Kuokoka ni nini? Walokole wanaposema wameokoka, wanamaanisha nini?

Unauliza swali kama uko dunia nyingine vile! Kwani nyinyi manojiita walokole mnaishi wapi mpaka tushindwe kuyaona matendo yenu ya uzinzi?
Mathayo 7:21-23
Si kila aniambiaye, ‘Bwana, Bwana’, ataingia katika ufalme wa mbinguni; ila ni yule tu anayetimiza matakwa ya Baba yangu aliye mbinguni.

SIO KILA ANAYEDAI NI MLOKOLE NI MLOKOLE. HATA SHETANI HUJIGEUZA KUWA KAMA MALAIKA WA NURU
(2 Wakorintho 11:14).
 
sheri zipi hizo ?
 
Usiibe, usizini, usiue, usiseme uongo...hizo ni baadhi tu ya sheria. Ina maana wewe husomi kabisa Biblia?
nasoma ila wewe sikuelewi maana unaongea tofauti kabisa na kilicho ongelewa humo
 
Hawana jipya hawa wameshiba mahindi mabichi hawawez kukujib
 
Kwanini mtu aliyeokoka hanywi pombe? Na kwanini wanaojiita walokole wanazini sana kwa siri?
 
WAAAFRIKA SISI WAJINGA SANA, HIVI TUSINGETAWALIWA NA HAWA WAZUNGU NA WAARABU WALIOLETA DINI TUNGEKUAJE? MAANA MUNGU YUPO TTUU MIAKA NA MIAKA KABLA HATA YA MKOLONI KUJA NA DINI ZAKE FAKE
 
Hakuna kuokoka. Ni uzwazwa tu. Huwezi kuokoka ukaendelea kuomba. Waliokoka wapo makaburini hawa ni bangi tu.
 
Wewe unajitofautisha vipi na magugu ikiwa wote mnaishi katika dunia iliyojaa vishawishi vya kutenda dhambi?

Au unashinda duniani, ikifika usiku unaenda kulala mbinguni?

Maana hata kutamani kitu cha mtu ni dhambi, kumsengenya mtu ni dhambi.

Ina maana wewe tangu uokoke hujawahi kutenda dhambi??? Au ukishaokoka kipimo cha dhambi kinakua tofauti.


View: https://youtu.be/qAmphdc9WiM?si=SVT8PKQyxMupPJs2
 
Amina, ubarikiwe sana.
 
Hakuna kuokoka. Ni uzwazwa tu. Huwezi kuokoka ukaendelea kuomba. Waliokoka wapo makaburini hawa ni bangi tu.
Yesu pia pamoja na kwamba hajawahi kutenda dhambi, aliomba, kila siku, na alituasa tusiache kuomba. Mungu akusaidie kwa sababu background yako inaonyesha haukukuzwa kwenye mambo ya Mungu kabisa kama haujui hata hili. nadhani ushakuwa mtu mzima sasa, jipambanie, fanya uamuzi binafsi wa kutafuta kumjua Mungu na njia zake sahihi, kwani usipofanya hivyo ni wewe binafsi utakuja kuhukumiwa. Mungu akusaidie.
 
Hakuna wokovu hapa duniani. Hivyo tuache kudanganyana.
hujaelewa alichoandika. pia, ulishawahi kusoma sehemu inayosema aaminiye na kubatizwa ataokoka, asiyeamini atahukumiwa? pia MATENDO 2:47 inayosema "Bwana akalizidisha kanisa kila siku kwa wale waliokuwa wakiokolewa" have you ever read those areas?
 
Unafiki mtupu!
Hakuna watu wanafiki na wanaopenda kuhukumu watu wengine kama hawa.
kwa hiyo ukiambiwa ukweli kwamba uache dhambi uokoke, hupendi kukosolewa, unakimbilia kusema unahukumiwa? hata Yesu alitukanwa hivyo hivyo na alikosoa hivyohivyo, na watu kama wewe walikuwepo tangu zamani, na waliangamia hata baada ya kuambiwa ukweli na kushupaza shingo zao. Mungu akusaidie ujue ukweli pengine utapona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…