Kuongezeka kwa ubaguzi wa kiuchumi, kieneo na ukabila nchini Tanzania

Kuongezeka kwa ubaguzi wa kiuchumi, kieneo na ukabila nchini Tanzania

Binadamu ni selfish kwa asilia. Ndio maana unatafuta pesa kwa ajiki yako na wapendwa wako wa karibu. Sababu kubwa ni ukweli mchungu wa kiuchumi kwamba rasilimali siku zote hazitoshi, kwa kimalkia "resources are always scarce and limited."
 
Na kama hazitoshi, inabidi utumie wewe na watu wa karibu tu. Ni ajabu sana kwa kiongozi kushindwa kutengeneza mazingira ya watu wake wa karibu kufurahia uongozi wake.
 
Na kama hazitoshi, inabidi utumie wewe na watu wa karibu tu. Ni ajabu sana kwa kiongozi kushindwa kutengeneza mazingira ya watu wake wa karibu kufurahia uongozi wake.
Wazo hili linafikirisha sana.
Mbona tulipokuwa masikini zaidi Mwalimu aliweza kulifumbua fumbo hili?
 
Kwa case ya mkoa wa Kilimanjaro na mikoa mingine, labda tutofautishe vitu viwili hapa; Mkoa wa Kilimanjaro na Watu wenye asili ya Kilimanjaro (Wachagga, Wapare, -(MINUS)Wamaasai wa Siha na West Kili).
Mkoa kama mkoa hauna tofauti na mikoa mingine kama Iringa, Njombe na Mbeya.
Ila watu wa Kilimanjaro wana attitude au strong personality towards life and accumulation of Wealth.
Kama ni viongozi kutoka huko; Hata mikoa kama Dodoma ilitoa viongozi muhimu kama John Malecela lkn wamefanya nini kuiweka Dodoma katika nafasi nzuri kwa watu wake kufurahia national cake?
Mkoa wa Mwanza+Geita ilitoa viongozi kama vile ukoo wa Bomani, Kina William Shija and others;
Kwa ufupi hakuna sehemu ya nchi hii ambayo ilikuwa under represented toka uhuru. Tatizo kubwa ni attitude ya viongozi na watu wao na wala sio kukandamizwa wala kubaguliwa.
 
Ukitaka kujua ni attitude, mkoa mmoja wa Pwani umeweza kutoa Rais wa nchi hii mara 2. Lakini huo mkoa sasa ni umeendelea kuliko Mbeya? Njombe? Iringa? Kilimanjaro?
Lazima watu wanaotamani kuendelea kama Kilimanjaro na mikoa mingine kama Njombe; watambue tatizo lao hasa ni nini? Na suluhisho lake hasa ni nini?
Mfano mzuri ni mkoa wa Mwanza. Mkoa wa Mwanza ni mdogo kijiografia, una miundo mbinu kibao lkn ripoti ya NBS inaonyesha kuwa ni kati ya mikoa mitano maskini sana nchini. Why? Je, haina uwanja wa ndege? Haina barabara? Haina shule? Haina hospitali kubwa? Hakuna matawi ya benki? Haina bandari? Tatizo hasa ni nini? Tatizo la Geita kuendelea kuwa maskini sana ni nini? Tatizo la Kigoma ni nini?
Je, kuwa na kazi public sector au sekta binafsi inatosha peke yake kumuondolea mtu ai mkoa umaskini?
 
Una umri gani wewe? Upendeleo ulikuwepo miaka yote. Nahisi kuna watu upendeleo umewatega mgongo ndo maana wanalia lia! Walipopendelewa wakasema ni haki yao. tulieni nchi inyooke.
Kuna mikoa iliachwa kama si kutengwa, unapajua Tabora na kigoma wewe walipewa kiwanda cha Nyuzi tu [emoji23][emoji23][emoji23], halafu sijui Nyuzi zenyewe za viatu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Siku zote kipande chako cha mkate kikipakwa siagi huwezi kuelewa maumivu ya wenzako. Leo Rais akitoka Kigoma, usishangae kuna watakaosema Kigoma inapendelewa. Mkoa ambao mpaka juzi kati ulikuwa hauna hata KM 50 za lami!

Chato na wilaya nyinginezo pembezoni zilikuwa zimeshahalalishiwa umasikini.

Inawezekana nisikubaliane na yote ya JPM, lakini..bila uthubutu wa viongozi kama JPM kuna mikoa na wilaya humu Tanzania zitakuwa masikini milele!
Masanja, Maganga, Shija, Mabula, Mabala N. K.
 
Acha hizo vyama vya ushirika vilikuwa vya jamii husika. Kwani hicho cha Kilimanjaro kiliajiri nje ya wachagga ? Hauko serious.
ohooo! Ng'wana nani wwe? Kama siyo ng'wana mbate hupati kitu. Nimekumbuka historia chafu ya ukabila iliyoua vyama vya shirecu na nyanza1. Kumbe mkuu alifanya Nyanzano wonder mpaka tunye
 
Hakuna umaskini huko usijitekenye. Hii ni kwa sababu kuna high density ya population
Ukitaka kujua ni attitude, mkoa mmoja wa Pwani umeweza kutoa Rais wa nchi hii mara 2. Lakini huo mkoa sasa ni umeendelea kuliko Mbeya? Njombe? Iringa? Kilimanjaro?
Lazima watu wanaotamani kuendelea kama Kilimanjaro na mikoa mingine kama Njombe; watambue tatizo lao hasa ni nini? Na suluhisho lake hasa ni nini?
Mfano mzuri ni mkoa wa Mwanza. Mkoa wa Mwanza ni mdogo kijiografia, una miundo mbinu kibao lkn ripoti ya NBS inaonyesha kuwa ni kati ya mikoa mitano maskini sana nchini. Why? Je, haina uwanja wa ndege? Haina barabara? Haina shule? Haina hospitali kubwa? Hakuna matawi ya benki? Haina bandari? Tatizo hasa ni nini? Tatizo la Geita kuendelea kuwa maskini sana ni nini? Tatizo la Kigoma ni nini?
Je, kuwa na kazi public sector au sekta binafsi inatosha peke yake kumuondolea mtu ai mkoa umaskini?
 
