Hii imeniuma kweli. Mungu asimame kwakwelimkuu una cpa halafu unakuwa hg, mkuu vaa viatu vya huyo binti embu.
Safi sana. Kwanza kuwa na certificate si kigezo cha kuitwa certified. Hiyo Auditing firm yenyewe haihitaji kujilidhisha? Kuwa na cheti cha uhasibu haimaanishi wewe ni mhasibu.Sio kwamba ukishakuwa na CPA tu unaruhusiwa kufungua kampuni ya kukagua au kufanya mahesabu (Auditing Firm).
Ukiwa na CPA maana yake ni kwamba wewe ume graduate kuwa mhasibu. Ishu ya kuwa na muhuri ni ishu nyingine kabisa.
Umemjibu vizurisasa mkuu hzo connection na network unazipata wapi, umesoma kijijini huko msingi, sekondari shule za kata hukohuko kijijini, a level labda unasogea kidogo wilayani, ghafla umemaliza six unajikuta chuo course uliyochagua, umejichagulia tu maana hukuwa na muongozo maana huko kijijini waliofika six/chuo wa kuhesabu/hawapo, mara paaap umemaliza chuo,
Tatfa taarifa zaidi uongeze maarifa usionekane kutokujua vitu vidogo vidogo vya wazi na kutia aibu ukoo wakoThe Assassin ,una maanisha ukijisomea, ukafaulu na mitihani ukapata certificate yako,unakuwa ticket kwamba ni certified? Basi ingelikuwa hivyo,kusingekuwepo haja ya kusoma hiyo course. Pamoja na zile gharama, leo hii ipo wazi mtu anaweza akapakua,akajisomea na akafanya mtihani.
Swali langu ni moja tu: vyuo vimefikia hatua tu ya kupokea pesa kisa mtu anajisikia kuwa mhasibu mwenye CPA?
Sipingi mawazo yako,ila napinga ukweli wake. Mtu anaweza kufanya mtihani wa medecin akapewa certificate,akaendelea na kazi?
Nadhani uulizie kwanza CPA ni nini na utofauti wake na certificate nyingine za uhasibu ni nini.
Na ikitokea(japo haipo),ukamuona mtu mwenye CPA analandalanda mtaani, ujue hiyo ni deal.
Hawa watu hutumia gharama kubwa sana kuwa certified,hawa watu wana soko kubwa sana,huwezi kusoma CPA bila uhakika wa ajira au uwezo wa kufanya mambo yako mwenyewe.
Kwanza karibia wote wanaosoma,unakuta tayari wapo kwenye ajira, na husomeshwa.
Mi sikubaliani na wewe, course za CPA usizichukulie kama chuo cha udereva au tuition ya preform one.
Hahahahaha hakuna kitu kama hicho. Mtafute Dr hospitali yoyote,mwambie aje awe mfanyakazi kwako,umlipe Mikioni 10. Bila makato, tuone kama atakuja! Msidhalilishe CPA kiasi hichoAnalipwa vzuri ndo mana anafurahia
Ni kwa nini isiwe hivyo?Sio kwamba ukishakuwa na CPA tu unaruhusiwa kufungua kampuni ya kukagua au kufanya mahesabu (Auditing Firm).
Ukiwa na CPA maana yake ni kwamba wewe ume graduate kuwa mhasibu. Ishu ya kuwa na muhuri ni ishu nyingine kabisa.
Uwe inajitahidi kusoma jambo na ulielewe ili usiulize maswali yasiyo na kichwa wala miguu na kutia aibu ukoo wako.Kwa hio hapo no. 1&2 ukiwa unajisomea mwenyewe ndo unaita kujiajiri hivyo au?
kuna dada mmoja ana degree ya uhasibu, akaenda kampuni moja ajitolee, wakamwambia kama utajitolea bure kabisa tunaweza kukufikiria ila hatuna uwezo wa kukupa hata 1000 ya nauli, huyo dada kaolewa akamshirisha mumewe, mume kamwambia atakuwa anamsaidia nauli aendelee tu kujishikiza hapo apate uzoefu.Unaongea tu utadhani hizo kazi za part time zipo tu!!...watu hawataki hata ujitolee
Una manisha kuna idadi ya watu 10,000 wenye CPA??Hahaha, mkuu, usilete sababu, mpe mtoto wako elimu bora kadri inavyowezekana.
