Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kujiandaa kuoa mke wa mtu

Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kujiandaa kuoa mke wa mtu

Ndugu zangu.

Tuendelee kukumbushana kwamba kuoa mwanamke mwenye mtoto ( Single maza) ni kujiandaa kuoa mke wa mtu na siyo vinginevyo.

Hapa duniani mpaka mwanamke aamue kuzaa na wewe maana yake anakupenda na anataka awe na kumbukumbu yako pindi utakapotoweka machoni pake kwa namna yeyote iwe kifo au usaliti wa mapenzi ndiyo maana ni ngumu sana mwanamke kupindua meza kwa mwanaume aliyemzalisha hata iweje atarudi tuu kwa aliye anza kumzalisha na hata kama huyo aliyemzalisha amekufa hakika atamkumbuka mzazi mwezake daima na atampenda huyo mtoto mpaka upate picha jinsi anavyolipenda lijamaa lake walilo achana.

Vijana unapo panga kuoa mwanamke mwenye mtoto hakika ujue kabisa kuwa umepanga kuoa mke wa mtu na hakika mumewe atarudi muda wowote ule mshiriki kwa pamoja kumgegeda huyo bidada

Tahadhari : UKIOA SINGLE MAZA HAKIKISHA KABISA UNAKUBALIANA KU SHARE NA MWANAUME WAKE ALIYE MZALISHA NA KAMA HAUPO TEYARI EPUKA KABISA SINGLE MAZA KWA USALAMA WAKO.

EPUKA SINGLE MAZA ,KATAA NDOA IKIBIDI NYAPU NI RAHISI SANA KUPATA SASA HIVI
Naunga mkono hoja.
 
Wanaume wa siku hizi wamebaki wanaume suruali hakuna uanaume ndani yenu, kutwa kuchwa kuongelea habari za dada zenu single mothers, mara mnaogopa kuoa single mother mbona wanaume wa kuoa wapo hawana shida linapofika suala kuoa anaoa tu haijalishi ni single mother, hajazaa cha muhimu ni mwanamke ameona anamfaa na maisha yanasonga wanatengeneza familia fresh tu, sasa ukute hawa wa upinde kutupigia kelele humu! Na wengine mama zenu waliolewa na wanaume wengine wakiwa tayari ni masingo maza mkalelewa na step fathers na tupo tumewanyamazia tu
 
wanaume kamili huwa hawababaiki kabisa na mambo hayo, ispokua wanaume suruali,

vuta mke awae yote kazalishwa ama laa weka ndani na maisha yaendelee bila kutazama nyuma kwa wasiwasi, na kwa Neema na Baraka za Mungu utajikuta unaenjoy maisha hadi unajuta kwanini hamkujuana na kukutana mapema :pulpTRAVOLTA:
yees ni kweli kabisa 🤦‍♀️💃💃💃💃
 
Back
Top Bottom