Kuoa ni lazima?

Kuoa ni lazima?

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
1613719980842.png

Swali linalotaka jibu sahihi.

Kama Mwanaume anapata kila anachotakiwa kukipata kwenye ndoa kwa njia mbadala, kuna haja ya Kuoa?

Sex atapata nje
Mtoto atamzalisha mtu
Kufua kuna Laundry
Out kuna Hunters
Kula hotelini,

Uzuri hapati stress

Pia soma: Kwani lazima kuoana?
 
Swali linalotaka jibu sahihi.
Kama Mwanaume anapata kila anachotakiwa kukipata kwenye ndoa kwa njia mbadala, kuna haja ya Kuoa?
Sex atapata nje
Mtoto atamzalisha mtu
Kufua kuna Laundry
Out kuna Hunters
Kula hotelini,

Uzuri hapati stress

Life Partner.
 
Waliopo nje wanatamani kuingia ndani...na waliopo ndani wanatamani kutoka.

Ok,kwenye ndoa kuna machafuko + vificho vya kipuuzi sana..watoto wa nje humo humo,mmoja anachepuka bila kujua,dharau,unafiki nk

Ukikurupuka kuoa/kuolewa utaona NDOA haina maana,ila ukitulia mkikutana damu zinaelekeana hapo mambo yatanyooka tuu yenyewe[emoji4]

Mwisho ila sio kwa umuhimu: HARUSI SIKU HIZI ZIMEKUWA KAMA NJIA TUU YA UDHIBITISHO KUWA MMEFUNGA NDOA.
 
Mzee. Kuoa ni lazima ......ila oa bikra tu..........cozi
Umuhimu wa mke
1. Ukipata shida kuna mda ndugu zako ad wanakukataa but mke anakuwa bega kwa bega na ww

2. Mke wako ndio ndugu yako mkuu hapa dunian 4 the rest of ur life

Kutimiza maandiko ya kibiblia .....

So mtaongea mengi ila. Kuoa ni muhimu
 
Shida gani mfano ambayo unaweza kuipata ndugu wa damu wakakukimbia lakini mke akawa na wewe?
 
Swali linalotaka jibu sahihi.
Kama Mwanaume anapata kila anachotakiwa kukipata kwenye ndoa kwa njia mbadala, kuna haja ya Kuoa?
Sex atapata nje
Mtoto atamzalisha mtu
Kufua kuna Laundry
Out kuna Hunters
Kula hotelini,

Uzuri hapati stress
Kuoa ni muhimu ila siyo lazima.

Kiubinadamu naisha ya ndoa yanaleta utulivu wa na nafsi, focus na utaratibu.

Maisha ya binadamu yanahitaji zaidi UPENDO. Kwahiyo ndoa inapunguza Upweke.
 
Swali linalotaka jibu sahihi.
Kama Mwanaume anapata kila anachotakiwa kukipata kwenye ndoa kwa njia mbadala, kuna haja ya Kuoa?
Sex atapata nje
Mtoto atamzalisha mtu
Kufua kuna Laundry
Out kuna Hunters
Kula hotelini,

Uzuri hapati stress

Ongeza na kuuguzwa utauguzwa hospital [emoji23]ukizeeka utatuzwa na ccm
 
Back
Top Bottom