chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,835
mikoa gani unahisi inanyonywa mkuuTunakoelekea bora tugawane majimbo kila jimbo lijiendeshe lenyewe maana kwa mfumo huu tulonao ni kama unyonyaji kwa baadhi ya mikoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mikoa gani unahisi inanyonywa mkuuTunakoelekea bora tugawane majimbo kila jimbo lijiendeshe lenyewe maana kwa mfumo huu tulonao ni kama unyonyaji kwa baadhi ya mikoa.
Hahaha kumbe wapo Hadi buzirayombo,mganza?Wachaga bwana...kwa hiyo wanalalamika wanasemaje mkuu? Jamani wonders shall never end..wao waliendelea zamani wanalalamika nini Sasa..mpaka huku kwetu buzirayombo wapo.
Kama Ni matunda ya kazi nzuri za baba Jesca bado wanafaidi tu..mwanza ndio usiseme ndio wanarun the show...na Kahama...Sasa wanalalamika nini hao akina bwashee.
Kikubwa serikali ya baba Jesca Ni serikali ya watu wote..haina ubaguzi wa kikabila,kidini au rangi..haya mengine ni maneno ya mashabiki tu.
Na kikubwa watanzania wenzangu tupendane..na tuvumiliane kwa misingi ya tofauti zetu...nchi hii Ni yetu sote
Ulitaka ijengwe kwenu itilima?CD aliamuru hosipitali ya wilaya ya Mwanga kujengwa kijijini kwake Usangi. Usijitoe ufahamu.
Hakuna hata gavana achilia mbali RAISJe huko kuna rais yeyote awamu yoyote aliyewahi kutokea huko?
Tusijikite katika kuenzi ubguzi wa aina yoyote nchi hii.Wanao lia hapa ooh ubaguz,Ni wale ambao walikuwa wanakula bata miaka ile,kipnd mnakula bata kipindi kile Kuna watu walikuwa wanateseka,Kama nyny mnahisi kubaguliwa kwa ss,Basi ujue kipnd kile pia Kuna watu walibaguliwa na nyny mkala bata.tulieni hivyohivyo dawa iingie.
Hawa ndo wabaguzi namba moja nchi hii.nashangaa wanapiga kelele humu ndani.tulieni nchi ijengwe,kwa maslahi ya taifa lote.Hivi humu si ndio kuna mada lukuki za watu kujidai eti mkoa wetu wa KILIMANJARO unaongoza kwa lami nyingi mpaka vijijini, umeme mpaka kwenye migombani. Na mikoa mingine ikidhihakiwa kwamba ni hohehae.
Sasa tunaanza kulia lia nini wkt Serikali inapambania kuweka usawa wa maendeleo kwa mikoa na maeneo mengne yaliyosahaulika ktk nchi hii?
Tuvumiliane tu, mbio za vijiti ni kupokezana.
Mkuu Kuna wakati unavumilia unashindwa,unaamua kuwajibu sawasawa na wanavyofikili.Tusijikite katika kuenzi ubguzi wa aina yoyote nchi hii.
Mawazo kama haya hayajengi.
Mkuu ukikubali kubagua ujue kuna muda utabaguliwa.Wanao lia hapa ooh ubaguz,Ni wale ambao walikuwa wanakula bata miaka ile,kipnd mnakula bata kipindi kile Kuna watu walikuwa wanateseka,Kama nyny mnahisi kubaguliwa kwa ss,Basi ujue kipnd kile pia Kuna watu walibaguliwa na nyny mkala bata.tulieni hivyohivyo dawa iingie.
Tupige kelele kwa Lipi? Mnaopiga kelele Ni nyie maskiniHawa ndo wabaguzi namba moja nchi hii.nashangaa wanapiga kelele humu ndani.tulieni nchi ijengwe,kwa maslahi ya taifa lote.
Unathubutu kwa wilaya moja ?!. Mbogwe, Nyanghwale, Rorya nk zina nini ?! @ masanjaSiku zote kipande chako cha mkate kikipakwa siagi huwezi kuelewa maumivu ya wenzako. Leo Rais akitoka Kigoma, usishangae kuna watakaosema Kigoma inapendelewa. Mkoa ambao mpaka juzi kati ulikuwa hauna hata KM 50 za lami!
Chato na wilaya nyinginezo pembezoni zilikuwa zimeshahalalishiwa umasikini.
Inawezekana nisikubaliane na yote ya JPM, lakini..bila uthubutu wa viongozi kama JPM kuna mikoa na wilaya humu Tanzania zitakuwa masikini milele!
inakera Sana ,watu walifanyiwa mazuri mpaka wakaanza kujinadi humu,na bado wanafanyiwa mazuri,Cha ajabu wakifaniwa mazuri na wenzao wafanane Kama wao,tayari kwao kero wanaamza kubwata ovyo.selfish selfish you people.Mkuu ukikubali kubagua ujue kuna muda utabaguliwa.
Miaka inaenda na kupanda mbegu za ubaguzi ni rahisi , tatizo utakapovuna maana ni kwa machungu.
Mwalimu aliepuka sana dhambi hii.
Kama unayajua hayo,unalialia nn,si utilize magoda!! Watu wajenge nchi??!! fikra zako zimekaa ki selfishness!!!! Nchi hii hatuhubiri Nani zaidi,tunataka equality.Tupige kelele kwa Lipi? Mnaopiga kelele Ni nyie maskini
Kilimanjaro haina shida za kupiga kelele Kama Ni miundombinu vijijin ndio inaongoza,Kama Ni shule ndio inaongoza Kitaifa,Kama Ni kiuchumi Ni ya pili kwa watu wake kuishi maisha Bora kwa 90% baada ya dar,pole kwa chuki zako pambana na Hali yako maskini wa FIKRA weweView attachment 1699992
Mkuu usipojua historia ya nchi hii utatafuta maadui wa kufikirika na hatimaye kujipandia kambegu ka ubaguzi usio na tija.inakera Sana ,watu walifanyiwa mazuri mpaka wakaanza kujinadi humu,na bado wanafanyiwa mazuri,Cha ajabu wakifaniwa mazuri na wenzao wafanane Kama wao,tayari kwao kero wanaamza kubwata ovyo.selfish selfish you people.
Nan anaepiga kelele Kati ya Mimi na wewe? Una stress pamoja na chuki za inferiority complex wewe karibu ROMBO KILIMANJARO uondoe stess huko migombani hadi maghorofa yapo usiogopeKama unayajua hayo,unalialia nn,si utilize magoda!! Watu wajenge nchi??!! fikra zako zimekaa ki selfishness!!!! Nchi hii hatuhubiri Nani zaidi,tunataka equality.
hakuna kitu kizuri Kama kuwa na moyo wa shukrani.ushauri wa bule.asante,nitakaribia kuja kuposa huko.Nan anaepiga kelele Kati ya Mimi na wewe? Una stress pamoja na chuki za inferiority complex wewe karibu ROMBO KILIMANJARO uondoe stess huko migombani hadi maghorofa yapo usiogopeView attachment 1699998
[emoji106]hakuna kitu kizuri Kama kuwa na moyo wa shukrani.ushauri wa bule.asante,nitakaribia kuja kuposa huko.
[emoji106][emoji106]