Kuondolewa Mwenge na kuwekwa Tanzanite daraja la Salender (Tanzanite Bridge) ni ishara ya mwisho wa laana kwa Taifa letu

Je mwenge ni tambiko au ni uchawi au ni kitu kisichojulikana vizuri? Yaaan asili yake haijulikan
Wewe umeuliza na kuhitaji jibu ama ushaconclude mwenyewe kuwa asili yake aijulikani?
 
Wachawi wa nchi hii wamepata pigo kubwa kwa kuondolewa nembo yao, tena pale chini ya daraja la salenda kuna mlango wao wa kuingia kuzimu yao ya chini ya bahari.
 
CCM imelispoil sana taifa letu kwa matambiko ya kichawi
Thus hawataki uraia pacha sababu diaspora wao awalogwi wapo mbali akili zao zipo fresh wanaogopa wataleta vuguvugu la mageuzi kwa maiti hai.
 

Haya ni mawazo ya kukurupuka. Kama hilo jina walikuwa nalo tangia mwanzo, wangeweza kudesign kitu bora zaidi. Hiyo Tanzanite hapo juu haionekani vizuri, si mchana si usiku.

Na hivi tumebakiza miaka mingapi hiyo Tanzanite yenyewe iishie huko migodini?
 
Mbona mwengi ni Festival nzuri tuu shida sisi ni maskini na mwenge umekuwa mali ya ccm. Ila ingechukuliwa kama tunu ya taifa ingekuwa shangwe sana. Dunia kila nchi ina festival za kwao Tanzania hatuna hata festival moja zaidi ya sikukuu ya kiarabu na wazungu
 
mbona wanaukimbiza kila mwaka sasa?
 
Kwann asitoboe , Kwan inahusiana vipi na Maisha yake?
Mwenge ni mungu ndio maana anaombwa alete amani. Jiulize kile kimoto kinaletaje amani? Shetani haja yake kubwa ni kuabudiwa Rejea Mathayo 4:
8Kisha Ibilisi akamchukua mpaka juu ya mlima mrefu, akamwonesha falme zote za ulimwengu na fahari zake, 9akamwambia, “Hivi vyote nitakupa kama ukipiga magoti na kuniabudu.” 10Hapo, Yesu akamwambia, “Nenda zako Shetani! Imeandikwa:
‘Utamwabudu Bwana Mungu wako
na kumtumikia yeye peke yake.’”

mbona wanaukimbiza kila mwaka sasa?
Ni wachawi
 
Kwa hiyo uo wenge ni Kwa ajili ya uraisi, au ni tambiko Kwa ajili ya raisi?, Ili Mambo yake yaende vizur
 
Dah ila haya ni matusi makubwa, hii ndio hatari ya hawa watu kubadilisha maneno kwenye vitabu vitukufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…