Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,823
- 3,816
Sii lazima.
Ila mkumbuke kuna uzee.
Hili ni kubahatisha unaweza pata na akakukimbia tena ndio utaumia Mara mbiliAssume katikati upate disability yeyote afu huna msaidizi yani mke wala mtoto utabaki kulaumu ndugu tu
🙌🙌🙌Hili ni kubahatisha unaweza pata na akakukimbia tena ndio utaumia Mara mbili
Mimi ni muslamu ila hiki kipengele huwa nakuaga na mashaka nayoKuoa sio lazima, lakini katika Uislam ni tendo la Sunna lililotiliwa nguvu...
بسم الله الرحمن الرحيم.
وَإِنْ خِفْتُمْ أَلَّا تُقْسِطُواْ فِى ٱلْيَتَٰمَىٰ فَٱنكِحُواْ مَا طَابَ لَكُم مِّنَ ٱلنِّسَآءِ مَثْنَىٰ وَثُلَٰثَ وَرُبَٰعَ ۖ فَإِنْ خِفْتُمْ أَلَّا تَعْدِلُواْ فَوَٰحِدَةً.
Ikiwa mna khofu ya kutowafanyia wema mayatima basi oweni miongoni mwa mnaowapenda katika wanawake wawili na watatu na wanne, ikiwa ikiwa mna hofu ya kutowafanyia uadilifu basi oweni mmoja.
القاعدة
Katika Uislam mtoto wa nje ya ndoa harithi.
Ndoa ni makubaliano kati yako na rafiki yako au mpenzi wako. Mfano mzuri ni kwa Adam na Hawa sidhani kama walienda kanisani au msikitini kufunga ndoa ila mungu tu kuwawakutanisha pamoja ni tayari walishakua wamekubaliana kuishi mpaka kufa pamojaNi kwa nini Mungu asimuache Adam peke yake? Nijibu swali "NI LAZIMA "
Mkuu mbona kama maelezo yako unafosi tukubaliane na weweKiimani kuowa sio lazima ila kuwe na sababu za msingi, mwanaume hana uwezo wa kufanya tendo kabisaaaaaaaaaaa, yaaani haisimami huyu hatuwezi mlazimisha ndoa maana kwake haina maana tofauti ya hapo kuowa ni lazima kwa maana zinaa ni dhambi,
Ninaposema zinaa ni dhambi cmaanishi walioowa au kuolewa hawazini hapana lkn wana dhambi kubwa sana , sasa hiyo ni kidini,turudi huku kwenye maisha ya kisiasa, umuhimu wa kuowa upo tena upo sana kwa maana unakuwa na mwenza ambae mnapanga jambo moja , mnasiadiana maisha, watoto wanalelewa na wazazi wote nao pia wanajifunza kitu hapo, unapata tendo unapoitaji, unajua unaweza ukawa na mwanamke anaetamani ndoa sasa akiona ww hauweleweki akitokea anaemwahidi ndoa inakula kwako hiyo hata kama amezaa nawe ataenda kuolewa tu maana ni moja ya ndoto yake ktk maisha halic.
Mbona kama tunatishana.....Sii lazima.
Ila mkumbuke kuna uzee.
Swali linalotaka jibu sahihi.
Kama Mwanaume anapata kila anachotakiwa kukipata kwenye ndoa kwa njia mbadala, kuna haja ya Kuoa?
Sex atapata nje
Mtoto atamzalisha mtu
Kufua kuna Laundry
Out kuna Hunters
Kula hotelini,
Uzuri hapati stress
Kuna kitu kinaitwa 'companionship'Swali linalotaka jibu sahihi.
Kama Mwanaume anapata kila anachotakiwa kukipata kwenye ndoa kwa njia mbadala, kuna haja ya Kuoa?
Sex atapata nje
Mtoto atamzalisha mtu
Kufua kuna Laundry
Out kuna Hunters
Kula hotelini,
Uzuri hapati stress