Kuomba mchango wa harusi ni matusi makubwa

Na kila kukicha harusi zinazidi kuwaka moto. Kuna mwezi nilijikuta nipo kwenye magroup 4 ya harusi. Nikasema hell No.
Hao wote watakuwa jamaa wa bwana asifiwe maana hawana jambo dogo.
 
Ukifanya hvyo utadumu kwenye ndoa maana ndoa zote zilizorushwa live na AZAM media zote chalii naanza na ya alikiba na mdogo mnakaribisha husda tu.
 
Ukweli mtupu.
 
Kwahiyo kusomeshwa academy mm ndo nilipe ada zake ?

Ana kitu gani Cha maharii ya million ishirini mbona kama umetokwa na povu sana! Ndugu
 
KWANZA KABISA WOTE WANAOOA BILA KUJIPANGA WAKITEGEMEA MICHANGO YA WATU WENGINE,HAWA NI FAILURES KABLA YA YOTE.

HIZI NG'OMBE ZIMESHAFELI KABLA YA KUANZA.HAIINGII AKILINI NI VIPI UNAOANGA UFANYE HARUSI YA MILLIONI ZAIDI YA KUMI NA HUNA HATA MILLION 5.

📌📌📌MCHANGISHAJI NA WANAOKUCHANGIA HAMNA AKILI.NYIE WOTE NI WAJINGA NA WAPUMBAVU KABISA.

📌MIMI HUWA SICHANGII HUO UPUMBAVU NA MIKUSANYIKO YA KIJINGA NA KIPUMBAVU SISHIRIKI🤝
 
kuchangisha harusi nje ya family members hiyo ni irresponsible behavior, it amounts to a FRAUD, pia ni ni ushamba, how can you raise public funds for your simple personal obligation, this culture IS DISGUSTING
HILI NALO MPAKA TRUMP ALISEME.

MIAFRICA PARTICULA MITANZANIA NI MIZOMBI PUMBAVU KABISA NA HII TABIA IMEKUWA NA KUMEA MPAKA IMEHALALISHWA NA WAJINGAWAJINGA IMEKUWA TAMADUNI SASA.

📌YOTE HII NI KWAKUA KILA MJINGA MWENYE VIJISENT VIWILI VITATU SIKU IZI ANAHAKI YA KUZUNGUMZA NA KUTOA MAONI.HII INAPELEKEA WAJINGA WAMEUNGANA NA KUTENGENEZA ALLIANCE KUBWA NA SASA MAMBO YOTE KWENYE JAMII YANAJIENDEA SHAGALABAGALA.
 
Kweli tupo hivo mkuu, kuna siku nikamwambia dada kuwa kwani haiwezekani kutofanya sherehe ya harusi ndoa iishie kanisani? akajibu inawezekana, lakini mkeo atajisikiaje bila sherehe? nikaona shida hapa
ungemjibu kujisikia kwake sio kipaumbele chako🤗
 
Kweli tupo hivo mkuu, kuna siku nikamwambia dada kuwa kwani haiwezekani kutofanya sherehe ya harusi ndoa iishie kanisani? akajibu inawezekana, lakini mkeo atajisikiaje bila sherehe? nikaona shida hapa
Sherehe ni successful life ya ndoa, si mbembe za wakandarasi wa harusi (Mc, suppliers etc)
 
Ukiwa maskini wa hela ,maskini wa mahusiano na ndugu,marafiki majirani nk.lazima uwe na vimisimamo vya kijinga kama huu ulioandika
Punguza hasira bwashee, kama unamuita mwenzio masikini mbona unadai michango?
Mke ni WA kwako au tukichanga utaruhusu aje atupiemo hata kimoja kwa mkeo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…