Kuongeza Kasi ya maendeleo, viongozi wazuiwe kula ugali,watumie ngano isokobolewa kwa chakula

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam!

Kama unataka kuwa Bora kiakili, uongoze watu vizuri, epuka kula ugali, WEWE na familia yako.

Ugali haumpi mtu virutubisho vizuri kwenye ubongo ukilinganisha na ngano iisiyokobollewa.

1.Kilimanjaro wanatumia ndizi,tizama UWEZO wao kufikiri.

2. Bukoba na Kagera,chato, chakula ni ndizi zaidi na samaki, Angalia UWEZO wao kufikiri.

3. Mara alikotokea Mwl Nyerere,wanatumia zaidi ugali wa mtama.

4. Mbeya huko, Kadhalika.

Tujiulize kwann ulaya hawatumii ugali wa mahindi kwa chakula?

NB: Hauwezi kula ngano isiyokobolewa ukajikuta unaingiwa mawazo ya kuiba kura au kuiba Mali za umma.

Ninashauri menu ya viongozi wetu, ionndoe chakula kinachoitwa ugali wa mahindi, ngano ichukue Nafasi.

Imagine kwanini wakoloni walijikita kuwalisha wafungwa ugali? Walijua mchango wa ugali Katika kudumaza ubongo kuchakata vizuri issues.

Kataa ugali kwa maendeleo ya nchi yetu nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
 
Kama kuna kiongozi nchi hii umemuona ana akili na hutumia ugali kwa chakula,

Angepewa ngano isokobolewa tangu utoto,

Angekuwa Bora mara 100 alivyo Leo.

Kataa ugali.
 
Salaam!

Kama unataka kuwa Bora kiakili, uongoze watu vizuri, epuka kula ugali, WEWE na familia yako.

Ugali haumpi mtu virutubisho vizuri kwenye ubongo ukilinganisha na ngano iisiyokobollewa.

NB: Hauwezi kula ngano isiyokobolewa ukajikuta unaingiwa mawazo ya kuiba kura au kuiba Mali za umma.

Imagine kwanini wakoloni walijikita kuwalisha wafungwa ugali? Walijua mchango wa ugali Katika kudumaza ubongo kuchakata vizuri issues.

Kataa ugali kwa maendeleo ya nchi yetu nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
Tuanze kuwazuia kuchepuka kwanza kupunguza maambukizi
 
Mwl Nyerere,Mzee Warioba, walitumia zaidi mtama wakikwepa ugali wa mahindi.

Tunayo ardhi ya kutosha, tuzalishe ngano. Tuachane na vyakula vya kunenepeshea mifugo.
 
Alivyo kiongozi,

Ni matokeo ya chakula alacho.
 
Salaam!

Kama unataka kuwa Bora kiakili, uongoze watu vizuri, epuka kula ugali, WEWE na familia yako.

Ugali haumpi mtu virutubisho vizuri kwenye ubongo ukilinganisha na ngano iisiyokobollewa.

NB: Hauwezi kula ngano isiyokobolewa ukajikuta unaingiwa mawazo ya kuiba kura au kuiba Mali za umma.

Ninashauri menu ya viongozi wetu, ionndoe chakula kinachoitwa ugali wa mahindi, ngano ichukue Nafasi.

Imagine kwanini wakoloni walijikita kuwalisha wafungwa ugali? Walijua mchango wa ugali Katika kudumaza ubongo kuchakata vizuri issues.

Kataa ugali kwa maendeleo ya nchi yetu nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
Akili ya maamuzi ni akili ya asili

Nyerere, Magufuli na Lissu Wana na walikuwa na akili hawali walikuwa hawali ugali?

Ungeanza kwanza kusema ugali wa sembe uondolewe shule zote nchini!!
 
Akili ya maamuzi ni akili ya asili

Nyerere, Magufuli na Lissu Wana na walikuwa na akili hawali walikuwa hawali ugali?
Issue SI ugali,

Issue ni ugali wa mahindi, chakula Cha nunenepeshea mifugo hasa ngombe. Kuku pia na bata.

Nyerere alikula ugali wa mtama.

Magu hata kama alikula ugali, zaidi ni ndizi, bukoba, Kilimanjaro wanatumia zaidi ndizi, ona UWEZO wao ktk kufikiri.

Zaidi samaki ndio zimemsaidia zaidi.

Ukila ugali wa ngano ni vyema zaidi.

Hata wewe ingekuwa Bora mara 100 ikiwa ungelishwa ugali wa ngano isokobolewa tangu utoto.
 
Issue SI ugali,

Issue ni ugali wa mahindi, chakula Cha nunenepeshea mifugo hasa ngombe. Kuku pia na bata.

Nyerere alikuwa ugali wa mtama.

Magu hata kama alikula ugali,

Zaidi samaki ndio zimemsaidia zaidi.

Ukila ugali wa ngano ni vyema zaidi.

Hata wewe ingekuwa Bora mara 100 ikiwa ungelishwa ugali wa ngano isokobolewa tangu utoto.
Me chakula changu Bora ni ndizi,nyama, samaki,majani na maziwa hata ngano sili
 
Salaam!

Kama unataka kuwa Bora kiakili, uongoze watu vizuri, epuka kula ugali, WEWE na familia yako.

Ugali haumpi mtu virutubisho vizuri kwenye ubongo ukilinganisha na ngano iisiyokobollewa.

NB: Hauwezi kula ngano isiyokobolewa ukajikuta unaingiwa mawazo ya kuiba kura au kuiba Mali za umma.

Ninashauri menu ya viongozi wetu, ionndoe chakula kinachoitwa ugali wa mahindi, ngano ichukue Nafasi.

Imagine kwanini wakoloni walijikita kuwalisha wafungwa ugali? Walijua mchango wa ugali Katika kudumaza ubongo kuchakata vizuri issues.

Kataa ugali kwa maendeleo ya nchi yetu nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
Mitanzania bana. Mnawazaga mambo ya kijinga jinga Tu Halafu unakuja kushauri Huo ujinga humu ndani. Mbona Bangladesh, Haiti, CAR east Timor hawali ugali na
 
Me chakula changu Bora ni ndizi,nyama, samaki,majani na maziwa hata ngano sili
Ukila ndizi, samaki lazima utakuwa na akili Bora.

Sasa ukila ngano isokobolewa utakuwa Bora zaidi bila kuacha samaki na ndizi.
 
Mitanzania bana. Mnawazaga mambo ya kijinga jinga Tu Halafu unakuja kushauri Huo ujinga humu ndani. Mbona Bangladesh, Haiti, CAR east Timor hawali ugali na
Acha kutetea ugali wa kunenepeshea ngombe. Chakula Cha mifugo.

Chakula ni issue nyeti.
 
Karibu makete tukupe tumtemeke moja ushinde unakula siku nzima.
 
Mtama ni zaidi ya hivyo vyote ugali unadumaza sana ubongo kuwa uwezo wa kufikiri..
 
Back
Top Bottom