To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Okay,upo sahihi ila waweza mrekebisha hata kwa kumkemea.Kitendo Cha kuweka kipigo namba 1 inaonesha kupiga mtoto anapokosea kwako ni kipaumbele.Jitahidini kuwapa mimba na kuwaoa at least idadi itapungua tutabaki singlemom ambao ndoa zilivunjika.Mnaowaambia I love you na mkiwapa mimba mnakimbia wapo wengi sana kitaa.Mwenyezi Mungu awafungue.🙏Kwan si anaweza kosea mkuu