Kuongezeka kwa ubaguzi wa kiuchumi, kieneo na ukabila nchini Tanzania

Kuongezeka kwa ubaguzi wa kiuchumi, kieneo na ukabila nchini Tanzania

Tusiposema sasa mawe yatasema.

Sasa hivi nchi inapitia ubaguzi wa wazi kieneo, ukabila na upendeleo wa wazi kwa sehemu fulani fulani nchini Tanzania.

Haya ni mambo ambayo Tanzania hatukuyazoea wala kushuhudia toka enzi za kupata uhuru.

Mwalimu alijishusha mno na hata hakupendelea kwao kwa jinsi tunavyoshuhudia sasa, mimi Butiama nimefika.

Ubaguzi wa aina yoyote una mwisho si mzuri kwa mustakabali wa Taifa.

Chama kimelala.
Bunge ndio kabisa.
Lakini wahenga wanasema tutavuna tunachopanda.
Mkuu sichangii uzi wako
 
Sawa mwalimu hakupendelea kwao ila alipendelea maeneo mengine,ndo maana Kuna maeneo tofauti na mara yamekua na maendeleo kuliko mkoa wa Mara toka enzi zake.Usipo wapenda wa kwenu ww ni mtumwa.
Ukiwa na akili ndogo, kumwelewa Mwalimu ni kaazi kweli kweli!
 
Tanga school
Tanga shule siyo sawa na Tabora. Maeneo mbalimbali ya Tanganyika yalikuwa yanapeleka wanafunzi Tabora, halafu wakifaulu wanakwenda Makerere Uni. sasa tueleze upendeleo uko wapi ktk hali kama hiyo.
 
Ukiwa na akili ndogo, kumwelewa Mwalimu ni kaazi kweli kweli!
Hapana.

Hawa sio watu wasioelewa, bali ni watu wenye mwelekeo wao wenyewe unaowalazimisha kuwa na msimamo wanaoutaka wenyewe bila kujali wanachokielewa.

Sababu za kung'ang'ania wanazielewa wenyewe.

Ni kazi bure kujaribu kumwelewesha mtu kama huyo.
 
Sawa mwalimu hakupendelea kwao ila alipendelea maeneo mengine,ndo maana Kuna maeneo tofauti na mara yamekua na maendeleo kuliko mkoa wa Mara toka enzi zake.Usipo wapenda wa kwenu ww ni mtumwa.
"...wakwenu" ni akina nani, si waTanzania?

Ni kitu gani kinachokufanya udhani Mwalimu Nyerere hakuwapenda waTanzania wa Mara? Kwani Mara haikupata mchango wake wa maendeleo kama walivyopata waTanzania wa mikoa mingine?
 
Tusiposema sasa mawe yatasema.

Sasa hivi nchi inapitia ubaguzi wa wazi kieneo, ukabila na upendeleo wa wazi kwa sehemu fulani fulani nchini Tanzania.

Haya ni mambo ambayo Tanzania hatukuyazoea wala kushuhudia toka enzi za kupata uhuru.

Mwalimu alijishusha mno na hata hakupendelea kwao kwa jinsi tunavyoshuhudia sasa, mimi Butiama nimefika.

Ubaguzi wa aina yoyote una mwisho si mzuri kwa mustakabali wa Taifa.

Chama kimelala.
Bunge ndio kabisa.
Lakini wahenga wanasema tutavuna tunachopanda.
Hayo maendeleo angeyaleta yote huku Dar nadhani hii thread isingekupo.... Maana inavyoonekana mzee baba anatakakutuaminisha kua kuna maisha tofauti na Dar Hahahaa...... Ngoja tukawahi viwanja tu huko maana hamna namna Mitano tena....... Tunywe mtori nyama zipo chini
 
Tatizo ni huu unafiki wa kushindwa hata kusema tatizo unaloliona na nani anapendelewa. Sema ni nani ili tujadili na kukemea tatizo. Unaogopa hata kusema unachofahamu kwa majina bandia! Cowardice!

Miaka iliyopita sisi tuliposema wachaga wanakusanyana TRA, na CRDB tulipewa jibu la urahisi kwamba wamesoma sana! walikenua meno kwa furaha na kuamini kweli wamesoma.

Leo hii bado wamesoma? Kulikuwa na miaka Wanyakyusa walijaa NIC ya Mwaikambo na NBC ya Nsekela wakasingizia wingi na kusoma. Sijuyi leo wamepungua na hawasomi!

Watu wa Iringa nao sasa hivi wanajionesha na kuhalalisha sababu ya kusoma sana wakati tunajua wanaalikana na hata kuunda vikundi vya kutambulishana. Ujinga umewaanza baadaye watalia midomo wazi maana ubaya makabila machache yanapenda kuishi mikoa ya iringa na Njombe. Wahaya wamesemwa sana lakini hatujawahi kuwaona wakialikana kwenye ofisi au taasisi ya serikali.

