Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 180
Hivi kulitachi nywele bei gani jamani kuna kimada kinanichuna sana kila wiki nakipa 70,000/= kwa ajili ya kulitachi nywele mmmh huu usafi jamani kweli gharama.
sasa watu si kama hawa jamani..... hivi PK yuko wapi...awaone wenzake wanoyajua ya Loreal and skin rejuvenation...duh!!!! hongera kaka...huyo memsap wako si atakuwa anang'aa kama kioo!!!
Maane
Nimekukubali ndugu yangu.Unajua unachotakiwa kufanya ili kumsupport mwenzi wako ili umfurahie na wewe in the process unapanda chati vibaya sana.Kuna wenzio humu hawajui AA wala Bee kwenye haya maswala.Matokeo yake hawawezi hata kuwashauri wenzi wao kuhusu kujitunza, hawajui hata wanapodanganywa na kuchunwa ati ritach ( re-touch)shilingi 70,000/- kwa wiki!
Unastahili pongezi na uendelee na moyo huo huo.
Mkuu mbona viko vingi zaidi, sijui nikutojiamini!Umesahau WAMA ya Festi Ledi wa Muungwana, aagh, sory sio wa Muungwana tu, I mean wa Tanzania !!
Wakuu nisaidie hivi kuna umuhimu wowote wa kuoga na mke wako?au ni fasheni tu!!!
Kaka hapa imebidi nicheke tu kwa kweli!.......yaani every week wachunwa 70k? kwa ajili ya nywele tu.....je, makorokocho mengine bei gani sasa? Mkuu kwa hesabu ya harakaharaka si chini ya 500k inabidi utenge kwa ajili ya huyo bibie kila mwezi ........khaah!....mkuu au kwa sababu ya ki longa longer?
Duh..dogo unafanya kazi Buzwagi ama inakuwaje?
Ukishampiga buti niPM...lol
Pia aina ya vyakula kwa mamsapu ni muhimu, usifikiri kumtwika mibia na minyama ni ulaji bora!!! Atazeeka tumbo kule, makalio kule, kifua kule yaani kama miss bantu!!! Mfanye model kwa mavazi na vyakula vingi wiwe vya virutubisho zaidi, . Actually, alishajua mimi sipendi matipwatipwa hivyo anajua kujiweka fit!!!! Tuwe wazi kwa wenzi wetu kwa kile tunachokitaka na kitafanyika and you will be happy forever!!!!
Aaaaaaaaaaaaaaargh!!
Hakuna kitu kama hiki
Nilijaribu saaaaana kuwa karibu na Mwandani wangu ili tuoge pamoja.
Lakini, kadiri alivyozidi kunizowea, mambo yalianza kwenda mrama!
Shida kubwa ya kuoga na Mwanamke iko kwenye mambo ya nywele!
Inataka moyo sana kuoga na watu hawa, maana mara utasikia...ooooh unalowesha nywele zangu!!!......uuuuhhh!!! unaniloweshea rasta zangu..!! Wanawake ni wachafu sana, maana atakaa na zile nywele kwa wiki hadi 5 hazijagusa maji, japo wanajidai kupaka sijui ma nini.. sijui makemiko gani.....sijui ndo wanaita ma`enjoface, ..malipstick..mi siyajui!
Shiiit... tokea siku hiyo mimi sitaki lawama za kishenzi.
Hakuna sababu yoyote ya kuoga nao, mwache atangulie yeye kisha utafuatia wewe kwa raha zako..
Aaaahhhhh!!
Hehehe mtagombana na MJ1 shauri yako mi simo.
Huyu weekend hii simpi hata buku.
mhhhh Maane baba taratibuuuuu utatufanya sie masanamu ya michellini tukajinyonge kwenye mti wa mchicha bureeeeeeeeeee
hata hivyo kakufaidi vya kutosha.
Si wengine ndo size zetu hizo tunazipenda mamichellini aaaah raaaaaaha ukioga nalo hilo yaaani mnaoga pipa kabisa.
hata hivyo kakufaidi vya kutosha.
ahahahahah pipa zima halafu mnaanza kuchunana....raha kabisa!
Shishi, mwenzangu huyo amebakiza miezi afikishe miaka 52, sijivunii ila ukimwona utafikiri ni late 30s. Ila siri kubwa ni kwamba by her 28th birthday alikuwa ameshamaliza kuzaa watoto wetu wanne, ikabaki kujipendezesha, binti yangu watu wanafikiri ni mdogo wake!!! Kuna wakati alikuwa anasumbuliwa na face rushes or say small pimples nikampeleka kwa yule mama pale njia ya Alhassan Mwinyi Road sijui wanamwita Patricia au nani vile, ila ameandika ni skin care proffessional na alimshughulikia kwa natural skin care products within a week akarudia baby face yake. Kumbe alisafiri akala one of the italian dish/cusine ilikuwa na cheese nyingi sana ikaleta pimples, wataalam wanajua.
Pia aina ya vyakula kwa mamsapu ni muhimu, usifikiri kumtwika mibia na minyama ni ulaji bora!!! Atazeeka tumbo kule, makalio kule, kifua kule yaani kama miss bantu!!! Mfanye model kwa mavazi na vyakula vingi wiwe vya virutubisho zaidi, of course usi-undermine the four categories of carbohydrates, protein, vitamins, fats and oils. Katika vyote punguza carb and fats and oils!!!! Google ulaji bora kwa afya!!! Maji not less than 8 glasses a day. Actually, alishajua mimi sipendi matipwatipwa hivyo anajua kujiweka fit!!!! Tuwe wazi kwa wenzi wetu kwa kile tunachokitaka na kitafanyika and you will be happy forever!!!!
Sasa Shishi mimi huyu basi tena amenichuna vya kutosha naachana nae kabisa. Amenitumia sms oooh dear naomba ijumaa unisaidie laki moja kuna nguo nimeona Mr.Price,nimemjibu nimefulia.
mmm Maane mbona watutia wivu we nawe...hivi mdogo wako yupo???? ahahahhaha. but am very impressed kwa kweli ni wachache watafanya hayo yote.. kazi kukwambia tangu tuoanane u no longer have a waist line duhhh mijiume mingine bwana!!! ukisema wataka cleanser waambiwa ya pesa nyingi halafu akitoka nje wanatawatamani wale wenye nyuso kama za watoto...hapo patawezekana kweli???