silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,278
- 1,794
Mkuu hio ni biashara ya watu hio, a very lucrative, haiwezi kusitishwa, ni moja ya njia ya kupiga helaMwenge ni hasara kwa taifa letu. Upumzishwe sasa.
Gharama za kukimbiza mwenge ni kubwa sana, na tena mwenge hauna faida yoyote kwa taifa letu. Najua watakuja watu wenye matatizo ya kiakili kujaribu kuutetea mwenge.
Tujiulize, Zambia na Kenya wanapata hasara gani kwa kuto kimbiza mwenge? Wakoweza kujibu hizi swali niiteni..... nimekaa paleee
Ifafanue kwa miaka 60 Mwenge umemulika vipi mafisadi wakati ndio wanazidi mpaka wamekuwa mafisadi papaSerikali inatakiwa Ito ufafanuzi hukusu swala la mwenge kiundani zaidi ,lasivyo serikali itajiletea sura mbaya Kwa jamii
Serikali ingejaribu kusitisha kuukimbiza walau kwa mwaka mmoja tuone kitatokea kitu gani aisee,Mwenge ni hasara kwa taifa letu. Upumzishwe sasa.
Gharama za kukimbiza mwenge ni kubwa sana, na tena mwenge hauna faida yoyote kwa taifa letu. Najua watakuja watu wenye matatizo ya kiakili kujaribu kuutetea mwenge.
Tujiulize, Zambia na Kenya wanapata hasara gani kwa kuto kimbiza mwenge? Wakoweza kujibu hizi swali niiteni..... nimekaa paleee
Kwa wale wa 77-80 munakumbuka Mazingaombwe mashuleni, yaani yaliruhusiwa rasmi kumbe tulimkabidhi SHETANI nchi... Mungu naatusamehe....Ila kweli asee. Yaani mazindiko kila kona!!
💕Nashauri na juu ya mlima wakafute nyayo za mwenge
Hatari sanaKwa wale wa 77-80 munakumbuka Mazingaombwe mashuleni, yaani yaliruhusiwa rasmi kumbe tulimkabidhi SHETANI nchi... Mungu naatusamehe....
MkuuSerikali ingejaribu kusitisha kuukimbiza walau kwa mwaka mmoja tuone kitatokea kitu gani aisee,
Kwanini unamuita Mungu wa Israel?bado mwenge wenyewe ambao ni shirki na chukizo kwa Mungu wa Israel, uondolewe hizi shida hamtaona tena
Magufuli aliweza nantukaokoa zaidi ya bilioni 250Serikali ingejaribu kusitisha kuukimbiza walau kwa mwaka mmoja tuone kitatokea kitu gani aisee,
Kuna mwaka mwenge haujakimbizwa?Huyu aliacha kuukimbiza na akaondoka yeye akauacha mwenge
2020 hakukuwa na mbio za mwenge. Ni kwa mara ya kwanza tangu mbio za mwenge zianze enzi za nyerere.Kuna mwaka mwenge haujakimbizwa?
Inabidi utoe ushahidi wa kisayansi ili jamii ikuelewe
Tuanze kukimbiza tanzanite kila mwaka badala ya mwenge. Btw tanzanite ina umbo?Mwenge ni hasara kwa taifa letu. Upumzishwe sasa.
Gharama za kukimbiza mwenge ni kubwa sana, na tena mwenge hauna faida yoyote kwa taifa letu. Najua watakuja watu wenye matatizo ya kiakili kujaribu kuutetea mwenge.
Tujiulize, Zambia na Kenya wanapata hasara gani kwa kuto kimbiza mwenge? Wakoweza kujibu hizi swali niiteni..... nimekaa paleee
Nami nilikuwa najiuliza gharama yake!Utashanga utaambiwa garama za kuweka hicho kitufe Ni bilion kumi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Umeandika meengi lakini jibu lako ni Rahisi kabisaaa!View attachment 2473444
MAJIRA YA LAANA YAMEKOMA, SASA NI MWANZO WA MAJIRA MAPYA YA BARAKA TELE KWA TAIFA LETU.
Leo nachukua fursa hii kumpongeza mama kwa kuupiga mwingi.
Rais wetu Samia Suluhu Hassan baada ya kusoma kuhusu laana zinazotumaliza kutokana na kukimbiza mwenge, akaamua auondoe na kuweka Tanzanite madini adhimu, adimu na ya thamani kubwa duniani.
Wachawi wa taifa hili walitaka tuendelee kuishi kwenye laana, hebu jiulize, iweje daraja la Tanzanite liwekewe mwenge badala ya Tanzanite?
Mama akaamua kuwatosa baharini wachawi wote, daraja limepata hadhi yake na thamani yake halisi.
Kitendo hiki kwenye ulimwengu wa kiroho ni pigo kubwa sana kwa wachawi ambao nia yao ilikuwa taifa liendelee kulala kwa huzuni kwa kuuabudu mwenge.
Isaya 50:11 SRUVDC
Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika muali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
Isaya 50:11 BHN
Lakini nyinyi mnaowasha moto, na kujifanyia silaha za mienge, tembeeni kwa mwanga wa moto huo, miali ya moto mliowasha nyinyi wenyewe. Mtakachopata kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ni hiki: Nyinyi mtalala chini na mateso makali
Isaiah 50:11
[11]Behold, all you [enemies of your own selves] who attempt to kindle your own fires [and work out your own plans of salvation], who surround and gird yourselves with momentary sparks, darts, and firebrands that you set aflame!–walk by the light of your self-made fire and of the sparks that you have kindled [for yourself, if you will]! But this shall you have from My hand: you shall lie down in grief and in torment. [Isa. 66:24.]
Mawazo yako tuView attachment 2473444