Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Wewe bado hujapenda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni rahisi kumfungulia biashara mtu ambae tayari alikua anajitumaMwanaume anatakiwa amfungulie mkewe biashara/ kampuni
Mwanaume atakula kwa jasho hii ndo kanuni if you wish to go against it,you have crossed a red line
nitaacha nini mkuuUkikua utaacha
Hujamuelewa wew na ht dhamira yke sio hyo, km unabisha muulizeUchumi ndio umetufikisha hapa… watu tunaonana mizigo….
Ukweli ni kwamba japokua Una hela sasa hivi mtoa mada ulikulia tabu au ushawahi ku struggle na pesa ujanani, kuna kipindi ulikua uncertain na uchumi wako, that’s why Unaona uwe na uhusiano na mwanamke anaye offer security, pole sana insecurities zako zitakuletea mahusiano yasio na furaha au utabaki mwenyewe baada ya mahusiano kuvunjika, leo Unaoa mwanamke ana kazi/biashara nzuri akifukuzwa kazini, biashara ikifa ndoa inakufa!!! Ni chaguo lako lakini
Huyo mwanamke unayempenda kwa udhati huo ukiyumba kdg tu utaisoma namba ndio utakapoona faida ya kujipendesha ili mradiRoho ya ubinafsi inakunyemelea.
Kama una mapenzi ya dhati kwa huyo mwanamke hilo sio swala la kufikiria.
Kuna kila dalili unaogopa majukumu ya ndoa.Na huo ni udhaifu kihisia kwa mwanaume.
Huo ni uwoga na negativity zako tu.Akikuacha kama wewe ulimpenda kwa dhati,its ok muache aende utakuwa umejifunza.Huyo mwanamke unayempenda kwa udhati huo ukiyumba kdg tu utaisoma namba ndio utakapoona faida ya kujipendesha ili mradi.
UmefikaKama humpendi muache mtoto wa watu
Ujinga mamboleo huoWanaotafuta mwanamke mwenye hela ni masikini, akitegemea mke naye achangie manunuzi ya unga na maharage; kwa imani zetu za kiarabu, mwanamke ni pambo la ndani hatakiwi kufanya kazi yoyote, zaidi ya kumkanda kanda mume, ndio maana Afghanistan wanalitekeleza hilo.
Mapema sana😃😃Umefika
Ngoja nikaangalie na kwingineko 😅nione nyayo zakoMapema sana😃😃
Hakuna uoga wala negativity yyte ni vile siishi kwa mazoea muhimu kujihami kbl hayajakukuta, uzur watu tuna experience ndio maana tunaomuunga mkono mleta mada hii letu ni moja,Huo ni uwoga na negativity zako tu.Akikuacha kama wewe ulimpenda kwa dhati,its ok muache aende utakuwa umejifunza.
I have an opposite experience for the same event.Hakuna uoga wala negativity yyte ni vile siishi kwa mazoea muhimu kujihami kbl hayajakukuta, uzur watu tuna experience ndio maana tunaomuunga mkono mleta mada hii letu ni moja,
Hahaha 😂😂😂Ngoja nikaangalie na kwingineko 😅nione nyayo zako
Bro ukiwa unajihami sana ndo maumivu huwa makubwa.Kikubwa mpende tu ila kwenye akili weka lolote linaweza kutokea kwahiyo ukishaandaa akili yako kwa lolote haina tatizo mbona.Wew endelea kujiamini mwsho uumie na ujasiri wako