Wakati ule uchagani mnapewa upendeleo wa wazi wazi lami hadi vichochoroni,msuya anajimegea umeme hadi migombani usangi huko,sisi wa mtwara wakati kuiona lami hadi uende Daslam,mliishia kutucheka na kutuona malofa,kutudharau na kutubagua kwa kutuita "watu wa kusini" sasa hivi kibwengo kawatia gunzi kunako mnapiga piga mayowe,pumbavu kweli tulieni,malipo ni hapa hapa duniani.

bwawa la mradi wa umeme wa nyumba ya mungu ujenzi wake ulimalizika mwaka 1969. na wakati mradi huo unajengwa cd msuya hakuwa waziri. pia nadhani umeme ulifika mwanga miaka ya 80, muda mrefu baada ya mradi wa nyumba ya mungu kumalizika.

azimio la arusha na operation vijiji ndiyo chanzo cha umasikini kwa wananchi wa mikoa ya kusini. zoezi la operation vijiji liliangusha zao la korosho na kusababisha uchumi wa wananchi wa kusini kuathirika. mnachotakiwa kujiuliza ni viongozi na wabunge wa mikoa ya kusini walikuwa wapi mpaka wananchi wa kusini wakaathiriwa na azimio na operation vijiji?
 
Tatizo ni huu unafiki wa kushindwa hata kusema tatizo unaloliona na nani anapendelewa. Sema ni nani ili tujadili na kukemea tatizo. Unaogopa hata kusema unachofahamu kwa majina bandia! Cowardice!

Miaka iliyopita sisi tuliposema wachaga wanakusanyana TRA, na CRDB tulipewa jibu la urahisi kwamba wamesoma sana! walikenua meno kwa furaha na kuamini kweli wamesoma.

Leo hii bado wamesoma? Kulikuwa na miaka Wanyakyusa walijaa NIC ya Mwaikambo na NBC ya Nsekela wakasingizia wingi na kusoma. Sijuyi leo wamepungua na hawasomi!

Watu wa Iringa nao sasa hivi wanajionesha na kuhalalisha sababu ya kusoma sana wakati tunajua wanaalikana na hata kuunda vikundi vya kutambulishana. Ujinga umewaanza baadaye watalia midomo wazi maana ubaya makabila machache yanapenda kuishi mikoa ya iringa na Njombe. Wahaya wamesemwa sana lakini hatujawahi kuwaona wakialikana kwenye ofisi au taasisi ya serikali.

Tuseme wazi acha kujidai mwana fasihi wakati unachoeleza unataka kijadiliwe.
Mkuu yaani hapo miamia kabisa. Wachaga wanenda kuchukua nchii mazima. Miaka ya 1990 Kilimanjaro ilikuwa na secondari 72 wakati nikiwa Tabora kulikuwa na shule 12 tu tena shule 4 kati ya hizo zilikuwa za kitaifa na kikanda yaani Tabora Boys na Tabora Girls Mirambo na Kazima. Madhara yake leo tunayaona. Kila shule ya Msingi.. kila shule ya secondary nchini imejaa wachaga na hizo ndio ajira za makapuku ajira za maana wanavutana tu
 
Na hatatoka huko Rais wa nchi hii kwa ubaguzi wenu wa kidenzi. Mtatawaliwa mpaka mwisho wa dahari.
Tumekwambia tuna shida na rais? Mbona mikoa ya kanda yenu inanuka umaskini mkali?
Punguzen kuzaliana la sivyo mtabaki maskini milele[emoji1]
 
Mtoa post hujashirikisha akili yako kuandika hapa, nafikiri rais awamu ya 5 ndo rais bora kabisa kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu. Mapungufu aliyonayo ni ya kibinadamu, yeye sio malaika
Duh! Utakuwa mgonjwa wewe. Baada ya huyu kutoka madarakani, nina hakika wapo watakasema kwa vielelezo na takwimu kuwa huyu ndiye the worst president. My ranking:

1. JK Nyerere
2. Benjamin Mkapa
3. Jakaya Kikwete
4. Magufuli
5. Mwinyi

Magufuli amefeli kabisa kwenye maeneo makuu ya msingi:

1) enhancing a unified, collective and visionary leadership
2) building sustainable national economies that could quarentee a steady economic growth
3) practising democratic values that create nation ownership by every citizen

Kwa ujumla Magufuli ameua uwekezaji, umeua ajira, ameua mfumo wa kulinda uhuru wa maoni unaolindwa na katiba, ameua misingi ya demokrasia, ameua umoja wa kitaifa, ameua uongozi wa kistaarabu na kuingize primitive leadership katika nchi.

Rais atakayefuata atakuwa na kazi nguvu sana kurekebisha maeneo mengi ambayo yameharibiwa na uongozi wa awamu ya 5.
 
Wewe ndio maskini, ndio maana mnazurura kwenye mikoa iliyobarikiwa na sasa mmebanwa mbavu mpaka akili ziwakae sawa.
Tunazurura au tunapiga pesa? Wazungu unaowaona huku África wanazurura? Je África imeendelea kuliko ulaya? Akili za mchunga mbuzi bhana bure kabisa
 
Back
Top Bottom