Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Naelewa chifu๐HAO WAJINGA FILTER ZINAWAZUZUA๐๐๐KUTANA NA HIYO MISUKULE LIVE UTACHOKA MWENYEW๐ค
HAO MALAYA UNABUTUA UNAPITA HIVI๐คOyaah brother na uchagaa huu sitoi kitu ariiiifuu ๐
Mtu sio bikra, keshapigwa finga side zote afu ety unajua huna hela Mara nimesoma academy
Ko aliambiwa i will come to refund her school fees paid during her school time au matunzo
Akadange tuu tununue tujue ๐
Kwangu Mimi aseeh sahauni kutoa maharii kubwa huku sijawajengea wazazi wangu buloku ๐๐Mungu atusaidie๐๐
yule ni certified HOE GRADE 1๐๐Naelewa chifu
Ahh gigy anaongea ukweli mtupu aani
Anakwambia ndoa haiwez ๐๐
Waseme wako soko na sio kutumia kigeZo Cha ndoa kutafuta staraHAO MALAYA UNABUTUA UNAPITA HIVI๐ค
๐๐๐๐yule ni certified HOE GRADE 1๐๐
ANACHEZA MIGUU YOTE๐๐๐
ANAEXPERIENCE TANGU MDOGO NA KASHENYENTWA MBAYA MBOVU MPAKA NA HAO MACELEB WA BONGO WAMEPONEA NA WANAENDELEA KUPONA HAPO๐ค
We mchaga mfuko wako una macho ๐๐๐Kwangu Mimi aseeh sahauni kutoa maharii kubwa huku sijawajengea wazazi wangu buloku ๐๐
Nina hela ila sina hela za kuchezea na kuchangia kwenye mikusanyiko ya MASIKINI wajingawajinga.Tdfuta hela usilalamike eh
Hailiwiii na ikiliwa ujiandae kupigwa kizinga au uwe fursa ๐๐We mchaga mfuko wako una macho ๐๐๐
Kula Hela ya mchagga ni shida
Naomba aftatuHailiwiii na ikiliwa ujiandae kupigwa kizinga au uwe fursa ๐๐
Aftatu kivip sasa wakati sijala ๐๐Naomba aftatu
๐น๐น๐น๐น
Jinyime nipate Mimi๐Aftatu kivip sasa wakati sijala ๐๐
Mwisho wa siku unitukane ubwege, na genye ndo zilikufanya ukanipa kwani nilikulazimisha ๐๐Jinyime nipate Mimi๐
I promise to behave at the end ๐๐Mwisho wa siku unitukane ubwege, na genye ndo zilikufanya ukanipa kwani nilikulazimisha ๐๐
Sasa mbona ndo nilikua nachapisha kadi za Sendoff ๐๐ปโโ๏ธJumapili au Jumamosi funga ndoa kanisani rudi nyumbani na mwenzi wako muishi kwa amani na furaha. Nendeni ofisi ya DC fungeni ndoa mrudi nyumbani muishi kwa amani.
Au fungeni ndoa nyumbani kwa binti murudi nyumbani mukaishi kwa amani.
Kama unataka kufanya sherehe ruksa, fanya kwa uwezo wako. Mchangishane wana familia, hiyo ndio heshima na busara. Marafiki mutualike tu, kwakuwa tunajua mnaanza maisha hatutakuja mikono mitupu. Pesa mtapata ambazo mtafungulia biashara au kuanza ujenzi. Vyombo mtapata pia.
Hii ya kukabana michango mwisho wa siku ikipatikana millioni 20 yote wanakula ma MC, wapambaji, catering, wapiga picha nyie mnabakiwa na laki 6 .
Hakuna zawadi ya maana rafiki au workmate alitetoa mchango atakuletea.
Sherehe utaiandaa kulingana na kiasi cha fedha. Wengine wameanza maisha ya ndoa kwa mkosi wa madeni .
Hiyo ndoa itajaa madeni, madeni, madeni mpaka ivunjike.
Aseeh .... ๐๐ Ngoja nimwite @MshambaHachekwiI promise to behave at the end ๐๐