luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Hahaha bado unawewesekaKwani Gonja Mawole siyo Kilimanjaro au huko kwenye Magadi wilaya ya Siha siyo Kilimanjaro ? Kawadanganye wasiofika huko. Huko machame kwenyewe shina la mgomba kama paja la mbuzi, ardhi haina rutuba. Mnasema nyie matajiri ni lini Kanda ya Ziwa ilikuja kuomba msaada wa chakula huko ? We vipi ?
Hujui kuwa ndizi za dar 80% zinatoka Moshi? Hujui tunailisha Kenya ndizi na parachichi kwa 90%? Pole Sana
Kwani uliwahi sikia lini matajiri Kilimanjaro tumeomba? Nyie pambaneni kuondoa umaskini wenu huko lake zone Hali Ni mbaya nenda meatu, bariadi,solwa ,nyan'gwale kunatisha