Tuanze kuwazuia kuchepuka kwanza kupunguza maambukiziSalaam!
Kama unataka kuwa Bora kiakili, uongoze watu vizuri, epuka kula ugali, WEWE na familia yako.
Ugali haumpi mtu virutubisho vizuri kwenye ubongo ukilinganisha na ngano iisiyokobollewa.
NB: Hauwezi kula ngano isiyokobolewa ukajikuta unaingiwa mawazo ya kuiba kura au kuiba Mali za umma.
Imagine kwanini wakoloni walijikita kuwalisha wafungwa ugali? Walijua mchango wa ugali Katika kudumaza ubongo kuchakata vizuri issues.
Kataa ugali kwa maendeleo ya nchi yetu nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
Akila ngano isokobolewa,Tuanze kuwazuia kuchepuka kwanza kupunguza maambukizi
Akili ya maamuzi ni akili ya asiliSalaam!
Kama unataka kuwa Bora kiakili, uongoze watu vizuri, epuka kula ugali, WEWE na familia yako.
Ugali haumpi mtu virutubisho vizuri kwenye ubongo ukilinganisha na ngano iisiyokobollewa.
NB: Hauwezi kula ngano isiyokobolewa ukajikuta unaingiwa mawazo ya kuiba kura au kuiba Mali za umma.
Ninashauri menu ya viongozi wetu, ionndoe chakula kinachoitwa ugali wa mahindi, ngano ichukue Nafasi.
Imagine kwanini wakoloni walijikita kuwalisha wafungwa ugali? Walijua mchango wa ugali Katika kudumaza ubongo kuchakata vizuri issues.
Kataa ugali kwa maendeleo ya nchi yetu nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
Issue SI ugali,Akili ya maamuzi ni akili ya asili
Nyerere, Magufuli na Lissu Wana na walikuwa na akili hawali walikuwa hawali ugali?
Me chakula changu Bora ni ndizi,nyama, samaki,majani na maziwa hata ngano siliIssue SI ugali,
Issue ni ugali wa mahindi, chakula Cha nunenepeshea mifugo hasa ngombe. Kuku pia na bata.
Nyerere alikuwa ugali wa mtama.
Magu hata kama alikula ugali,
Zaidi samaki ndio zimemsaidia zaidi.
Ukila ugali wa ngano ni vyema zaidi.
Hata wewe ingekuwa Bora mara 100 ikiwa ungelishwa ugali wa ngano isokobolewa tangu utoto.
Mitanzania bana. Mnawazaga mambo ya kijinga jinga Tu Halafu unakuja kushauri Huo ujinga humu ndani. Mbona Bangladesh, Haiti, CAR east Timor hawali ugali naSalaam!
Kama unataka kuwa Bora kiakili, uongoze watu vizuri, epuka kula ugali, WEWE na familia yako.
Ugali haumpi mtu virutubisho vizuri kwenye ubongo ukilinganisha na ngano iisiyokobollewa.
NB: Hauwezi kula ngano isiyokobolewa ukajikuta unaingiwa mawazo ya kuiba kura au kuiba Mali za umma.
Ninashauri menu ya viongozi wetu, ionndoe chakula kinachoitwa ugali wa mahindi, ngano ichukue Nafasi.
Imagine kwanini wakoloni walijikita kuwalisha wafungwa ugali? Walijua mchango wa ugali Katika kudumaza ubongo kuchakata vizuri issues.
Kataa ugali kwa maendeleo ya nchi yetu nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
Ukila ndizi, samaki lazima utakuwa na akili Bora.Me chakula changu Bora ni ndizi,nyama, samaki,majani na maziwa hata ngano sili
Acha kutetea ugali wa kunenepeshea ngombe. Chakula Cha mifugo.Mitanzania bana. Mnawazaga mambo ya kijinga jinga Tu Halafu unakuja kushauri Huo ujinga humu ndani. Mbona Bangladesh, Haiti, CAR east Timor hawali ugali na
Wanakulla vyakula vya mifugo.Hawali maharage lakini wanalala bungeni
Ndio chakula gani hicho ndugu?Karibu makete tukupe tumtemeke moja ushinde unakula siku nzima.
Mkate wa ngano - OG huo.Ndio chakula gani hicho ndugu?
Kinawekwa ingredients zipi?