Kuoa single mother ni mtihani


Bila shaka ukimaanisha wewe u marehemu haukuhusu na utaendelea kuwapo duniani siku zote uki enjoy maisha.
 
Hahaha
 
Na ogopa sana single mother anayenidai mlokole ndiyo mashangazi hao!
 
Hadi uoe single mother hujaona wasichana? Mbona wanawake ni wengi kuliko wanaume
 
Mm nilitak nioe nimeamua niahrish
Sabab
1-Kitto kikharib vitu jikon hakiony wal nn
2-kalisem hakatak kurudsh mtoto kwao juu mdogo nikasem tukae nae had akue akasem anaogop mtoto asijemsahau nb mwanzon alianz Kwa gia ya kusem hatak kunbbsh mzigo
3-mzuri lakin hatakag kunisaidia usafi akij nyumbn mpaka nimkumbush ila ndoa anamlizia Kila siku
4-nilimkuta fb Snapchat na ex wake nikajusemea sioi akizubaa namuongezea mtoto ila tutamlea Hadi kufa hela atapat mana sio shida Zang ila ndoa asahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…