Ni kweli mkuu, maendeleo azima yawe kila sehemu.
Lakini ukiona unapigishwa mark time na huku sehemu kubwa ya pato lako linaenda kwa mtawala utajisikiaje?
Nimetoa mfano wa barabra ya Igawa -Mbeya, na ile ya kukatisha Jiji la Mbeya, wakati Magufuli akiwa waziri wa Ujenzi na sasa Rais.
Barabara zinaeta ajai kila kukicha na ni barabara muhimu kwend nchi za jirani.
Pale Mbalizi sasa hivi barabara ni One-Way.
One way ya kuelekea na kutoka nchi jirani!!!!!
Hakuna anyepinga kujengwa daraja la Busisi, tena kwa gaharama za kufa mtu.
Lakini tunajiuliza , mizania iko wapi?