Kuoa single mother ni mtihani

Ndo wewe huyo DP?
 
Bro,
Remember that "Every woman has a past she surely regrets and every good human being makes mistakes, but that does not prevent her from being an ideal woman for another man".

On my side, I am single and looking for a woman that needs a "man/husband". I will not stop from either loving or marrying a Single Mother if she is ready to establish a new and stable family and live a happier life together. Most single mothers have a "CLASS OF THEIR OWN, and there's a Queen in them"

NOTE: Past is past, yesterday can never come again, it was a lesson, it was a process that helps remolded our lives for the now and future.

CONCLUSION: Any single woman, single mom or not, if you need a real man for a stable and long-term relationship, don't hesitate to get in touch with me by hitting my PM.
 
Kuna single Mother mmoja nimempenda hapa yupo vikindu na katoto kake ka kike Keupe ndo namchombeza. Anafanya uwakala ila kana msimamo hako na huyo mtu wake japo hatoi matumizi.
 
Si tulikwisha kubaliana kuwa single mothers ni wa kupigwa miti tu na kuachwa tu kama walivyo? Hawa ni kwa matumizi ya dharula na kutolea kutu tu.
 
Wanaume wezangu napenda kuwakumbusha tena kuwa hawa viumbe wanawake ambao wametoka kwenye ubavu wetu MUNGU katuusia sana tuishi nao kwa AKILI na hvo kama ikitokea umezama kwa singo maza seriously nakutaka kuoa hakika kwanza huyo KIJANA aliemzalisha ni marehemu pamoja na BABA yake ambaye ni BABU wa huyo mtoto na kua makini kusoma majina ya kwenye makaburi na cheti cha kuzaliwa kama ni sahihi pasina shaka yeyote, La sivo ukafanya tofauti na haya maelekezo tambua kwamba unajchmbia kaburi kwa mikono yako mwnyew hawa viumbe hata kama unajfanya unajua mapenz kama SHARUKH KHAN watakuacha mchana peupe! hawa viumbe kuuza mechi ni jambo rahisi sana KAMA TIMU ZA ZENJI, hawa viumbe wanabadilika tabia haraka sana akishaanza kuchenyetwa na huyo singo baba wake kuliko KNYONGA anavobadli rang zake, hawa viumbe hawana akili japo hawapo MILEMBE, hawa viumbe wanakbur na dharau kuliko WAKINA JUNIOR, hawa viumbe wanaubongo wa SISIMIZI, KIJANA KAMA UNAWEZA JIEPUSHA JIEPUSHE AKIWEZEKANA HATA WAKIKUSALIMIA USIITIKIE NI WASHIRIKINA
 
Lakini Wanajua kupenda au huwa wanatutega ?
 
Muwe mnahudhuria vikao,tulkubaliana ni either uone kaburi la mumewe na ufukue ndani upime DNA uhakikishe aliyemo ndiye
 
Mimi na mke wangu tumepishana kidogo hataki tuongee, hivyo tumeamua kutengeneza group la WhatsApp ili kutumiana taarifa wawili tu kwa njia ya maandishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…