Kuondolewa Mwenge na kuwekwa Tanzanite daraja la Salender (Tanzanite Bridge) ni ishara ya mwisho wa laana kwa Taifa letu

Asante niliusoma huu Uzi ila nikama ni story za kusadikika , hazina ushahidi wakutosha , kwenye jamii ya watu wasomi
 
bado mwenge wenyewe ambao ni shirki na chukizo kwa Mungu wa Israel, uondolewe hizi shida hamtaona tena
 
matambiko ya kichawi
Anza na nembo za taifa zile unazijua lakini? Uhuru na Umoja ifutwe iandikwe nini? Wale bwana na bibi waondolewe tuweke Simba na Tembo au sio? Sio kila kitu kuponda tu, matambiko ya kichawi yapo mpaka kwenye nyumba za ibada ndio maana wanafukiza ubani na udi usijitoe akili mkuu, sijakupinga lakini kwa uelewa wako ndio umeishia hapo
 
Mwenge ni hasara kwa taifa letu. Upumzishwe sasa.
Gharama za kukimbiza mwenge ni kubwa sana, na tena mwenge hauna faida yoyote kwa taifa letu. Najua watakuja watu wenye matatizo ya kiakili kujaribu kuutetea mwenge.
Kuna mazingiko ukiyatazama unaona kama mepesi tu ila usirogwe ukaingia humo kutoka ni habari nyingine.

Muulizeni Magu alijaribujaribu kama kususia mwenge hivi kilichomkuta mi sijui.
 
Hakuna mtu yeyote anaeitakia mema hii nchi akautetea mwenge,
 
Nashauri na juu ya mlima wakafute nyayo za mwenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…