Kuoga na mume au mke wako...

Kweli kuwa uyaone...ooh uyasikie. ngoja na mimi nijaribu leo kuoga na mzee...ni hapo sasa atakapowaka, nani kakufundisha? umeshaanza? nini? mambo ya kihuni? yapi? si hayo.......du ripoti kamili kesho.
 
Si wengine ndo size zetu hizo tunazipenda mamichellini aaaah raaaaaaha ukioga nalo hilo yaaani mnaoga pipa kabisa.
Hahahhahaha fide naweee huwezekani wasema wapenda kujiexpresss your self , oooooh nimekumbuka wa hivyo hupenda mambo flani yalionenepeana kwenye uelekeo wa kichogo.
MJ1 upo mama? utajiexpress? sio kesho na keshokutwa unaanza kuimba nyimbo za JIDEE 'Nakueleza aaah siri yangu ,inayohusu maisha yangu inayosumbua nafsi yangu'πŸ˜‘πŸ˜•
 
Kweli kuwa uyaone...ooh uyasikie. ngoja na mimi nijaribu leo kuoga na mzee...ni hapo sasa atakapowaka, nani kakufundisha? umeshaanza? nini? mambo ya kihuni? yapi? si hayo.......du ripoti kamili kesho.
hahahahah mama taratiiiibu , usije ukaachwa bure kisa wanajamiiii....... mhhh simooo mchanga wa pwani uleeeeeeeeeee
 
Kweli kuwa uyaone...ooh uyasikie. ngoja na mimi nijaribu leo kuoga na mzee...ni hapo sasa atakapowaka, nani kakufundisha? umeshaanza? nini? mambo ya kihuni? yapi? si hayo.......du ripoti kamili kesho.

Tunasubiri hiyo ripoti kwa hamu kutoka kwako.

Mimi binafsi ni mke wangu aliyenifundisha kuoga naye wala sikumfikiria vibaya kutokana na uhusiano wetu ulivyoanza mpaka tunafunga ndoa. Ni mwalimu wangu mzuri katika mambo mengi katika kunogesha upendo katika ndoa yetu. Namsikiliza kwa makini sana kila anapotaka kunifundisha kitu. Kikubwa ni jinsi ya wewe mama unavyo-introduce issue yenyewe. Mke wangu huanza kwa lugha ya upendo na mwanaume lazima usikilize tu upende usipende. Akina mama funguo za kukoleza upendo katika ndoa zenu zi mikononi mwenu MUNGU amewapa zitumieni vizuri.

Na sisi wanaume tunatakiwa tukae na wake zetu kwa akili. Tuwapende, tuwasikilize, tuwajali, tuwatunze etc, ni watu wazuri na wa muhimu sana hawa viumbe.
 
Hujafundwa na mahaba huyajui full stop! wacha wanaopata raha zao waendelee.
 
Mungu wangu umenichekesha mpaka basi, usemayo dada si uongo akiona ngozi kama barabara ya kokoto anatafuta mwenye ngozi laini kama ya mtoto mhhh mbona shughuli tunayo humu majumbani kwetu.
u made ma day
 
Mwenzangu hapana kwa Fidel maji yamezidi unga mwali hata siyavulii nguo mana siweziyaoga.....

Umenichekesha ya nyimbo za JIDEE
 
Shikuru JF imekufungua macho ungenyonywa weye mpaka hayo macho mwone vile !!! (joke)
 
Kweli kuwa uyaone...ooh uyasikie. ngoja na mimi nijaribu leo kuoga na mzee...ni hapo sasa atakapowaka, nani kakufundisha? umeshaanza? nini? mambo ya kihuni? yapi? si hayo.......du ripoti kamili kesho.

Haya twasubiri ripoti kesho hapa jamvini, na wa kukmabidhi ni mimi manake ndo supika...sawa?😎
 
Mh hii imenikuna, mimi wakati wa uchumba wangu tuliweza oga muda mrefu tuu hata 45 min tukisuguana na bahati nzuri geto yangu mitaa ya mwenge kanisani pale maji yalikuwa ya DAWASA yalikuwa full time na ilikuwa ni shower, lkn kuna kitu sikuweza kuki notice wakati huoo, kumbe yeye hutumia maji mengi sana kujiswafi, baada ya kuhama pale tukapata house ambayo hakuna maji ya bomba ni kununua madumu so bafuni hakuna shower tena, kwa hiyo tukawa sasa tunatumia ndoo, hapo ndipo ugomvi wetu unapokuwa mkubwa, kwanza yeye hupenda aanze kuogeshwa yeye, pindi ukimaliza kumuogesha yeye ataendelea sasa kuosha mashine yake hahahaha hapo atatumia maji kibao tena so atlast mie ntabaki na robo ndoo na akimaliza anaona uvivu kuanza kuniogesha mie utasikia malizia basi mwenyewe, nadhani haya mambo yana wakati wake, hasa mwanzoni mwa mapenzi huwa ni kitu kitamu sana lkn kwenye ndoa mkisha zoeana mambo mengi sana huwa hayafanyiki tena hata wewe ukiwa interested mwenzi wako anaweza asiwe interested tena.
 
Haya twasubiri ripoti kesho hapa jamvini, na wa kukmabidhi ni mimi manake ndo supika...sawa?😎

weeee tarattibu hebu babawe.... nani kakuappoint sipika???? hiyo ripoti twaisuniri kwa hamu na ghamu...
 
weeee tarattibu hebu babawe.... nani kakuappoint sipika???? hiyo ripoti twaisuniri kwa hamu na ghamu...

Self-apointed one.....hehehe Shishi bana si 'tutakula' wote presha ya nini...nilikuwa na wasi wasi anaweza kuogopa kuidondosha hapa lolπŸ˜€
 
Nimevumilia lakini naona nimeshindwa.......... mwenzenu hii signature ya mtoa mada . mh eti.........

Achieving your target on a job is just like being pregnant;everyone congratulates you on the outcome but no one knows how many times you got fucked...!!!!
 
Ina kaukweli fulani, lakini hilo neno la mwisho mhhhh..... halijatulia!
 
Shishi mama upo? Habari za kwa Nairobi?
Vp jana ulioga na mwenzio?
 
mm mie pia niliiona nikashindwa duh!!!! hebu tuipeleke kukle kwa complaints!
 
Shishi mama upo? Habari za kwa Nairobi?
Vp jana ulioga na mwenzio?

Mmmm Fidel. Nairobi hatujambo sijui nyie wa bongo aahahhaha.... nilioga peke yangu but had my mwenzangu in spirit akinisugua mgongo!!!πŸ˜‰
 
Mimi napenda sana kuoga na mke wangu lakini tatizo ni hizi bafu za nyumba za kupanga. Ni ndogo kiasi hamuwezi kuingia watu wawili kwa wakati mmoja.
 
mm mie pia niliiona nikashindwa duh!!!! hebu tuipeleke kukle kwa complaints!

Mh shishi tutaambiwa wambeya bure!! ukitaka peleka mwenyewe mie ntakusindikiza hadi mlangoni tu........... sitaingia ndani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…