britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
FafanuaSio lazima
Swali linalotaka jibu sahihi.
Kama Mwanaume anapata kila anachotakiwa kukipata kwenye ndoa kwa njia mbadala, kuna haja ya Kuoa?
Sex atapata nje
Mtoto atamzalisha mtu
Kufua kuna Laundry
Out kuna Hunters
Kula hotelini,
Uzuri hapati stress
Kwa hiyo kuoa/kuolewa ni kuweka hazina mdogo wangu?Sii lazima.
Ila mkumbuke kuna uzee.
Acheni kunishauri vibaya mwenzenu[emoji16]
Jana nilikuwa nimefikia maamz ya kuoa mwaka 2030, sasa naona mnataka nisioe kabisa[emoji38]
Ongeza mitano mzee anza kufikiria kuoa kuanzia 2035.
Siyo lazima ila ni MUHIMU.Swali linalotaka jibu sahihi.
Kama Mwanaume anapata kila anachotakiwa kukipata kwenye ndoa kwa njia mbadala, kuna haja ya Kuoa?
Sex atapata nje
Mtoto atamzalisha mtu
Kufua kuna Laundry
Out kuna Hunters
Kula hotelini,
Uzuri hapati stress
Shida gani mfano ambayo unaweza kuipata ndugu wa damu wakakukimbia lakini mke akawa na wewe?Mzee. Kuoa ni lazima ......ila oa bikra tu..........cozi
Umuhimu wa mke
1. Ukipata shida kuna mda ndugu zako ad wanakukataa but mke anakuwa bega kwa bega na ww
2. Mke wako ndio ndugu yako mkuu hapa dunian 4 the rest of ur life
Kutimiza maandiko ya kibiblia .....
So mtaongea mengi ila. Kuoa ni muhimu
Kuoa ni muhimu ila siyo lazima.Swali linalotaka jibu sahihi.