KERO Kuongezeka kwa gharama za maisha chuo cha UDSM (Direct cost)

KERO Kuongezeka kwa gharama za maisha chuo cha UDSM (Direct cost)

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Chuo kimepitisha waraka mpya unaoainisha kuongezeka kwa gharama za kuishi hostel, kulipia mitihani na mambo mengine hadi kufikia zaidi ya laki tano na hii ni njee ya ADA hivyo inatuthiri sisi wanafunzi tuliokuwa tunategemea BOOM ili kulipa ADA ambapo hatukupata asilimia mia moja lakini na muda huo kwa ajili ya malipo mengine ya chuoni ambayo ni nje ya Ada hivyo tunomba tatuzi
Huyu naye ni mwanafunzi wa choo kikuu anayeandika hivi?
 
Ombi langu kwa Uongozi wa Chuo ni kulipitia upya ongezeko hili na kuzingatia uwezo halisi wa wanafunzi. Mhe. Selina Kingalame, tunaomba utufikishie kilio hiki. Pia tunaomba Wizara ya Elimu chini ya Prof. Adolf Mkenda, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, Makamu wa Rais Mhe. Ndejembi, na mwisho Rais wetu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, mtusaidie kulitazama suala hili kwa jicho la mwanafunzi.
Inafaa hizo gharama ziongezwe, kumbe hamjitambui kabisa!

Taifa la vijana wa aina hii ni hasara tupu!
Binafsi sina huruma na watu wa aina yenu.
Kama wewe ndiye mwakilishi wa hao wanafunzi wasiojitambua kiasi hiki, acha yawapate tu!
 
Kwanini unadai hajitambui? Mkuu
 
Student union wa nje wanapata nini special?
Na mengine ambayo ni kama wanafunzi wengine tu... Kuwa gharama kubwa?

Fees ningeelewa ikiwa kiasi kidogo zaidi, ila mmmmh mengine mengi duh
 
Kwanini unadai hajitambui? Mkuu
Kutokana na hayo maneno yaliyoandikwa na yeye na mimi ndiyo yamenifanya nimwone "hajitambui".

Watu wa aina yake hawana matumaini hata kidogo kuhusu ukombozi wa taifa hili.
Huyu anasubiri tu kuingizwa kwenye kundi lilelile la ukandamizaji wa waTanzania.
 
Screenshot_20261007_085009_Instagram.jpg

Safi sana JamiiForums ahsante kwa kutupazia sauti katika hili

Na imani wenye mamlaka watalishughulikia hili kwa haraka sana

Nimeona mpaka Mheshimiwa Mchengerwa ametia like nadhani pia litafika kwa Bibi Wanu
 
I have so far asked Dr Jakaya Kikwete with a consent from the president kutengua uteuzi wa Profesa William Anangisye, for insurbodination to political authorities by refusing not to raise the costs of living for UDSM students.
Such insurbonination can not be torelated in the country.
 
Yani amtengue Prof kwa sababu ya kukaidi agizo la kuongeza costs of living?
 
HIyo siyo ditect
Chuo kimepitisha waraka mpya unaoainisha kuongezeka kwa gharama za kuishi hostel, kulipia mitihani na mambo mengine hadi kufikia zaidi ya laki tano na hii ni njee ya ADA hivyo inatuthiri sisi wanafunzi tuliokuwa tunategemea BOOM ili kulipa ADA ambapo hatukupata asilimia mia moja lakini na muda huo kwa ajili ya malipo mengine ya chuoni ambayo ni nje ya Ada hivyo tunomba tatuzi

View attachment 3682949

Katiba kipindi ichi karibu na kufungua chuo gafla kumezuka mabaView attachment 3683006View attachment 3683007diliko makubwa kwenye direct cost,pia malazi hii imekuwa tabu na ngumu hata kuvumilika kwa sisi wanafunzi wenye hali za chini ikiwa imebak siku 23 kufungua chuo kwa nn hawajasm mapema
Hiyo siyo direct cost ni variable cost.msîtumie maneno ya kihasibu kama hamjui maana yake.
 
Yani amtengue Prof kwa sababu ya kukaidi agizo la kuongeza costs of living?
For contept of political authority...
Ameshindwa kufanya kazi aliyoagizwa na chama cha mapinduzi, wacha arudi kushika chaki.
Nafasi yake inahitaji mtu mpya atakaye weza ku align na maelekezo ya chama ambayo yanamtaka ahakikishe mtoto wa masikini anapata elimu ya juu pasi na vikwazo, bughdha wala usumbufu.
Sasa hawa maprofesa wa UD wamekua wajuaji, wajeuri na wasiofuata maoni wala ushauri wa waliowaweka madarakani ili kuwatumikia wananchi.
Kulikuwa na mipango mizuri ya kuwekeza UD, lakini kutokana na atitude zao, uwekezaji huo utahamia chuo cha ushirika Moshi.
Am fed up with UD, I wish the next VC awe na elimu ya Phd au Masters. Am fade up with professors.
Most of professors are out of touch with realities.
With this case, in due respect, nampendekeza Dr Kanaeli Nko, Director of Finance, wa Benki ya maendeleo ya kilimo (TADB) kuwa VC mpya wa UDSM.
 
Back
Top Bottom