Kuoa ni lazima?

1 Wakorintho 7 : 8
"Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo. '

1 Wakorintho 7 : 9
"Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa. "
 
Paul alisema kama mnaweza kukaa kama mimi bila kuoa ni sawa mbele za Mungu.Kumbuka Paul tokea aokolewe na Yesu hajawahi kuzini na mwanamke mpaka anakufa,je wewe unaweza kukaa bila kuzini na mwanamke?
 
Mkuu mke una uhakika gani hatakuchoka?..kukuchoka atakuchoka sema hana jinsi..wewe pata hizo shida mwanzoni mwa ndoa na iwe hamna hata mtoto uone balaa lake..
pengine ikawa ye ndio sababu ya wewe kuumwa
 
usiku unakumbatia mto
ukiumwa unauguzwa na ndugu
watu wameoa na bado usiku wanapeana migongo

kwani we ulikuwepo wapi kipindi kile nyuzi za wanaume kulalamika kunyimwa tendo la ndoa zilivyo fululiza?
 
Swali linalotaka jibu sahihi.

Kama Mwanaume anapata kila anachotakiwa kukipata kwenye ndoa kwa njia mbadala, kuna haja ya Kuoa?

Sex atapata nje
Mtoto atamzalisha mtu
Kufua kuna Laundry
Out kuna Hunters
Kula hotelini,

Uzuri hapati stress
Ukizidiwa peke yako usiku , utamnunua mtu wa kukupa msaada ?
Think big
 
Paul alisema kama mnaweza kukaa kama mimi bila kuoa ni sawa mbele za Mungu.Kumbuka Paul tokea aokolewe na Yesu hajawahi kuzini na mwanamke mpaka anakufa,je wewe unaweza kukaa bila kuzini na mwanamke?
huyo paul ilikua ni rahisi kwa yeye kusema vile kipindi kile kulingana na mambo ya utandawazi hayakuwepo kwa wakati huo

hiki kizazi ambacho tupo cha vigodoro, kanga moko, mademu wanakupigia mikato tamanishi, unalegezwa kwa mkao wake tu. kizazi hiki ndio kilitakiwa kua kipimo cha kuwa test imani zao

hiki kizazi mbona hata wakina paul kingewashinda, paul angewezaje kutembea mtaani afu demu mwenye chura apite afu asigeuke?

mi nawashangaa mnavyompa kongole paul ambaye kaishi kizazi ambacho wanawake walikua hawaijui thamani ya shilingi, hawajui nini wafanye ili kumteka mwanaume

njoo karne hii uone pesa inavyotafutwa
 
Hivi tunaoana lini ?
Pale tu utakapo-punguza harakati zako za kutafuta sana hela utafikiri wewe ndo unaye lipa mishahara wafanyakazi wa halmashauri..Mimi nataka mke wangu anitegemee kwa kila kitu,sitaki mwamamke mchakarikaji sana,ataniletea ki-base nyumbani.
 
sahihi kabisa nakubaliana na wewe
 
Assume kwa mfano umepata kiharusi,ndugu zako wataweza kukuogesha,kukusafisha,kukubeba usiku wa manane kukupeleka chooni?
kwahiyo wewe umeoa kwa kuhofia kiharusi?

yani siku zote ukitanguliza negative thoughts kwenye jambo utaishia kukata tamaa, kufikiria magonjwa kwamba unahitaji backup ya mke atakaye simama kukuhudumia kipindi unaumwa ni tatizo

labda nikuulize, katika kipindi ambacho ulikua single uliwezaje kuishi miaka yote hiyo kwa kui overcome fear ya kiarusi?
 
Pale tu utakapo-punguza harakati zako za kutafuta sana hela utafikiri wewe ndo unaye lipa mishahara wafanyakazi wa halmashauri..Mimi nataka mke wangu anitegemee kwa kila kitu,sitaki mwamamke mchakarikaji sana,ataniletea ki-base nyumbani.
Niko poa tu naua kubalance home affairs na utafutaji
 
Km wewe mwanaume umekomaa kiakili, unajitambua, haukai kwa wazazi au shemeji na unataka kutengeneza familia yako iliyo stable na yenye furaha kuoa ni lazima sio hiyari . .....lakini usikurupuke ktk mchakato wa kutafuta mwenza wako.
 
Swali linalotaka jibu sahihi.

Kama Mwanaume anapata kila anachotakiwa kukipata kwenye ndoa kwa njia mbadala, kuna haja ya Kuoa?

Sex atapata nje
Mtoto atamzalisha mtu
Kufua kuna Laundry
Out kuna Hunters
Kula hotelini,

Uzuri hapati stress
.... maswali ya aina hii mara nyingi huwa yanaulizwa na walio tendwa vibaya kwenye mahusiano.
 
Kuoa ni advantage sana kwa mwanamke... Na disadvantage kwa mwanaume
 
Reactions: ywf
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…