National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
ππππSikuamini weweπ‘π‘
Kwanza nshakuacha
Ninafua nguo za watoto
Kuachwa ni jadi yangu π’
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππSikuamini weweπ‘π‘
Kwanza nshakuacha
Si uwaite wadada wa ARU waje kukusaidiaπππππππ
Ninafua nguo za watoto
Kuachwa ni jadi yangu π’
πππ Wapo wanafanya assignments..Si uwaite wadada wa ARU waje kukusaidiaπππ
Hatari kabisa wananchi wanapenda ugwadugwadu Kama huu!!ππππnimechangamsha jukwaa balaaπ
Hawezi teacher atapata mkubwa mwenzie bwana watasolve tatizoTwacher atabaka mwanafunzi wake karibuni
Kwenda hukoπππ Wapo wanafanya assignments..
Uje unitoe hata out badae nipate ka Espresso βΊοΈ
Pole sana mrembo kwa changamoto unayopitia. Vipi ushapata mpenzi wa karibu wa kukusugua ukasugulika?Yaan kwa moto ninaoupata siku zile 5 za joto kwa mwanamke....aisee ndoa muhimu sana....nyeto na mkuyenge(I mean mkuyenge siyo hivo vidude vyenu)...ni vitu viwili tofauti...tena ni Mara mia ukapiga nyeto siku ambazo haupo hot kuliko ukiwa hot....aisee...ni kama unachochea moto.Daaah
Ukishindwa kuoa au kuolewa basi ni kheri ukawa na mpenz wa karibu ....yakipanda tu unasuguliwa,unasugua....hizo long distance trade mahusiano siyo deal i tell u...yaan hapana...ni kudanganyana....tena unaweza kuwa unavumilia kumbe mwenzio anabinua au kubinuliwa huko.
Jamani,hizi pesa zinatufanya tunashindwa kula kilichotuleta duniani vizuri.... Unaenda kukaa miez mitatu huko kusaka pesa umemwacha mkeo home,ukisikia amecheat unauaπ³ aisee mnachuma dhambi za bure....heat Miez mitatu afu ukirudi unamdonoa tu ati umechoka....aiseee...kweli tutafika mbinguni na ugwadu viunoni na tumechoka sana....
Naruhusu +ve &-ve comments... Ila ukweli msiutupe sanaa
βΊοΈβΊοΈβΊοΈ Mwanawane utafaidi dah.. Nipo kwenye kikao leo cha kuvuta jiko π π π πOya National Anthem leo ndo leo mtu anapelekewa π₯
ππππ Niende wapi sasaKwenda huko
Hako ka Espresso si bora nimtumie mama nyumbani aandae mbuzi ya Christmas π
Mkubwa mwenzie ampelekee moto vizuri maana kibubu kimejaaaaaHawezi teacher atapata mkubwa mwenzie bwana watasolve tatizo
Mpige saundi huyu manzi,, ila akikubali mpime UKIMWI kablab ya kumpelekea moto, utanishukuru badae.Nisiwe (me) mnafiki kiukwel huaga nakukubali kinyama hasa mchango wako kwa jukwaa!!