Kuoa ni lazima?

Kuoa ni lazima?

Sii lazima.
Ila mkumbuke kuna uzee.

Uzee umefanyajae mkuu ?? Kwani nikimzalisha mtu nikahudumia mwanangu mpaka nikamsomesha kuna tofauti gani na yule mzee aliyezaaalfu mwanamke baadae anaanza kufanyiwa fitina na mwanamke kuchonganishwa na mwisho wa siku wanakutenga .! Mi naona bora kubaki hivi bila kuoa aseee..! Wanawake ni kero sana tena ukute hana hofu ya Mungu unajutia kuoa kabisa
 
Kizazi hichi cha .com hasahasa wanawake mabomu matupu. Hunapesa pitakulishoto
 
Sio lazima

-inaonekana ulazima kwasababu ya utamaduni wa watu weusi, ile hali kuasaidiana, uzee, uuguzi.

- Ukiangalia wazungu kwao wana retirement homes, unapofika uzeeni watoto hawawajibiki kukutunza, ndio huko wabongo wanaenda kuogesha vibabu.

- kwa ufupi tunafikiria zaidi uzee na mtu wa kututunza, hili swala sijui kwann wazungu halipo kwenye utamaduni wao, japo sio wote.
 
Swali linalotaka jibu sahihi.

Kama Mwanaume anapata kila anachotakiwa kukipata kwenye ndoa kwa njia mbadala, kuna haja ya Kuoa?

Sex atapata nje
Mtoto atamzalisha mtu
Kufua kuna Laundry
Out kuna Hunters
Kula hotelini,

Uzuri hapati stres
 
Kiimani kuowa sio lazima ila kuwe na sababu za msingi, mwanaume hana uwezo wa kufanya tendo kabisaaaaaaaaaaa, yaaani haisimami huyu hatuwezi mlazimisha ndoa maana kwake haina maana tofauti ya hapo kuowa ni lazima kwa maana zinaa ni dhambi,

Ninaposema zinaa ni dhambi cmaanishi walioowa au kuolewa hawazini hapana lkn wana dhambi kubwa sana , sasa hiyo ni kidini,turudi huku kwenye maisha ya kisiasa, umuhimu wa kuowa upo tena upo sana kwa maana unakuwa na mwenza ambae mnapanga jambo moja , mnasiadiana maisha, watoto wanalelewa na wazazi wote nao pia wanajifunza kitu hapo, unapata tendo unapoitaji, unajua unaweza ukawa na mwanamke anaetamani ndoa sasa akiona ww hauweleweki akitokea anaemwahidi ndoa inakula kwako hiyo hata kama amezaa nawe ataenda kuolewa tu maana ni moja ya ndoto yake ktk maisha halic.
 
Kuoa sio lazima, lakini katika Uislam ni tendo la Sunna lililotiliwa nguvu...
بسم الله الرحمن الرحيم.
وَإِنْ خِفْتُمْ أَلَّا تُقْسِطُواْ فِى ٱلْيَتَٰمَىٰ فَٱنكِحُواْ مَا طَابَ لَكُم مِّنَ ٱلنِّسَآءِ مَثْنَىٰ وَثُلَٰثَ وَرُبَٰعَ ۖ فَإِنْ خِفْتُمْ أَلَّا تَعْدِلُواْ فَوَٰحِدَةً.
Ikiwa mna khofu ya kutowafanyia wema mayatima basi oweni miongoni mwa mnaowapenda katika wanawake wawili na watatu na wanne, ikiwa ikiwa mna hofu ya kutowafanyia uadilifu basi oweni mmoja.

القاعدة
Katika Uislam mtoto wa nje ya ndoa harithi.
Mimi ni muslamu ila hiki kipengele huwa nakuaga na mashaka nayo
 
Ni kwa nini Mungu asimuache Adam peke yake? Nijibu swali "NI LAZIMA "
Ndoa ni makubaliano kati yako na rafiki yako au mpenzi wako. Mfano mzuri ni kwa Adam na Hawa sidhani kama walienda kanisani au msikitini kufunga ndoa ila mungu tu kuwawakutanisha pamoja ni tayari walishakua wamekubaliana kuishi mpaka kufa pamoja
 
Kiimani kuowa sio lazima ila kuwe na sababu za msingi, mwanaume hana uwezo wa kufanya tendo kabisaaaaaaaaaaa, yaaani haisimami huyu hatuwezi mlazimisha ndoa maana kwake haina maana tofauti ya hapo kuowa ni lazima kwa maana zinaa ni dhambi,

Ninaposema zinaa ni dhambi cmaanishi walioowa au kuolewa hawazini hapana lkn wana dhambi kubwa sana , sasa hiyo ni kidini,turudi huku kwenye maisha ya kisiasa, umuhimu wa kuowa upo tena upo sana kwa maana unakuwa na mwenza ambae mnapanga jambo moja , mnasiadiana maisha, watoto wanalelewa na wazazi wote nao pia wanajifunza kitu hapo, unapata tendo unapoitaji, unajua unaweza ukawa na mwanamke anaetamani ndoa sasa akiona ww hauweleweki akitokea anaemwahidi ndoa inakula kwako hiyo hata kama amezaa nawe ataenda kuolewa tu maana ni moja ya ndoto yake ktk maisha halic.
Mkuu mbona kama maelezo yako unafosi tukubaliane na wewe
 
Swali linalotaka jibu sahihi.

Kama Mwanaume anapata kila anachotakiwa kukipata kwenye ndoa kwa njia mbadala, kuna haja ya Kuoa?

Sex atapata nje
Mtoto atamzalisha mtu
Kufua kuna Laundry
Out kuna Hunters
Kula hotelini,

Uzuri hapati stress

Sio lazima, kwa maisha ya watoto muhimu wawe na baba na mama pamoja. Kama ilivyokuwa kwetu sisi.

Pia ukimpata mzuri utafurahia maisha.
..
 
Ila me sioni umuhimu wa kuoa kabisa wakuu.Nina 34 na sina mpango sijui kwanini?
Ila Nina mtoto 1
 
Kama sio lazima basi iwe hivyo, ndoa za sasa hivi ni ngumu sana jaman
Tunawashuhudia watu mitaani ndoa ni mateso ya kujitakia
 
Swali linalotaka jibu sahihi.

Kama Mwanaume anapata kila anachotakiwa kukipata kwenye ndoa kwa njia mbadala, kuna haja ya Kuoa?

Sex atapata nje
Mtoto atamzalisha mtu
Kufua kuna Laundry
Out kuna Hunters
Kula hotelini,

Uzuri hapati stress
Kuna kitu kinaitwa 'companionship'

hiki sio sex wala watoto wala laundry wala kupikiwa

kwanini mandela alioa at 80 yrs?
 
Kwa sasa Sheria haisemi ama kutamka kuwa NDOA ni lazima,ila kwa hawa wabunge wetu hawa lolote laweza tokea
utaundwa muswada upate kujadiliwa bungeni.
 
Back
Top Bottom