Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazo hili linafikirisha sana.Na kama hazitoshi, inabidi utumie wewe na watu wa karibu tu. Ni ajabu sana kwa kiongozi kushindwa kutengeneza mazingira ya watu wake wa karibu kufurahia uongozi wake.
Kuna mikoa iliachwa kama si kutengwa, unapajua Tabora na kigoma wewe walipewa kiwanda cha Nyuzi tu [emoji23][emoji23][emoji23], halafu sijui Nyuzi zenyewe za viatu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Una umri gani wewe? Upendeleo ulikuwepo miaka yote. Nahisi kuna watu upendeleo umewatega mgongo ndo maana wanalia lia! Walipopendelewa wakasema ni haki yao. tulieni nchi inyooke.
Masanja, Maganga, Shija, Mabula, Mabala N. K.Siku zote kipande chako cha mkate kikipakwa siagi huwezi kuelewa maumivu ya wenzako. Leo Rais akitoka Kigoma, usishangae kuna watakaosema Kigoma inapendelewa. Mkoa ambao mpaka juzi kati ulikuwa hauna hata KM 50 za lami!
Chato na wilaya nyinginezo pembezoni zilikuwa zimeshahalalishiwa umasikini.
Inawezekana nisikubaliane na yote ya JPM, lakini..bila uthubutu wa viongozi kama JPM kuna mikoa na wilaya humu Tanzania zitakuwa masikini milele!
Unataka kusema uwanja wa Ndege wa chato unazidi wa Mwanza au unasema tu ili utimize chuki yako mkuu.Vipi utaratibu wa kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa chato wakati Arusha au mwanza au geita hamna ni sawa?
ohooo! Ng'wana nani wwe? Kama siyo ng'wana mbate hupati kitu. Nimekumbuka historia chafu ya ukabila iliyoua vyama vya shirecu na nyanza1. Kumbe mkuu alifanya Nyanzano wonder mpaka tunye
Ukitaka kujua ni attitude, mkoa mmoja wa Pwani umeweza kutoa Rais wa nchi hii mara 2. Lakini huo mkoa sasa ni umeendelea kuliko Mbeya? Njombe? Iringa? Kilimanjaro?
Lazima watu wanaotamani kuendelea kama Kilimanjaro na mikoa mingine kama Njombe; watambue tatizo lao hasa ni nini? Na suluhisho lake hasa ni nini?
Mfano mzuri ni mkoa wa Mwanza. Mkoa wa Mwanza ni mdogo kijiografia, una miundo mbinu kibao lkn ripoti ya NBS inaonyesha kuwa ni kati ya mikoa mitano maskini sana nchini. Why? Je, haina uwanja wa ndege? Haina barabara? Haina shule? Haina hospitali kubwa? Hakuna matawi ya benki? Haina bandari? Tatizo hasa ni nini? Tatizo la Geita kuendelea kuwa maskini sana ni nini? Tatizo la Kigoma ni nini?
Je, kuwa na kazi public sector au sekta binafsi inatosha peke yake kumuondolea mtu ai mkoa umaskini?
Wakati ule uchagani mnapewa upendeleo wa wazi wazi lami hadi vichochoroni,msuya anajimegea umeme hadi migombani usangi huko,sisi wa mtwara wakati kuiona lami hadi uende Daslam,mliishia kutucheka na kutuona malofa,kutudharau na kutubagua kwa kutuita "watu wa kusini" sasa hivi kibwengo kawatia gunzi kunako mnapiga piga mayowe,pumbavu kweli tulieni,malipo ni hapa hapa duniani.
😆😆😆Bwege nini!
Nani kakuambia mimi mchaga!
Watu masikini wa fadhila ndo wabaguzi wabaya.
hvi ukubwa wa uwanja wa chato unaweza ukalinganisha na wa mwanza kweli kwa skiki yako?Unataka kusema uwanja wa Ndege wa chato unazidi wa Mwanza au unasema tu ili utimize chuki yako mkuu.
Mkuu yaani hapo miamia kabisa. Wachaga wanenda kuchukua nchii mazima. Miaka ya 1990 Kilimanjaro ilikuwa na secondari 72 wakati nikiwa Tabora kulikuwa na shule 12 tu tena shule 4 kati ya hizo zilikuwa za kitaifa na kikanda yaani Tabora Boys na Tabora Girls Mirambo na Kazima. Madhara yake leo tunayaona. Kila shule ya Msingi.. kila shule ya secondary nchini imejaa wachaga na hizo ndio ajira za makapuku ajira za maana wanavutana tuTatizo ni huu unafiki wa kushindwa hata kusema tatizo unaloliona na nani anapendelewa. Sema ni nani ili tujadili na kukemea tatizo. Unaogopa hata kusema unachofahamu kwa majina bandia! Cowardice!
Miaka iliyopita sisi tuliposema wachaga wanakusanyana TRA, na CRDB tulipewa jibu la urahisi kwamba wamesoma sana! walikenua meno kwa furaha na kuamini kweli wamesoma.
Leo hii bado wamesoma? Kulikuwa na miaka Wanyakyusa walijaa NIC ya Mwaikambo na NBC ya Nsekela wakasingizia wingi na kusoma. Sijuyi leo wamepungua na hawasomi!
Watu wa Iringa nao sasa hivi wanajionesha na kuhalalisha sababu ya kusoma sana wakati tunajua wanaalikana na hata kuunda vikundi vya kutambulishana. Ujinga umewaanza baadaye watalia midomo wazi maana ubaya makabila machache yanapenda kuishi mikoa ya iringa na Njombe. Wahaya wamesemwa sana lakini hatujawahi kuwaona wakialikana kwenye ofisi au taasisi ya serikali.
Tuseme wazi acha kujidai mwana fasihi wakati unachoeleza unataka kijadiliwe.
Tumekwambia tuna shida na rais? Mbona mikoa ya kanda yenu inanuka umaskini mkali?Na hatatoka huko Rais wa nchi hii kwa ubaguzi wenu wa kidenzi. Mtatawaliwa mpaka mwisho wa dahari.
Duh! Utakuwa mgonjwa wewe. Baada ya huyu kutoka madarakani, nina hakika wapo watakasema kwa vielelezo na takwimu kuwa huyu ndiye the worst president. My ranking:Mtoa post hujashirikisha akili yako kuandika hapa, nafikiri rais awamu ya 5 ndo rais bora kabisa kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu. Mapungufu aliyonayo ni ya kibinadamu, yeye sio malaika
Tunazurura au tunapiga pesa? Wazungu unaowaona huku África wanazurura? Je África imeendelea kuliko ulaya? Akili za mchunga mbuzi bhana bure kabisaWewe ndio maskini, ndio maana mnazurura kwenye mikoa iliyobarikiwa na sasa mmebanwa mbavu mpaka akili ziwakae sawa.
Hajui huyuKlm ndio tegemeo la chakula Kenya
Tupinge Nini sasa?Wewe unajua nini toka mmeanza pinga pinga ya kijinga mmepata nini ?