguana kwa itikadi za kidni, wengi wetu huwa tunadhani ndoa ni taasisi ya kiuchumi ndo maana upendo haupo tena coz watu wanachagua business partner badala ya love partner, wengi wetu hudhani.......endeleza comment hii kwa kuanza na neno wengi wetu hudhani.........
wakati unamchumbia hukujua kama hana kitu zaidi ya tako tu na mahips, tena we shukuru anatako na mahips wengine hawana hivo vitu ni hazina, acha kulalamika mtoto wa kiume tafta hela tunza mkeoWakuu hii ishu ya kumuowa mwanamke masikini asiekuwa na kila kitu mnaichukuliaje, kuna wanaume wengine kama mimi kigezo cha sura na tako wala sikipi uzito.
Mimi ni mpambanaji na kiuchumi walau niko vizuri inakuwaje nioe mwanamke masikini? yaani siku anakuja kwangu anakuja na kabegi kake ka nguo tu.
HALAFU BAADA YA KUFANYA YOTE HAYO ANAKUSALITI MCHANA KWEUPEMimi sioni shida ya umasikini wake ila tatizo linakuja kwenye familia yake kujiweka mabegani mwako.
Unamuoa yeye na familia yake nzima, uwasomeshe wadogo zake, watoto wa ndgu zake, uwajengee wazazi wake nk hilo ndo janga ila kama ni yeye tu mbona unammudu vizuri.