Kuoga na mume au mke wako...

Mimi napenda sana kuoga na mke wangu lakini tatizo ni hizi bafu za nyumba za kupanga. Ni ndogo kiasi hamuwezi kuingia watu wawili kwa wakati mmoja.

Yeah...ndo nyumba zetu hizi....unajua zinaweza hata kuchangia kupunguza mapenzi kwa kongeza stress. Pole sana mkuu
 
Yeah...ndo nyumba zetu hizi....unajua zinaweza hata kuchangia kupunguza mapenzi kwa kongeza stress. Pole sana mkuu

Naomba style ya kuoga bafu passport size na wifi yako to be. Je tuoge kwa kuchuchumaa?
 
Naomba style ya kuoga bafu passport size na wifi yako to be. Je tuoge kwa kuchuchumaa?


Mkuu huko hapana...ni kukubaliana na hali halisi...mkienda ivo mtapewa notisi the next day!
 

Mwanajamiione mbona tena washituka signature imekaa vizuri jamani msianze kuijjengea hoja.

au umiitafsiri je?
 
Mwanajamiione mbona tena washituka signature imekaa vizuri jamani msianze kuijjengea hoja.

au umiitafsiri je?

Duh Chaku kwa jinsi navyo pata picha yaani kama unaishi uswazi vile maana umeweka &*#%#!&^
 
Mh shishi tutaambiwa wambeya bure!! ukitaka peleka mwenyewe mie ntakusindikiza hadi mlangoni tu........... sitaingia ndani!
hahahhahahah mummy umekuwa kama mkaanga mbuyu na kwaachia wenyewe watafune ? hufaaaaaaaaaai hahhahahah
 
Naomba style ya kuoga bafu passport size na wifi yako to be. Je tuoge kwa kuchuchumaa?
mhhhhh hapo fide huyo ze wife to be itabidi awe kutoka Tanga maana ukiwa unachuchumaa atahifadhi mali kwenye kisaani zisiguse chini zikapata fungus bureee.
 
mhhhhh hapo fide huyo ze wife to be itabidi awe kutoka Tanga maana ukiwa unachuchumaa atahifadhi mali kwenye kisaani zisiguse chini zikapata fungus bureee.

......................... agika ... aksante kwa kunianzishia weekend vizuri yaani nimecheka kwa nguvu ati!!

Fidel siyo mimi mwaya ni agika huyoooo.
 
Lakini ukweli unabaki pale pale idadi kubwa ya wanawake ni wachafu sana kwa ndani namtetea jamaa hapo juu huu ni ukweli nani hapa ajitokeze aseme ukweli katoka kusuka Rasta kwa mmasai alafu akaosha kichwa siku hiyo aseme hapa.

Unaosha kabla ya kusuka kwahiyo hamna haja yakuosha siku hiyo hiyo baada yakusuka!
 
......................... agika ... aksante kwa kunianzishia weekend vizuri yaani nimecheka kwa nguvu ati!!

Fidel siyo mimi mwaya ni agika huyoooo.

Umefuraaahi kweli MJ1...

agika hilo somo ulilipata wapi?
 

We una bahati mbaya 2 PJ.....sali kabla hujaenda kuzunguka huko unakojipatiaga mlo wako wa kila siku maaana mhhh....kuishia kwenye uchafu-POSITIVE na utaalam/utundu-NEGATIVE sio mchezo!
 

Mwekee mfanyakazi na yeye apate muda wakupumzika....kosa ni lako mwenyewe kwakumgeuza punda!
 
huyo jama ambae anasema wanawake vibaya, anakosea sana. Kama yeye na anaemwita mpenzi wake walikosana eti kwa kuoga pamoja, huyo mwenzakle alikua anamwibia au yeye mwenyewe alikua anamwibia mwanamke.
 


Chimunguru

We una xperience nzuri sana ya hawa raia wa kike.

Kweli mi nakwambia, wanaobisha wote hapo juu aidha ni wageni wa PENZI au MALIMBUKENI, au la wameshikwa masikio na wanawake!

Achana na Mwanamke bana...Mi nakwambia hawana muda wa kupoteza kumsugua mtu ati! ..Msiongee kufurahisha jamvi nyie, talk the reality, and the truth on what is actually hapenning on scene!

Mkeo akikusugua sana siku hiyo ujue anataka kukuingiza kwenye BILI mbaya kabisa!

Aidha utaombwa hela nje ya bajeti, au utaambiwa kuwa ` "yule mdogo wangu, shangazi yake na binamu yangu"` anataka kuja tumsaidie karo... na manini sijui!!

Wezi watupu!

Shida humu ndani kuna watoto kibaao ambao wakati sisi tunaongelea wanawake wao wanaongelea DEMU!....SHIIT, WHAT IS demu*#@@??

Demu ni TAPELI-FLANI anayeishi maisha ya MAIGIZO!

Kwa kilugha chetu sisi tunamwita IMPOSTOR!...

"A" kwake ni "B", na B kwake ni A!....

Akisema anaomba hela kidogo, ni kwamba anaomba hela nyingi!

Akicheka ni kwamba anakuonea huruma kwa jinsi utakavyoumia!

Akilia ni kwamba anataka usijue kama ana furaha ya ajabu!
Akisema sitaki, ndo anataka!

In short, to them, a YES means NO, and vice-versa!



Anaigiza kula, anaigiza kutembea, anaigiza kuvaa, kuongea,kucheka,ku-sms, kulia, kujali,na kila kitu cha maisha!...hivi hawa hawajui eeeh!!..

U r in for it, and u r finished!!

 

...dah, 😀 mkubwa unaongea kwa uchungu sana! ha ha haaa... si utani ndugu yangu, yaonekana 'mvua unayoisimulia kweli imekunyea', tatizo kwenye majamvi kama haya hapakosekani wanafunzi,...hayajawakuta hao.

Binafsi hufurahia privacy ya bafuni kukimbia kelele za maza hausi,...akianza tu mie mbio as if nimeshikwa na tumbo la kuhara! Hizo za kukoga pamoja hata sikumbuki mara ya mwisho ilikuwa mwaka gani.
 
...Binafsi hufurahia privacy ya bafuni kukimbia kelele za maza hausi,...akianza tu mie mbio as if nimeshikwa na tumbo la kuhara! Hizo za kukoga pamoja hata sikumbuki mara ya mwisho ilikuwa mwaka gani.


mmmmmm Mbu mbona umenibwaga hivyo..... yaani wend ajificha bafuni???? mmmmm hebu anzisha program ya kuoga pamoja na maza hse... uone kama hizo kelele hazitapungua ama kwisha kabisa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…