Ndugu Atoto amesema huyo binti anafanya kazi UDOM na ana own daycare facility. Sioni sababu ya kuviamini vyombo vya habari vya nchi yetu.
Tatizo ndio linaanzia hapo kuwa wewe na huyo mleta mada hamujielewi Kuna wanasoma CPA kibao huhitaji tuition kutoka Kwa watu wenye CPA wawafundishe Hadi majumbaniYaani usome cpa kisha ukafundishe twishen?
CPA haina part time mkuu. Usione herufi 3 tu, waulize wahasibu kuisoma tu gharama zake, waulize hadhi yake. Ile ni kimataifa wala si kitaifa.Sikatai Kuna digrii na digrii mfano mwenye CPA sio rahisi sana kukosa Cha kufanya akiingia kuomba mfano part time shule za private za sekondary na vyuo private Huwa Wana shida sana kupata walimu wazuri hayo masomo wakijua ana CPA shule yeyote ya hata jirani eneo anakaa watampa part time job ya kufundisha nadhani yeye analenga zaidi ajira Rasmi za serikali kabweteka .CPA Kwa Tanzania hii pamoja na uhaba wake wa ajira mwenye CPA sio mtu wa kufanya kazi za u house girl huyo kichwa chake kibovu na hii clip imetoka watu serious hawawezi mwajiri hayuko vizuri kichwani huyo
Kwa hiyo hao waandishi wa habari wanaongopa hapo na mdada kawasaidia kwa kujibu watakavyo?!Huyu dada anafanya kazi UDOM na ana-own day-care facility. Labda ndio maana kajiita dada wa kazi.
Huku unajua bila kushikwa mkono hutoboiHizi elimu mnazo soma ziendane na connection na network. Kuna watu hawana elimu ila wapo kwenye mifumo ya ajira na wanalipwa mishahara mikubwa sana.
Nadhani tunahitaji kujitathimini. Mtu unasomea engineering ila hauna rafiki, ndugu, mwanafamilia, jirani wala mtu yoyote unaemjua ambaye anafanya kazi katika hiyo taaluma.
Sema mwenye CPA. Jina hili lina hadhi yake mkuuKwahy tutakua tunachapa beki 3 wenye degree douh
Wewe akili huna. Akili yako inawaza kuajiriwa tu ulivyo zero brain.Tatizo ndio linaanzia hapo kuwa wewe na huyo mleta mada hamujielewi Kuna wanasoma CPA kibao huhitaji tuition kutoka Kwa watu wenye CPA wawafundishe Hadi majumbani
Kuna tuition centre kibao za kufundisha wanafunzi wanasoma CPA na wamiliki wa hizo tuition centre ni matajiri na hutumia hao wenye CPA kufundisha wenzaa
Mashule mengi private ya secondary ambako wanafunzi wao wa O level na A level ambao hufaulisha sana somo la Bookkeeping na Accountancy Huwatumia sana wenye CPA kuundisha tuition part time kwenye shule zao .
Yaani wewe unaishi Dunia unayoijua mwenyewe huelewi kinachoendelea sokoni ndio maana unashamgaa mwenye CPA kufundisha Tuition
Vyuo vikuu wamejaa pia na CPA zao wanafundisha wanavyuo wanaochukua digrii za Accounting wewe hata huelewi uko gizani umejifungia kufanya kazi za u house girl
Hakuna tena la 7 na tunakoelekea wanaenda kuishia la 4 maana hakuna UMUHIMU wa kusoma mda mrefu unapoteza muda alafu unarudi mtaani kuokota makoposi unamuona shida kaishia la saba anavyohangaika
Basi asamehewe kudhalilisha watu. Angejua anachokiongelea,angetaja hata nyingine siyo CPA.Kuna ajenda inasukumwa hapo!
sasa mkuu hzo connection na network unazipata wapi, umesoma kijijini huko msingi, sekondari shule za kata hukohuko kijijini, a level labda unasogea kidogo wilayani, ghafla umemaliza six unajikuta chuo course uliyochagua, umejichagulia tu maana hukuwa na muongozo maana huko kijijini waliofika six/chuo wa kuhesabu/hawapo, mara paaap umemaliza chuo,Hizi elimu mnazo soma ziendane na connection na network. Kuna watu hawana elimu ila wapo kwenye mifumo ya ajira na wanalipwa mishahara mikubwa sana.
