Kuondolewa Mwenge na kuwekwa Tanzanite daraja la Salender (Tanzanite Bridge) ni ishara ya mwisho wa laana kwa Taifa letu

Mwenge ni hasara kwa taifa letu. Upumzishwe sasa.
Gharama za kukimbiza mwenge ni kubwa sana, na tena mwenge hauna faida yoyote kwa taifa letu. Najua watakuja watu wenye matatizo ya kiakili kujaribu kuutetea mwenge.

Tujiulize, Zambia na Kenya wanapata hasara gani kwa kuto kimbiza mwenge? Wakoweza kujibu hizi swali niiteni..... nimekaa paleee
Mkuu hio ni biashara ya watu hio, a very lucrative, haiwezi kusitishwa, ni moja ya njia ya kupiga hela
 
Hakuna mabadiliko yoyote yatakayotokea kutokana na kitendo hicho.

Ugumu wa maisha uko pale pale.

Kwa bahati mbaya sana viongozi wetu huweka focus kwenye petty issues ambazo zina very litle impact kwenye maisha ya wananchi.

Kwakua umaskini na ujinga wa wananchi ndio capital yao.
 
Mwenge ni hasara kwa taifa letu. Upumzishwe sasa.
Gharama za kukimbiza mwenge ni kubwa sana, na tena mwenge hauna faida yoyote kwa taifa letu. Najua watakuja watu wenye matatizo ya kiakili kujaribu kuutetea mwenge.

Tujiulize, Zambia na Kenya wanapata hasara gani kwa kuto kimbiza mwenge? Wakoweza kujibu hizi swali niiteni..... nimekaa paleee
Serikali ingejaribu kusitisha kuukimbiza walau kwa mwaka mmoja tuone kitatokea kitu gani aisee,
 
Mwenge ni hasara kwa taifa letu. Upumzishwe sasa.
Gharama za kukimbiza mwenge ni kubwa sana, na tena mwenge hauna faida yoyote kwa taifa letu. Najua watakuja watu wenye matatizo ya kiakili kujaribu kuutetea mwenge.

Tujiulize, Zambia na Kenya wanapata hasara gani kwa kuto kimbiza mwenge? Wakoweza kujibu hizi swali niiteni..... nimekaa paleee
Tuanze kukimbiza tanzanite kila mwaka badala ya mwenge. Btw tanzanite ina umbo?
 
View attachment 2473444
MAJIRA YA LAANA YAMEKOMA, SASA NI MWANZO WA MAJIRA MAPYA YA BARAKA TELE KWA TAIFA LETU.

Leo nachukua fursa hii kumpongeza mama kwa kuupiga mwingi.
Rais wetu Samia Suluhu Hassan baada ya kusoma kuhusu laana zinazotumaliza kutokana na kukimbiza mwenge, akaamua auondoe na kuweka Tanzanite madini adhimu, adimu na ya thamani kubwa duniani.

Wachawi wa taifa hili walitaka tuendelee kuishi kwenye laana, hebu jiulize, iweje daraja la Tanzanite liwekewe mwenge badala ya Tanzanite?

Mama akaamua kuwatosa baharini wachawi wote, daraja limepata hadhi yake na thamani yake halisi.

Kitendo hiki kwenye ulimwengu wa kiroho ni pigo kubwa sana kwa wachawi ambao nia yao ilikuwa taifa liendelee kulala kwa huzuni kwa kuuabudu mwenge.

Isaya 50:11 SRUVDC
Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika muali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.

Isaya 50:11 BHN​

Lakini nyinyi mnaowasha moto, na kujifanyia silaha za mienge, tembeeni kwa mwanga wa moto huo, miali ya moto mliowasha nyinyi wenyewe. Mtakachopata kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ni hiki: Nyinyi mtalala chini na mateso makali

Isaiah 50:11
[11]Behold, all you [enemies of your own selves] who attempt to kindle your own fires [and work out your own plans of salvation], who surround and gird yourselves with momentary sparks, darts, and firebrands that you set aflame!–walk by the light of your self-made fire and of the sparks that you have kindled [for yourself, if you will]! But this shall you have from My hand: you shall lie down in grief and in torment. [Isa. 66:24.]
Umeandika meengi lakini jibu lako ni Rahisi kabisaaa!

Daraja linaitwa Tanzanite!
Iweje liwe na mwenge badala ya Tanzanite?

Vitu vingine sio hata kutumia nguvu nyingi kuvijadili,sababu makosa hapo ni dhahiri yalitokea na mhusika ni Engineer!

Sio kila kotu ni siasa.
 
View attachment 2473444
MAJIRA YA LAANA YAMEKOMA, SASA NI MWANZO WA MAJIRA MAPYA YA BARAKA TELE KWA TAIFA LETU.

Leo nachukua fursa hii kumpongeza mama kwa kuupiga mwingi.
Rais wetu Samia Suluhu Hassan baada ya kusoma kuhusu laana zinazotumaliza kutokana na kukimbiza mwenge, akaamua auondoe na kuweka Tanzanite madini adhimu, adimu na ya thamani kubwa duniani.

Wachawi wa taifa hili walitaka tuendelee kuishi kwenye laana, hebu jiulize, iweje daraja la Tanzanite liwekewe mwenge badala ya Tanzanite?

Mama akaamua kuwatosa baharini wachawi wote, daraja limepata hadhi yake na thamani yake halisi.

Kitendo hiki kwenye ulimwengu wa kiroho ni pigo kubwa sana kwa wachawi ambao nia yao ilikuwa taifa liendelee kulala kwa huzuni kwa kuuabudu mwenge.

Isaya 50:11 SRUVDC
Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika muali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.

Isaya 50:11 BHN​

Lakini nyinyi mnaowasha moto, na kujifanyia silaha za mienge, tembeeni kwa mwanga wa moto huo, miali ya moto mliowasha nyinyi wenyewe. Mtakachopata kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ni hiki: Nyinyi mtalala chini na mateso makali

Isaiah 50:11
[11]Behold, all you [enemies of your own selves] who attempt to kindle your own fires [and work out your own plans of salvation], who surround and gird yourselves with momentary sparks, darts, and firebrands that you set aflame!–walk by the light of your self-made fire and of the sparks that you have kindled [for yourself, if you will]! But this shall you have from My hand: you shall lie down in grief and in torment. [Isa. 66:24.]
Mawazo yako tu
 
Back
Top Bottom