1-Hii ripoti Ni currently ya mwaka unaoishia June 2021
2-utajiri hausiani na kumiliki robo eka wala ekari kumi, kwani kitega uchumi lazma kiwe ardhi? Hivi umesoma Hadi level gan wewe?
3-hali ya maisha hupimwa kwa vigezo kadhaa mfano makazi bora, miundombinu,upatikanaji wa huduma za kijamii,shughuli za uzalishaji nk kwa Kilimanjaro vitu vyote hivyo Ni 90%, Kilimanjaro huduma Kama shule,hospital Ni zaidi ya 120% vijijin Kuna Hadi supermarket,bank hii inaonyesha mzunguko mkubwa wa fedha
Kwahyo ripoti ya serikali kuwa wananchi wa Kilimanjaro Wana maisha Bora kwa 90% Ni sahihi