Nadhani tunahitaji kujitathimini. Mtu unasomea engineering ila hauna rafiki, ndugu, mwanafamilia, jirani wala mtu yoyote unaemjua ambaye anafanya kazi katika hiyo taaluma.
Taja CPA Review centre iliyo na mtu anaefundisha CPA huku yeye akiwa hana CPA?Unajua CV zote za wanaofundisha hizi Centers hua zinatumwa NBAA?Unadhani zinatumwa kwa Nini?Wewe akili huna. Akili yako inawaza kuajiriwa tu ulivyo zero brain.
Mantiki ya kusoma cpa sio ukafundishe, kufundisha iwe ni part time job yako. Kwa sababu kufundisha watu wa cpa sio lazima uwe na CPA. You don't need a cpa certificate to train cpa candidates, ukiwa unaelewa accounting and finance unafundisha tu. Kukariri maswali na majibu yake nayo unahitaji uwe na certificate?
Kwa nini usiseme huyo mtu aaanzisha kampuni ya kuandaa hesabu, kutafsiri hesabu, kuandaa kodi, kutafsiri kodi, kushauri masuala ya fedha na kodi
Sasa wewe umekomalia kuajiriwa, kufundisha, kuajiriwa kufundisha.
Unaongea tu utadhani hizo kazi za part time zipo tu!!...watu hawataki hata ujitoleeKuna kitu hakiko sawa kwake pia
Qualifications zinavyozidi kuwa kubwa maana yake akili inatakiwa kufunguka zaidi kujua fursa Gani mtu afanye yenye Hadhi ya Elimu yake CPA aweza anzisha tuition ya masomo ya uhasibu ,akaomba kufundisha part time vyuo vonafunfishs somo la uhasibu au akaomba kufundisha shule za sekondary private zinazofundisha masomo ya biashara zenye O level au A level aweza jiunga na kampuni private za uhasibu kufanya kazi za ajira ya kudumu au part time Kwa kulipa au kujitolea nk opportunies are endless
Lakini kufanya kazi za u house zinaua CV yake sababu wakitaka aonyeshe experience ya fani yake hiyo kazi ya u house girl haikubaliki hapo anazidi kuua Cv mwisho wa siku hakuna atakayemhitaji
1. Kwanza sio lazima kusoma cpa ukasome kwenye tuition centres. Sio lazima.Taja CPA Review centre iliyo na mtu anaefundisha CPA huku yeye akiwa hana CPA?Unajua CV zote za wanaofundisha hizi Centers hua zinatumwa NBAA?Unadhani zinatumwa kwa Nini?
Hata Kama huja ajiriwa na hizi centers,then kwa akili ya kawaida tu candidate gani wa CPA anataka kufundishwa na mtu asie na CPA?
Hakuna lugha ya:1. Kwanza sio lazima kusoma cpa ukasome kwenye tuition centres. Sio lazima.
2. Kwa kua sio lazima kufanya mitihani ya cpa uwe mwanafunzi wa centre hoyote, unaweza kusoma popote ama ukajisomea mwenyewe.
3. Usipende kutoa majibu ya jumla jumla' generalization syndrome'. Bro wangu alimaliza bcom UDSM akawa anafundisha wenzake nyumbani huku na yeye anafanya na wote walifaulu. Yeye alikua anayajua hivyo alikua anafanya kwa ajili ya certificate tu ama kua certified.
