Shishi, mwenzangu huyo amebakiza miezi afikishe miaka 52, sijivunii ila ukimwona utafikiri ni late 30s. Ila siri kubwa ni kwamba by her 28th birthday alikuwa ameshamaliza kuzaa watoto wetu wanne, ikabaki kujipendezesha, binti yangu watu wanafikiri ni mdogo wake!!! Kuna wakati alikuwa anasumbuliwa na face rushes or say small pimples nikampeleka kwa yule mama pale njia ya Alhassan Mwinyi Road sijui wanamwita Patricia au nani vile, ila ameandika ni skin care proffessional na alimshughulikia kwa natural skin care products within a week akarudia baby face yake. Kumbe alisafiri akala one of the italian dish/cusine ilikuwa na cheese nyingi sana ikaleta pimples, wataalam wanajua.
Pia aina ya vyakula kwa mamsapu ni muhimu, usifikiri kumtwika mibia na minyama ni ulaji bora!!! Atazeeka tumbo kule, makalio kule, kifua kule yaani kama miss bantu!!! Mfanye model kwa mavazi na vyakula vingi wiwe vya virutubisho zaidi, of course usi-undermine the four categories of carbohydrates, protein, vitamins, fats and oils. Katika vyote punguza carb and fats and oils!!!! Google ulaji bora kwa afya!!! Maji not less than 8 glasses a day. Actually, alishajua mimi sipendi matipwatipwa hivyo anajua kujiweka fit!!!! Tuwe wazi kwa wenzi wetu kwa kile tunachokitaka na kitafanyika and you will be happy forever!!!!