A
Anonymous
Guest
- Thread starter
- #81
Habari zenu waheshimiwa ✊
Naomba kutoa taarifa kuhusu suala la direct cost.
Chakwanza mutambue kuwa serikali ya wanafunzi DARUSO haijahusika kwa lolote katika maamuzi ya kupanda kwa direct cost..bali hii ni ajenda ambayo ilikuwapo toka miaka mitatu nyuma na mwaka Jana ikawa confirmed na mwaka huu ndo imeanza ,
Tunatambua Hali ngumu ya maisha tunayopitia ila tambua hata viongozi wenu pia wanalipia hiyo ghalama.
Na mujue kuwa licha ya kuwa viongozi bado ni wanafunzi kama nyinyi hatuna mandate ya kubadilisha administration ya chuo .
Mantiki yangu ni kwamba, suala la kubadilisha ghalama liliamuliwa kwa vikao na kikao Cha mwisho Cha kupitisha bajeti kilihudhuriwa na viongozi mbalimbali ikiwemo TCU, wizara ya Elimu jamhuri ya muungano na cabinet ya chuo, na ni kikao ambacho kinakaliwa mala Moja kwa mwaka, hivyo basi kusema Leo tuanze kupigizana kelele bila vyanzo sahihi vya taarifa au uwezekano wa kupunguzwa kwa ghalama kirahisi haupo kwa sasa Bali tusubili kikao Cha maamuzi tena ambacho kitafanyika mwaka unaofuata wa masomo ila kwa mwaka huu hatuna budi kuendana na uhalisia.
Ni ushauri wangu huo wakuu ,...
Tunatambua kuwa viongozi ndio daraja la kati, kati ya uongozi wa chuo na wanafunzi na uongozi umejaribu kufuatilia suala hilo na kuhoji kwanini hivyo na majibu ni vile vile kuwa " ghalama zimepanda kutokana na maisha kuwa yamepanda na Chuo kipo katika mchakato wa kuboresha mazingira yake kama miundombinu ya majengo na kulipia mishahara kwa wakufunzi wake.
Kusema serikali ya wanafunzi DARUSO imechangia kupanda kwa direct cost 🤔hapana 👇👇
Labda mungeona hela ya Daruso imepanda kutoka 5000 kwenda 10000 hapo mungekuwa na haja ya kuhoji,
Ila still bado ipo vile vile ..
All de best
Naomba kuwasilisha 🙏
(Waziri wa Elimu DARUSO)