Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kujiandaa kuoa mke wa mtu

Naunga mkono hoja.
 
Wanaume wa siku hizi wamebaki wanaume suruali hakuna uanaume ndani yenu, kutwa kuchwa kuongelea habari za dada zenu single mothers, mara mnaogopa kuoa single mother mbona wanaume wa kuoa wapo hawana shida linapofika suala kuoa anaoa tu haijalishi ni single mother, hajazaa cha muhimu ni mwanamke ameona anamfaa na maisha yanasonga wanatengeneza familia fresh tu, sasa ukute hawa wa upinde kutupigia kelele humu! Na wengine mama zenu waliolewa na wanaume wengine wakiwa tayari ni masingo maza mkalelewa na step fathers na tupo tumewanyamazia tu
 
yees ni kweli kabisa πŸ€¦β€β™€οΈπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…