Tuseme wazi acha kujidai mwana fasihi wakati unachoeleza unataka kijadiliwe.
Tatizo sio unafiki apo..... Tatizo ni anatumia VPN?
 
Hii ni kansa inayotafuna nchi kwa sasa waliokua wasemaji wamezibwa kidomo, bunge linakoroma kabisa na ndo linataka kuongeza miaka ya kutawala.

Hofu yangu ni kua utawala huu jmeweka jiwe la msinhi la ukabila na ukanda.Raisi ajaye atafanya kila jitihada kupendelea kwake na hatojali vipaombele vya taifa. Ubaguzi wa wazi kabisa jnafanyika na hakuna kiongozi yeyote anayekemea.
Siku itakuja matenda yake tutayavuna
 
Fikiria mara mbili, iko mikoa tukigawana majimbo itasumbuka sana, mikoa ya kaskazini taabu ni kubwa zaidi, mikoa yenye neema kwa miaka mingi ijayo ni kanda ya ziwa.

Wana Ardhi yenye rutuba, wana maji ya kutosha, sasa hivi wana dhahabu nyingi ya akiba kuliko dhahabu tulio kwisha kuichimba tangu nchi hii iumbwe iko kwao Pole Pole Wilaya ya Sikonge. . Na Almasi ni hivyo hivyo .

Wako wengi ki uchumi maana yake ni soko, na ni watu wa bidii. Hawana kitu Watakosa labda elimu. Na ni naona jitihada ya shule ime ongezeka sana na sio wajinga madarasani.

Tutafute kingeni hiki hakina faida kwetu.
Huu ndo ubaguzi sasa maana miaka mingi mikoa kama Dar Arusha,Kilimanjaro,Shinyanga, Mwanza na Iringa(mufindi) imetoa mchango sana wa kimapato ambao umegawanjwa Tanzania nzima.
Iwejee sasa mapato yote kwa miaka 5 iende kanda moja tuu ya Ziwa?
 
Hakuna anyepinga kujengwa daraja la Busisi, tena kwa gaharama za kufa mtu.
Lakini tunajiuliza , mizania iko wapi?
Ni kweli mkuu ila hivi karibuni umepita mto wami? ukaona utatuzi wa tatizo lililokula maisha ya watanzania wengi linavyoshughulikiwa?
Je hapo ni kanda ya ziwa?
Mh.Mkapa alipofanya bidii ya kuifungua mtwara toka kifungo cha kuwa kisiwa kwa sababu ya miundombinu ya barabara wengi tulimpongeza,hatukusema anajenga kwao bali tulifurahia ukombozi wa wenzetu wa mtwara.

Ikumbukwe kwamba kivuko hicho cha busisi waliowahi kufika hapo watakubaliana na mimi kuwa kinachofanyika sasa hivi
kilitakiwa kufanyika miaka mingi iliyopita na bahati nzuri watanzania tupo huru kwenda kuishi popote ili mradi huvunji sheria za nchi,Mtanzania akiona sehemu fulani imeboreshwa zaidi anaruhusiwa kwenda huko akaishi na kujipatia mahitaji yake.
Mikoa iliyosahaulika inapokumbukwa tuwe wavumilivu kama na wao walivyotuvumilia wakati kwetu kunaendelezwa.
 
Mi naomba niseme maadam maendeleo yanafanyika ndani ya Tanzania bila kujali ni mkoa gani,
Tumshukuru Mungu,maana historia inaonyesha kuna marais wa afrika waliopora mali kwenye mataifa yao na kujenga vitegauchumi nje ya
nchi zao wananchi hawakunufaika kwa lolote.Lkn hapa kwetu ikitokea kiwanda kikajengwa mkoa A mtu wa Mkoa C anauwezo wa kuomba kazi huko na akaajiriwa na kuendesha maisha.
 
Tusiposema sasa mawe yatasema.

Sasa hivi nchi inapitia ubaguzi wa wazi kieneo, ukabila na upendeleo wa wazi kwa sehemu fulani fulani nchini Tanzania.

Haya ni mambo ambayo Tanzania hatukuyazoea wala kushuhudia toka enzi za kupata uhuru.

Mwalimu alijishusha mno na hata hakupendelea kwao kwa jinsi tunavyoshuhudia sasa, mimi Butiama nimefika.

Ubaguzi wa aina yoyote una mwisho si mzuri kwa mustakabali wa Taifa.