Kati ya CPA 10K hii nchi huyo mmoja hawez fanya tusisomeshe watoto wetu IST.
SanaIna maana dada wa kazi wa la saba wajipange
Maarifa ntaongeza sikatai. Lakini ya kuniaminisha kwamba CPA ni kama cheti cha chuo chochote,hayo siyahitaji.Tatfa taarifa zaidi uongeze maarifa usionekane kutokujua vitu vidogo vidogo vya wazi na kutia aibu ukoo wako
Wameshiba na huenda hawakuhaha kupata kazikuna dada mmoja ana degree ya uhasibu, akaenda kampuni moja ajitolee, wakamwambia kama utajitolea bure kabisa tunaweza kukufikiria ila hatuna uwezo wa kukupa hata 1000 ya nauli, huyo dada kaolewa akamshirisha mumewe, mume kamwambia atakuwa anamsaidia nauli aendelee tu kujishikiza hapo apate uzoefu.
mambo ni magumu kitaa watu wanachukulia poa tu, sababu labda wanakazi au biashara.
kuna dogo kamaliza ualimu 2016 alitafuta pa kujitolea wapi, zunguka mikoa kadhaa anatafuta kujitolea wapi, juzi hapa ndo kapata kazi serikalini. anamshukuruje sa100.Wameshiba na huenda hawakuhaha kupata kazi
Una manisha kuna idadi ya watu 10,000 wenye CPA??
Mhasibu na sura nzuri wapi na wapi? angekuwa marketing sawaMkuu ukiandika kifupi hatokuelewa mfano hiyo ist anaweza akajua ni vile vigari vya uba na bolt πππ kwanza sura ya dem yenyewe haimfanyi muajiri atamani kuwa nae ofisini alaf kitu ingine kila mmoja wetu kapangiwa sehemu yake kwenyw haya maisha ila watoto lazima wapate haki za msingi ikiwemo elimu bora
Basi usiendelee kubisha vitu usivyovijua, unaaibisha ukoo wako.Maarifa ntaongeza sikatai. Lakini ya kuniaminisha kwamba CPA ni kama cheti cha chuo chochote,hayo siyahitaji.
Labda ungejaribu kutafuta hiyo CPA ni nini kwanza,kwa uelewa zaidi.
Mwamba yuko wap siku hizi hatumuoni kijiwenHaya
Discuss....Money is better than education
unasemea cpa au accaCPA haina part time mkuu. Usione herufi 3 tu, waulize wahasibu kuisoma tu gharama zake, waulize hadhi yake. Ile ni kimataifa wala si kitaifa.
Hivi unadhani inasomwa na yeyote? Labda tu aamue kukusaidia,ila sidhani kama kuna mtu mwenye CPA amekosa ajila mpaka aende kukusanya hizo elfu kumi kumi.
Uulizie kwanza gharama za hilo somo, uangalie uhitaji wa hao watu sokoni,utajua hujui. CPA aje kukupiga somo nyumbani? Labda iweje! Wewe uwe mhasibu wa kawaida unayejua CPA? Sawa inawezekana. Certificate utayipata wapi kama hujalipia na kwenda chuo?
Mi si mhasibu,ila kwa ka akili kangu nilivyoona ile kitu,waachie wenyewe. Serikali inaifadhili?
Ofisi yoyote huko bandarini atakayoingia mbona anapokelewa kama malikia? Hata akiapply nchi za nje mbona atapelekwa? Siyo yeye atajipeleka! Wachangamshe jukwaa lakini CPA kitu kingine aise