Ndio maana nikakwambia huhitaji cheti cha CPA kufundisha watu wa cpa, kama unajua utafundisha tu na watafaulu. Kujua jambo sio lazima uwe na certificate yake, unajua tu. Certificate ni formality tu.
'Yeye alikua anayajua hivyo alikua anafanya kwa ajili ya certificate tu ama kua certified.'
Atakuwa anachakatwa na baba mwenye nyumba siyo bure! Ndiyo maana hata haoni shida kufanya hiyo kazi. Huyo ni mke mdogo!Hahaha, mkuu, usilete sababu, mpe mtoto wako elimu bora kadri inavyowezekana.
Kati ya CPA 10K hii nchi huyo mmoja hawez fanya tusisomeshe watoto wetu IST.
Kwa hio hapo no. 1&2 ukiwa unajisomea mwenyewe ndo unaita kujiajiri hivyo au?1. Kwanza sio lazima kusoma cpa ukasome kwenye tuition centres. Sio lazima.
2. Kwa kua sio lazima kufanya mitihani ya cpa uwe mwanafunzi wa centre hoyote, unaweza kusoma popote ama ukajisomea mwenyewe.
3. Usipende kutoa majibu ya jumla jumla' generalization syndrome'. Bro wangu alimaliza bcom UDSM akawa anafundisha wenzake nyumbani huku na yeye anafanya na wote walifaulu. Yeye alikua anayajua hivyo alikua anafanya kwa ajili ya certificate tu ama kua certified.
Ndio maana nikakwambia huhitaji cheti cha CPA kufundisha watu wa cpa, kama unajua utafundisha tu na watafaulu. Kujua jambo sio lazima uwe na certificate yake, unajua tu. Certificate ni formality tu.
Wewe akili huna. Akili yako inawaza kuajiriwa tu ulivyo zero brain.
Mantiki ya kusoma cpa sio ukafundishe, kufundisha iwe ni part time job yako. Kwa sababu kufundisha watu wa cpa sio lazima uwe na CPA. You don't need a cpa certificate to train cpa candidates, ukiwa unaelewa accounting and finance unafundisha tu. Kukariri maswali na majibu yake nayo unahitaji uwe na certificate?
Kwa nini usiseme huyo mtu aaanzisha kampuni ya kuandaa hesabu, kutafsiri hesabu, kuandaa kodi, kutafsiri kodi, kushauri masuala ya fedha na kodi
Sasa wewe umekomalia kuajiriwa, kufundisha, kuajiriwa kufundisha.
The Assassin ,una maanisha ukijisomea, ukafaulu na mitihani ukapata certificate yako,unakuwa ticket kwamba ni certified? Basi ingelikuwa hivyo,kusingekuwepo haja ya kusoma hiyo course. Pamoja na zile gharama, leo hii ipo wazi mtu anaweza akapakua,akajisomea na akafanya mtihani.1. Kwanza sio lazima kusoma cpa ukasome kwenye tuition centres. Sio lazima.
2. Kwa kua sio lazima kufanya mitihani ya cpa uwe mwanafunzi wa centre hoyote, unaweza kusoma popote ama ukajisomea mwenyewe.
3. Usipende kutoa majibu ya jumla jumla' generalization syndrome'. Bro wangu alimaliza bcom UDSM akawa anafundisha wenzake nyumbani huku na yeye anafanya na wote walifaulu. Yeye alikua anayajua hivyo alikua anafanya kwa ajili ya certificate tu ama kua certified.
Ndio maana nikakwambia huhitaji cheti cha CPA kufundisha watu wa cpa, kama unajua utafundisha tu na watafaulu. Kujua jambo sio lazima uwe na certificate yake, unajua tu. Certificate ni formality tu.
Analipwa vzuri ndo mana anafurahiaKutana na dada wa kazi alieenda shule Ella ambaye yeye anasema kazi yake ni usaidizi wa kazi za nyumbani.
Anasema licha ya kuwa na CPA yeye ni dada wa kazi na anafurahia kazi hiyo.