Kuoa single mother ni mtihani

Kuoa single mother ni mtihani

Wanaume wezangu napenda kuwakumbusha tena kuwa hawa viumbe wanawake ambao wametoka kwenye ubavu wetu MUNGU katuusia sana tuishi nao kwa AKILI na hvo kama ikitokea umezama kwa singo maza seriously nakutaka kuoa hakika kwanza huyo KIJANA aliemzalisha ni marehemu pamoja na BABA yake ambaye ni BABU wa huyo mtoto na kua makini kusoma majina ya kwenye makaburi na cheti cha kuzaliwa kama ni sahihi pasina shaka yeyote, La sivo ukafanya tofauti na haya maelekezo tambua kwamba unajchmbia kaburi kwa mikono yako mwnyew hawa viumbe hata kama unajfanya unajua mapenz kama SHARUKH KHAN watakuacha mchana peupe! hawa viumbe kuuza mechi ni jambo rahisi sana KAMA TIMU ZA ZENJI, hawa viumbe wanabadilika tabia haraka sana akishaanza kuchenyetwa na huyo singo baba wake kuliko KNYONGA anavobadli rang zake, hawa viumbe hawana akili japo hawapo MILEMBE, hawa viumbe wanakbur na dharau kuliko WAKINA JUNIOR, hawa viumbe wanaubongo wa SISIMIZI, KIJANA KAMA UNAWEZA JIEPUSHA JIEPUSHE AKIWEZEKANA HATA WAKIKUSALIMIA USIITIKIE NI WASHIRIKINA

Bila shaka ukimaanisha wewe u marehemu haukuhusu na utaendelea kuwapo duniani siku zote uki enjoy maisha.
 
Iki ivi kiukweli mm ninafsi siwezi oa singles mother nina sababu kama kumi hivii na zina mashiko

1. Huna uhuru na mtoto ukimpiga unamwonea
2. Mkigombana kidogo simu kwa x wake
3. Kuchapiwa lazim uchapiwe wengine wameechan kwa ugumu wa maìsha akipata unafuu anatoa tunda
4. Kuchanganya familia yaaan watoto wansbaguana
5. Kiukweli mwanamke mpaka azaee kampenda huyoo jamaaa sana so unaingilia mspenzi ya watu
6. Mbona mabint mtaaan wengi kwann ubebevmzigo wa mtuuu
7. Ex wake akijipata broo huns chako
8. Singles mother automatically ni mke wa mtuu
9. Huwa wanakupenda tuu kwa ajiri ya mtoto/watoto wake

Na mwisho kabisa kuoa singo mother ni kujichimbia kaburi
Hahaha
 
Na ogopa sana single mother anayenidai mlokole ndiyo mashangazi hao!
 
Hadi uoe single mother hujaona wasichana? Mbona wanawake ni wengi kuliko wanaume
 
Back
Top Bottom