Kuoa mwanamke masikini

Kuoa mwanamke masikini

Hivi nyie ambao mnasema mwanamke asiye na kitu...
Muda ambao mwanamke anasubiri neema ya kuanzisha familia kwahiyo anakua amekaa tu kula kulala?
Maana siku hizi watu wanaolewa 30+ huko sio kama zamani arranged marriage unajua kabisa lini na nani anakuweka ndani
 
Nenda na wakati,siku hizi hata TRA wakitangaza kazi,hawasemi ni kazi za wanaume tu,bali wanatangaza kazi kwa wanaume na wanawake,yaani wote wenye vigezo,waombe,pasipo kuangalia JINSI.Dunia yasasa,mwanamke anazaa kwa uchungu lakini pia anajishughulisha.Hakai tu nyumbani,mwanaume akatafute.
Kumbuka Rais wa nchi yetu pia ni mwanamke,anafanya kazi,analipwa,na familia yake inanufaika kwa ufanyaji kazi wake.Achana na mawazo ya zamani.
Mwanaume atakula kwa jasho hii ndo kanuni if you wish to go against it,you have crossed a red line
 
Uchumi ndio umetufikisha hapa… watu tunaonana mizigo….

Ukweli ni kwamba japokua Una hela sasa hivi mtoa mada ulikulia tabu au ushawahi ku struggle na pesa ujanani, kuna kipindi ulikua uncertain na uchumi wako, that’s why Unaona uwe na uhusiano na mwanamke anaye offer security, pole sana insecurities zako zitakuletea mahusiano yasio na furaha au utabaki mwenyewe baada ya mahusiano kuvunjika, leo Unaoa mwanamke ana kazi/biashara nzuri akifukuzwa kazini, biashara ikifa ndoa inakufa!!! Ni chaguo lako lakini
Hujamuelewa wew na ht dhamira yke sio hyo, km unabisha muulize
 
Roho ya ubinafsi inakunyemelea.

Kama una mapenzi ya dhati kwa huyo mwanamke hilo sio swala la kufikiria.

Kuna kila dalili unaogopa majukumu ya ndoa.Na huo ni udhaifu kihisia kwa mwanaume.
Huyo mwanamke unayempenda kwa udhati huo ukiyumba kdg tu utaisoma namba ndio utakapoona faida ya kujipendesha ili mradi
 
Huyo mwanamke unayempenda kwa udhati huo ukiyumba kdg tu utaisoma namba ndio utakapoona faida ya kujipendesha ili mradi.
Huo ni uwoga na negativity zako tu.Akikuacha kama wewe ulimpenda kwa dhati,its ok muache aende utakuwa umejifunza.
 
Wanaotafuta mwanamke mwenye hela ni masikini, akitegemea mke naye achangie manunuzi ya unga na maharage; kwa imani zetu za kiarabu, mwanamke ni pambo la ndani hatakiwi kufanya kazi yoyote, zaidi ya kumkanda kanda mume, ndio maana Afghanistan wanalitekeleza hilo.​
Ujinga mamboleo huo
 
Huo ni uwoga na negativity zako tu.Akikuacha kama wewe ulimpenda kwa dhati,its ok muache aende utakuwa umejifunza.
Hakuna uoga wala negativity yyte ni vile siishi kwa mazoea muhimu kujihami kbl hayajakukuta, uzur watu tuna experience ndio maana tunaomuunga mkono mleta mada hii letu ni moja,
 
Hakuna uoga wala negativity yyte ni vile siishi kwa mazoea muhimu kujihami kbl hayajakukuta, uzur watu tuna experience ndio maana tunaomuunga mkono mleta mada hii letu ni moja,
I have an opposite experience for the same event.
 
Kwa kwel,na sie inabid tuwawekee vigezo vizito

Sio anakuja na kibegi afu siku ya kuondoka, anaondoka na nyumba
 
Wew endelea kujiamini mwsho uumie na ujasiri wako
Bro ukiwa unajihami sana ndo maumivu huwa makubwa.Kikubwa mpende tu ila kwenye akili weka lolote linaweza kutokea kwahiyo ukishaandaa akili yako kwa lolote haina tatizo mbona.
 
Back
Top Bottom