Kuoa na kuolewa ni muhimu aisee

Nawaza mama mkwe anapokea simu, mama acha nikupongeze manake mawanao sio mchezo, ila nyakati zingine haya mambo ukisikia hata mtu anapiga kelele muelewe maana raha anayopata kwa wakati ule hata dunia ikisikia haujali kabisa
Mama mkwe kuna kiasi kidogo nakutumia hapo maana kazi anayofanya hili jembe lako ni balaa mama angu πŸ˜†

Ila mapenzi ni matamu bana ukieka kuumizwa pembeni.....ni rahaaaaaaaaa
 
Mama mkwe kuna kiasi kidogo nakutumia hapo maana kazi anayofanya hili jembe lako ni balaa mama angu πŸ˜†

Ila mapenzi ni matamu bana ukieka kuumizwa pembeni.....ni rahaaaaaaaaa
Kabisa hasa yakiwa ya halali ni raha mpk raha, kuna muda mpka unamfikiria Mungu aliwaza nini mpka akaeka hili tendo maana mtu awe na vyotr alivyo navyo bila kupata tendo hili bado anaona anakosa kitu kikubwa mno
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ goroko77 bana ila mi nimekuelewa
 
Kwa nilicho kisoma imebidi niitishe kikao cha dharura cha hisia za mwili wangu nimekubalina na hisia zangu kuwa nikuandikie barua ya kuomba mechi ya kirafiki, ni imani yangu utanikubalia ombi hili.
Wako mpendwa
Lucha.
Endelea kusimamisha ujiteseπŸ˜†
 
Ndo ivo ...mambo haya ni balaaπŸ˜†
 
Kabisa hasa yakiwa ya halali ni raha mpk raha, kuna muda mpka unamfikiria Mungu aliwaza nini mpka akaeka hili tendo maana mtu awe na vyotr alivyo navyo bila kupata tendo hili bado anaona anakosa kitu kikubwa mno
Kabisa,kile kitu ni muhimu sana aisee
 
Ndoa ni zaidi ya kutoanaa nyege hakuna mwanaume anaependa kukaa mbali na nyumbani ila baada ya kutoanaa nyege watoto hawaelew Hilo wanatak wale na walipiwe ada πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hapo ndo pagumu oga maji ya baridi ndugu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwee acha kumdanga mwenzio eti oga maji baridi🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…