Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 3,240
- 5,625
Zama zimebadilika Babu siku hizi hawapigi virungu wala tear gasZamani ukiwasimamisha Viongozi wa mgomo, mgomo unaendelea hadi watolewe Viongozi wao
Siku hizi mmezidi ubishoo na ulaini laini sana
Zama zimebadilika Babu siku hizi hawapigi virungu wala tear gasZamani ukiwasimamisha Viongozi wa mgomo, mgomo unaendelea hadi watolewe Viongozi wao
Siku hizi mmezidi ubishoo na ulaini laini sana
Viongozi hawana taarifa piaMna rais wa chuo / serkali ya wanafunzi kabla hawapandisha sii walliwa kweny vikao na hao VIONGOZI wenu walikuja mlejesho mkaridhia au cyo?
😅😅Zama zimebadilika Babu siku hizi hawapigi virungu wala tear gas
Nimevisoma humu humu JF 😀😅😅
Hujawahi kusikia visa vya akina Julius Mtatiro na migomo yaobhapo Udsm
Leo hii ndiyo wakuu wa Wilaya sasa 🤗
Endeleeni na kulalamika zaman wanafunz wa vyuo walikua ni sehem za fikra sa hiv mmekua ma uvccm mpaka hamna mnachoweza kusema na fikra zenu zimefungwa na wala hamna mawazo chanya,Chuo kimepitisha waraka mpya unaoainisha kuongezeka kwa gharama za kuishi hostel, kulipia mitihani na mambo mengine hadi kufikia zaidi ya laki tano na hii ni njee ya ADA hivyo inatuthiri sisi wanafunzi tuliokuwa tunategemea BOOM ili kulipa ADA ambapo hatukupata asilimia mia moja lakini na muda huo kwa ajili ya malipo mengine ya chuoni ambayo ni nje ya Ada hivy tunomba tatuzi
View attachment 3682949
Katiba kipindi ichi karibu na kufungua chuo gafla kumezuka mabaView attachment 3683006View attachment 3683007diliko makubwa kwenye direct cost,pia malazi hii imekuwa tabu na ngumu hata kuvumilika kwa sisi wanafunzi wenye hali za chini ikiwa imebak siku 23 kufungua chuo kwa nn hawajasm mapema
Wanafunzi hawajahusishwa kwenye mchakato wowote limekuja tu ghafla
Unataka kusema mpaka rais wa chuo hana taarifa?Viongozi hawana taarifa pia
Ni kawaida ila ishilikishwaji ni mhimuEnzi hizo hapo tayari kuna Kunji. 😊
Upande wangu naona ni gharama za kawaida; mambo hubadirika.
SOma andiko na weweMiaka inabadilika na gharama za maisha zinapanda, hakuna namna lipeni tu.
Watu wametoka mbali 😅Nimevisoma humu humu JF 😀
Sasa hivi kina Mtatiro hawawezi kutokea tena kutokana na watu tunaodeal nao
Ila tunapoelekea maji yakizidi Unga hatuna budi kufanya kama madereva juzi hapo
umtoze mtu ela ya graduation wakati hajui kama atahitimu ?Miaka inabadilika na gharama za maisha zinapanda, hakuna namna lipeni tu.
Hilo la gharama kupanda linafahamika Mkuu tatizo linakuja hiyo direct cost imekuwa kubwa/imeongezeka sio kwa sababu ya gharama kupanda ila kuna baadhi ya categories zimeongezeka ambazo kimsingi hazikuwepo mwanzoni na wala hazina ulazima huo ziwepo kwa sasaMiaka inabadilika na gharama za maisha zinapanda, hakuna namna lipeni tu.
Halafu sisi wakubwa zenu enzi zetu tulikutana pale Nkrumah Hall au Revolution Square na kukubaliana kufanya kunji (mgomo) ili kushinikiza kufanyika kwa jambo fulani. Sasa wewe na wenzako eti mnaandamana mitandaoni!Kuna maswali Mhimu sana chuo kinatakiwa kiwajibu wanafunzi
1. Kwanza kinatakiwa kiwe wazi utaratibu kwa kulipo hizo direct cost na hostel huwezi nambia sehem kama Mabibo ambapo mtu unatumia 600 nauli jumla 1200kwa siku nauli unalipa 119k per semistet then hapo hapo hakuna Maji unView attachment 3683031View attachment 3683032aoga chumvi hali kadharika kama magufuri sasa hii haiko sawa
2. kwa nini wajikite kwenye mkakati wa mda mrefu wa kuongeza hizo gharama wasitatue shida za wanafunzi kwanza huko hosteli kwamba haya mambo ni mageni kwao au hamnaaa na wanajua wanafunzi wengi wanatumia Boom na hela za ziada kujikimu kulipia mahitaji kama hayo mda mwingine hela haitoshi inakubidi usubili
Hatuna tatizo na hiko kiasi ada tunalipa mara 6 zaidi ya hiyo DCKumbe UDSM mlikuwa mnakula bata sana. Mimi kwenye chuo cha kata nilikuwa nalipa 169k miaka mingi tu huko nyuma hali kuna wana mlikuwa mnalipa 97k
Hata Mbunge Mwita Waitara (enzi zile akiwa rais wa Daruso huku akifahamika kama Mwita Mwikwabe) tuliandamana naye sana ilipotokea boom limecheleweshwa.😅😅
Hujawahi kusikia visa vya akina Julius Mtatiro na migomo yaobhapo Udsm
Leo hii ndiyo wakuu wa Wilaya sasa 🤗