Chama kimelala.
Bunge ndio kabisa.
Lakini wahenga wanasema tutavuna tunachopanda.
ohooo! Ng'wana nani wwe? Kama siyo ng'wana mbate hupati kitu. Nimekumbuka historia chafu ya ukabila iliyoua vyama vya shirecu na nyanza1. Kumbe mkuu alifanya Nyanzano wonder mpaka tunye
 
Wakati ule uchagani mnapewa upendeleo wa wazi wazi lami hadi vichochoroni,msuya anajimegea umeme hadi migombani usangi huko,sisi wa mtwara wakati kuiona lami hadi uende Daslam,mliishia kutucheka na kutuona malofa,kutudharau na kutubagua kwa kutuita "watu wa kusini" sasa hivi kibwengo kawatia gunzi kunako mnapiga piga mayowe,pumbavu kweli tulieni,malipo ni hapa hapa duniani.
 
Bwege nini!
Nani kakuambia mimi mchaga!
Watu masikini wa fadhila ndo wabaguzi wabaya.
 
ohooo! Ng'wana nani wwe? Kama siyo ng'wana mbate hupati kitu. Nimekumbuka historia chafu ya ukabila iliyoua vyama vya shirecu na nyanza1. Kumbe mkuu alifanya Nyanzano wonder mpaka tunye
True.
Watu wanafikiri ubaguzi ni wa makabilatu, kuna ubaguzi wa makundi katika jamii.
Watu wanasahau " nyarubanja" huko uhayani.

Ubaguzi ambao ni ukabaila na Mwalimu alupiga vita miaka ya 60.
 
Tusiposema sasa mawe yatasema.

Sasa hivi nchi inapitia ubaguzi wa wazi kieneo, ukabila na upendeleo wa wazi kwa sehemu fulani fulani nchini Tanzania.

Haya ni mambo ambayo Tanzania hatukuyazoea wala kushuhudia toka enzi za kupata uhuru.

Mwalimu alijishusha mno na hata hakupendelea kwao kwa jinsi tunavyoshuhudia sasa, mimi Butiama nimefika.

Ubaguzi wa aina yoyote una mwisho si mzuri kwa mustakabali wa Taifa.

Chama kimelala.
Bunge ndio kabisa.
Lakini wahenga wanasema tutavuna tunachopanda.
WAKATI KANDA YA KASKAZINI IKIIMARISHWA KWA SHULE NA MIUNDO MBINU MLIKAA KIMYA SASA HIVI TUNATAKA KUBALANCE MIDOMO JUU SEMENI MPAKA MCHOKE
 
True.
Watu wanafikiri ubaguzi ni wa makabilatu, kuna ubaguzi wa makundi katika jamii.
Watu wanasahau " nyarubanja" huko uhayani.

Ubaguzi ambao ni ukabaila na Mwalimu alupiga vita miaka ya 60.
Ni kweli mkuu. Niliitwa shirecu kwa interview ya accountant. Nilikuwa na ACCA ya london miaka hiyo ya 90. Jamaa akaangalia vyeti vyangu akaniita chemba akaniuliza maneno ya kisukuma ambayo yapo kichwani hadi leo Ng'wana nani wee sikuwa msukuma na sikuelewa kitu nikafeli na sikuitwa hata kwenye usaili tena. Nikakaa benchi hapo nje hadi saa kumi na mbili jioni. Marafiki zangu wa kisukuma wakaniambia baada kushindwa kutambulika wanatoka kwenye familia gani maarufu walikuwa disqualifed. Akapewa kazi form iv mmoja ambaye alikuwa account clerk wa halmashauri. Very painful.
 
Hiyo miradi ingejengwa Kaskazini kusingekuwa na kelele ila kwa vile inajengwa maeneo mengine ya nchi ndo maana mnapanua vidole na midomo. Watu wa Kaskazini ni wabaguzi sana
Kaskazini wapo wengi. Mnapotaja semeni Wachagga. Sidhani kama Wamaasai, Waarusha, Wairaq, Wameru na Wasonjo wapo katika hesabu hizi za kila wakati kaskazini. Stone the devil, avoid just roaming around.
 
Ni kweli mkuu. Niliitwa shirecu kwa interview ya accountant. Nilikuwa na ACCA ya london miaka hiyo ya 90. Jamaa akaangalia vyeti vyangu akaniita chemba akaniuliza maneno ya kisukuma ambayo yapo kichwani hadi leo Ng'wana nani wee sikuwa msukuma na sikuelewa kitu nikafeli na sikuitwa hata kwenye usaili tena. Nikakaa benchi hapo nje hadi saa kumi na mbili jioni. Marafiki zangu wa kisukuma wakaniambia baada kushindwa kutambulika wanatoka kwenye familia gani maarufu walikuwa disqualifed. Akapewa kazi form iv mmoja ambaye alikuwa account clerk wa halmashauri. Very painful.
Aante mkuu kwa huu mfano ambao unatakiwa kuwa eye opener kwa watu ambao wanapinga kuwa kuna ubaguzi.
 
Back
Top Bottom