Kuomba mchango wa harusi ni matusi makubwa

huo si utamaduni wa wa TANZANIA, ni hassling tu za wakandarasi wa harusi na sherehe mbalimbali
 
Inaelekea wazee wana njaa kali sana hawa πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Kupiga ukunga kwa kutoa elfu 30 au 50 ni laana πŸ˜€πŸ˜€
Hawa ndio wale ofcn wamekaa muda mrefu,vijana wameajiriwa hivi karibuni wanawazidi maendeleo
Hua wabahili na wana visirani hawa
 
Mambo yao waachie wenyewe...


Cc: Mahondaw
Tuwaachiaje wakati hawaishi kutusumbua ni mikadi yao, mara message, mara wanakuunga tu kwenye magrup yao, mara tunanuniana ofisini.
Binafsi nishawatangazia wote wanaoniletea kadi kwamba naomba mwaliko wa harusi na sio kuchangia. Hutaki niache nitaalikwa na wasiochangisha kama ambavyo mimi sijui mchango wa mtu
 
Tunawakazia kama Trump ili mjifunze kujitegemea.Wehu ninyi.
 
Upo very "simati" muheshimiwa.
 
Unapiga kiingereza alafu kulia mitandaoni kwa ajili ya elfu 30 au 50 ni fedheha

Doto magari ataendelea kudharau wasomi kila kukicha
Tunawafundisha namna ya kujisimamia mambo yenu mnatuona tuna roho mubaya?Hebu shitukeni vijana.
 
Sawa Baba....Naona umeiva uchumi kama Trump,Ni ukwl mtupu ambao unahitaji jicho la Mbali kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…