Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Huyu aliacha kuukimbiza na akaondoka yeye akauacha mwengeRIP Shujaa Magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu aliacha kuukimbiza na akaondoka yeye akauacha mwengeRIP Shujaa Magufuli
Asante niliusoma huu Uzi ila nikama ni story za kusadikika , hazina ushahidi wakutosha , kwenye jamii ya watu wasomiKama unataka sana kujua kuhusu mwenge, jinsi ulivyoanzishwa, madhumuni yake na nani alianzisha soma huu uzi.
Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru
"Baba, sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu, ulete tumaini mahala pasipo na tumaini, faraja palipo na huzuni, tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki na heshima palipo na dharau" Baada ya kutamka hayo mbele ya Mwl.Nyerere, Ganze...www.jamiiforums.com
Kumbe waliazisha mwenge ili majobless wapate tempo😁Mwenge tunapata Ajira zetu za temporary acheni majungu
bado mwenge wenyewe ambao ni shirki na chukizo kwa Mungu wa Israel, uondolewe hizi shida hamtaona tenaView attachment 2473444
MAJIRA YA LAANA YAMEKOMA, SASA NI MWANZO WA MAJIRA MAPYA YA BARAKA TELE KWA TAIFA LETU.
Leo nachukua fursa hii kumpongeza mama kwa kuupiga mwingi.
Rais wetu Samia Suluhu Hassan baada ya kusoma kuhusu laana zinazotumaliza kutokana na kukimbiza mwenge, akaamua auondoe na kuweka Tanzanite madini adhimu, adimu na ya thamani kubwa duniani.
Wachawi wa taifa hili walitaka tuendelee kuishi kwenye laana, hebu jiulize, iweje daraja la Tanzanite liwekewe mwenge badala ya Tanzanite?
Mama akaamua kuwatosa baharini wachawi wote, daraja limepata hadhi yake na thamani yake halisi.
Kitendo hiki kwenye ulimwengu wa kiroho ni pigo kubwa sana kwa wachawi ambao nia yao ilikuwa taifa liendelee kulala kwa huzuni kwa kuuabudu mwenge.
Isaya 50:11 SRUVDC
Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika muali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
Isaya 50:11 BHN
Lakini nyinyi mnaowasha moto, na kujifanyia silaha za mienge, tembeeni kwa mwanga wa moto huo, miali ya moto mliowasha nyinyi wenyewe. Mtakachopata kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ni hiki: Nyinyi mtalala chini na mateso makali
Isaiah 50:11
[11]Behold, all you [enemies of your own selves] who attempt to kindle your own fires [and work out your own plans of salvation], who surround and gird yourselves with momentary sparks, darts, and firebrands that you set aflame!–walk by the light of your self-made fire and of the sparks that you have kindled [for yourself, if you will]! But this shall you have from My hand: you shall lie down in grief and in torment. [Isa. 66:24.]
Anza na nembo za taifa zile unazijua lakini? Uhuru na Umoja ifutwe iandikwe nini? Wale bwana na bibi waondolewe tuweke Simba na Tembo au sio? Sio kila kitu kuponda tu, matambiko ya kichawi yapo mpaka kwenye nyumba za ibada ndio maana wanafukiza ubani na udi usijitoe akili mkuu, sijakupinga lakini kwa uelewa wako ndio umeishia hapomatambiko ya kichawi
Kuna mazingiko ukiyatazama unaona kama mepesi tu ila usirogwe ukaingia humo kutoka ni habari nyingine.Mwenge ni hasara kwa taifa letu. Upumzishwe sasa.
Gharama za kukimbiza mwenge ni kubwa sana, na tena mwenge hauna faida yoyote kwa taifa letu. Najua watakuja watu wenye matatizo ya kiakili kujaribu kuutetea mwenge.
Forojo Ganze a.k.a MasterJe mwenge ni tambiko au ni uchawi au ni kitu kisichojulikana vizuri? Yaaan asili yake haijulikan
Nilimpongeza sana ila nikajua hatoboiKuna mazingiko ukiyatazama unaona kama mepesi tu ila usirogwe ukaingia humo kutoka ni habari nyingine.
Muulizeni Magu alijaribujaribu kama kususia mwenge hivi kilichomkuta mi sijui.
Ndiyo ukweli wenyeweAsante niliusoma huu Uzi ila nikama ni story za kusadikika , hazina ushahidi wakutosha , kwenye jamii ya watu wasomi
Hakuna mtu yeyote anaeitakia mema hii nchi akautetea mwenge,Mwenge ni hasara kwa taifa letu. Upumzishwe sasa.
Gharama za kukimbiza mwenge ni kubwa sana, na tena mwenge hauna faida yoyote kwa taifa letu. Najua watakuja watu wenye matatizo ya kiakili kujaribu kuutetea mwenge.
Tujiulize, Zambia na Kenya wanapata hasara gani kwa kuto kimbiza mwenge? Wakoweza kujibu hizi swali niiteni..... nimekaa paleee
Soon is going to be omittedbado mwenge wenyewe ambao ni shirki na chukizo kwa Mungu wa Israel, uondolewe hizi shida hamtaona tena
Kwa wanene au sioLimeanzia Oyster Bay limeishia Sea View Upanga
Serikali inatakiwa Ito ufafanuzi hukusu swala la mwenge kiundani zaidi ,lasivyo serikali itajiletea sura mbaya Kwa jamiiNdiyo ukweli wenyewe
Nashauri na juu ya mlima wakafute nyayo za mwengeMwenge ni hasara kwa taifa letu. Upumzishwe sasa.
Gharama za kukimbiza mwenge ni kubwa sana, na tena mwenge hauna faida yoyote kwa taifa letu. Najua watakuja watu wenye matatizo ya kiakili kujaribu kuutetea mwenge.
Tujiulize, Zambia na Kenya wanapata hasara gani kwa kuto kimbiza mwenge? Wakoweza kujibu hizi swali niiteni..... nimekaa paleee
Kwann asitoboe , Kwan inahusiana vipi na Maisha yake?Nilimpongeza sana ila nikajua hatoboi