msakhara
JF-Expert Member
- May 26, 2019
- 277
- 381
Kwa nini, yesu, paulo hawakuoaNi kwa nini Mungu asimuache Adam peke yake? Nijibu swali "NI LAZIMA "
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini, yesu, paulo hawakuoaNi kwa nini Mungu asimuache Adam peke yake? Nijibu swali "NI LAZIMA "
Hivi tunaoana lini ?Shida gani mfano ambayo unaweza kuipata ndugu wa damu wakakukimbia lakini mke akawa na wewe?
1 Wakorintho 7 : 8So lazima,
Kwa sababu huna adhabu ya kutooa Wala hukumu utakayohukumiwa chini duniani Wala juu mbinguni.
Mtume Paulo, kwenye waraka wake wa kwanza kwa wakorintho, nadhani sura ya 19,au 20 au 21 , amesisitiza pia kwamba jambo hili Ni maamuzi ya mtu binafsi.
Hata hivo , pamoja na sababu mbalimbali za kuoa kuwa na fumbuzi mbadala, Bado ndoa Ni muhimu kwa ajili ya ustawi wa jamii, maana ndipo penye uhakika wa malezi Bora ya watoto.
Vinginevyo Ni ongezeko la watoto wanaolelewa na mzazi upande mmoja, ambalo ndio kwa kawaida hupelekea ongezeko la watoto wa mtaani..
Paul alisema kama mnaweza kukaa kama mimi bila kuoa ni sawa mbele za Mungu.Kumbuka Paul tokea aokolewe na Yesu hajawahi kuzini na mwanamke mpaka anakufa,je wewe unaweza kukaa bila kuzini na mwanamke?So lazima,
Kwa sababu huna adhabu ya kutooa Wala hukumu utakayohukumiwa chini duniani Wala juu mbinguni.
Mtume Paulo, kwenye waraka wake wa kwanza kwa wakorintho, nadhani sura ya 19,au 20 au 21 , amesisitiza pia kwamba jambo hili Ni maamuzi ya mtu binafsi.
Hata hivo , pamoja na sababu mbalimbali za kuoa kuwa na fumbuzi mbadala, Bado ndoa Ni muhimu kwa ajili ya ustawi wa jamii, maana ndipo penye uhakika wa malezi Bora ya watoto.
Vinginevyo Ni ongezeko la watoto wanaolelewa na mzazi upande mmoja, ambalo ndio kwa kawaida hupelekea ongezeko la watoto wa mtaani..
pengine ikawa ye ndio sababu ya wewe kuumwaMkuu mke una uhakika gani hatakuchoka?..kukuchoka atakuchoka sema hana jinsi..wewe pata hizo shida mwanzoni mwa ndoa na iwe hamna hata mtoto uone balaa lake..
watu wameoa na bado usiku wanapeana migongousiku unakumbatia mto
ukiumwa unauguzwa na ndugu
Ukizidiwa peke yako usiku , utamnunua mtu wa kukupa msaada ?Swali linalotaka jibu sahihi.
Kama Mwanaume anapata kila anachotakiwa kukipata kwenye ndoa kwa njia mbadala, kuna haja ya Kuoa?
Sex atapata nje
Mtoto atamzalisha mtu
Kufua kuna Laundry
Out kuna Hunters
Kula hotelini,
Uzuri hapati stress
Ikifika mahala..mema unayaona mabaya....na mabaya ndo unashabikiaIla me sioni umuhimu wa kuoa kabisa wakuu.Nina 34 na sina mpango sijui kwanini?
Ila Nina mtoto 1
huyo paul ilikua ni rahisi kwa yeye kusema vile kipindi kile kulingana na mambo ya utandawazi hayakuwepo kwa wakati huoPaul alisema kama mnaweza kukaa kama mimi bila kuoa ni sawa mbele za Mungu.Kumbuka Paul tokea aokolewe na Yesu hajawahi kuzini na mwanamke mpaka anakufa,je wewe unaweza kukaa bila kuzini na mwanamke?
kama ukizidiwa kwa nyege tu anakubania unafikiri ukizidiwa kwa ugonjwa atajari?Ukizidiwa peke yako usiku , utamnunua mtu wa kukupa msaada ?
Think big
Pale tu utakapo-punguza harakati zako za kutafuta sana hela utafikiri wewe ndo unaye lipa mishahara wafanyakazi wa halmashauri..Mimi nataka mke wangu anitegemee kwa kila kitu,sitaki mwamamke mchakarikaji sana,ataniletea ki-base nyumbani.Hivi tunaoana lini ?
sahihi kabisa nakubaliana na weweUzee umefanyajae mkuu ?? Kwani nikimzalisha mtu nikahudumia mwanangu mpaka nikamsomesha kuna tofauti gani na yule mzee aliyezaaalfu mwanamke baadae anaanza kufanyiwa fitina na mwanamke kuchonganishwa na mwisho wa siku wanakutenga .! Mi naona bora kubaki hivi bila kuoa aseee..! Wanawake ni kero sana tena ukute hana hofu ya Mungu unajutia kuoa kabisa
HAKUNA ANAE LAZIMISHWA KUOA.... ila huwa wanashauri kuoa...
kwahiyo wewe umeoa kwa kuhofia kiharusi?Assume kwa mfano umepata kiharusi,ndugu zako wataweza kukuogesha,kukusafisha,kukubeba usiku wa manane kukupeleka chooni?
Niko poa tu naua kubalance home affairs na utafutajiPale tu utakapo-punguza harakati zako za kutafuta sana hela utafikiri wewe ndo unaye lipa mishahara wafanyakazi wa halmashauri..Mimi nataka mke wangu anitegemee kwa kila kitu,sitaki mwamamke mchakarikaji sana,ataniletea ki-base nyumbani.
.... maswali ya aina hii mara nyingi huwa yanaulizwa na walio tendwa vibaya kwenye mahusiano.Swali linalotaka jibu sahihi.
Kama Mwanaume anapata kila anachotakiwa kukipata kwenye ndoa kwa njia mbadala, kuna haja ya Kuoa?
Sex atapata nje
Mtoto atamzalisha mtu
Kufua kuna Laundry
Out kuna Hunters
Kula hotelini,
Uzuri hapati stress
Tena hakuna wanaotia stress uzeeni kama wake (wives)! Mbaya zaidi unakuta hiki ni kipindi ambacho hata watoti wana-team up na mama yao!Sii lazima.
Ila mkumbuke kuna uzee.