Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mkuu sichangii uzi wakoTusiposema sasa mawe yatasema.
Sasa hivi nchi inapitia ubaguzi wa wazi kieneo, ukabila na upendeleo wa wazi kwa sehemu fulani fulani nchini Tanzania.
Haya ni mambo ambayo Tanzania hatukuyazoea wala kushuhudia toka enzi za kupata uhuru.
Mwalimu alijishusha mno na hata hakupendelea kwao kwa jinsi tunavyoshuhudia sasa, mimi Butiama nimefika.
Ubaguzi wa aina yoyote una mwisho si mzuri kwa mustakabali wa Taifa.
Chama kimelala.
Bunge ndio kabisa.
Lakini wahenga wanasema tutavuna tunachopanda.
Ukiwa na akili ndogo, kumwelewa Mwalimu ni kaazi kweli kweli!Sawa mwalimu hakupendelea kwao ila alipendelea maeneo mengine,ndo maana Kuna maeneo tofauti na mara yamekua na maendeleo kuliko mkoa wa Mara toka enzi zake.Usipo wapenda wa kwenu ww ni mtumwa.
Tanga shule siyo sawa na Tabora. Maeneo mbalimbali ya Tanganyika yalikuwa yanapeleka wanafunzi Tabora, halafu wakifaulu wanakwenda Makerere Uni. sasa tueleze upendeleo uko wapi ktk hali kama hiyo.Tanga school
Hapana.Ukiwa na akili ndogo, kumwelewa Mwalimu ni kaazi kweli kweli!
'Of course', 'ukweli" unaowahusu watu wapumbavu!Huo ndio ukweli mchungu
"...wakwenu" ni akina nani, si waTanzania?Sawa mwalimu hakupendelea kwao ila alipendelea maeneo mengine,ndo maana Kuna maeneo tofauti na mara yamekua na maendeleo kuliko mkoa wa Mara toka enzi zake.Usipo wapenda wa kwenu ww ni mtumwa.
Hayo maendeleo angeyaleta yote huku Dar nadhani hii thread isingekupo.... Maana inavyoonekana mzee baba anatakakutuaminisha kua kuna maisha tofauti na Dar Hahahaa...... Ngoja tukawahi viwanja tu huko maana hamna namna Mitano tena....... Tunywe mtori nyama zipo chiniTusiposema sasa mawe yatasema.
Sasa hivi nchi inapitia ubaguzi wa wazi kieneo, ukabila na upendeleo wa wazi kwa sehemu fulani fulani nchini Tanzania.
Haya ni mambo ambayo Tanzania hatukuyazoea wala kushuhudia toka enzi za kupata uhuru.
Mwalimu alijishusha mno na hata hakupendelea kwao kwa jinsi tunavyoshuhudia sasa, mimi Butiama nimefika.
Ubaguzi wa aina yoyote una mwisho si mzuri kwa mustakabali wa Taifa.
Chama kimelala.
Bunge ndio kabisa.
Lakini wahenga wanasema tutavuna tunachopanda.
Tatizo sio unafiki apo..... Tatizo ni anatumia VPN?Tatizo ni huu unafiki wa kushindwa hata kusema tatizo unaloliona na nani anapendelewa. Sema ni nani ili tujadili na kukemea tatizo. Unaogopa hata kusema unachofahamu kwa majina bandia! Cowardice!
Miaka iliyopita sisi tuliposema wachaga wanakusanyana TRA, na CRDB tulipewa jibu la urahisi kwamba wamesoma sana! walikenua meno kwa furaha na kuamini kweli wamesoma.
Leo hii bado wamesoma? Kulikuwa na miaka Wanyakyusa walijaa NIC ya Mwaikambo na NBC ya Nsekela wakasingizia wingi na kusoma. Sijuyi leo wamepungua na hawasomi!
Watu wa Iringa nao sasa hivi wanajionesha na kuhalalisha sababu ya kusoma sana wakati tunajua wanaalikana na hata kuunda vikundi vya kutambulishana. Ujinga umewaanza baadaye watalia midomo wazi maana ubaya makabila machache yanapenda kuishi mikoa ya iringa na Njombe. Wahaya wamesemwa sana lakini hatujawahi kuwaona wakialikana kwenye ofisi au taasisi ya serikali.
Tuseme wazi acha kujidai mwana fasihi wakati unachoeleza unataka kijadiliwe.
Huu ndo ubaguzi sasa maana miaka mingi mikoa kama Dar Arusha,Kilimanjaro,Shinyanga, Mwanza na Iringa(mufindi) imetoa mchango sana wa kimapato ambao umegawanjwa Tanzania nzima.Fikiria mara mbili, iko mikoa tukigawana majimbo itasumbuka sana, mikoa ya kaskazini taabu ni kubwa zaidi, mikoa yenye neema kwa miaka mingi ijayo ni kanda ya ziwa.
Wana Ardhi yenye rutuba, wana maji ya kutosha, sasa hivi wana dhahabu nyingi ya akiba kuliko dhahabu tulio kwisha kuichimba tangu nchi hii iumbwe iko kwao Pole Pole Wilaya ya Sikonge. . Na Almasi ni hivyo hivyo .
Wako wengi ki uchumi maana yake ni soko, na ni watu wa bidii. Hawana kitu Watakosa labda elimu. Na ni naona jitihada ya shule ime ongezeka sana na sio wajinga madarasani.
Tutafute kingeni hiki hakina faida kwetu.
Ni kweli mkuu ila hivi karibuni umepita mto wami? ukaona utatuzi wa tatizo lililokula maisha ya watanzania wengi linavyoshughulikiwa?Hakuna anyepinga kujengwa daraja la Busisi, tena kwa gaharama za kufa mtu.
Lakini tunajiuliza , mizania iko wapi?
ohooo! Ng'wana nani wwe? Kama siyo ng'wana mbate hupati kitu. Nimekumbuka historia chafu ya ukabila iliyoua vyama vya shirecu na nyanza1. Kumbe mkuu alifanya Nyanzano wonder mpaka tunyeTusiposema sasa mawe yatasema.
Sasa hivi nchi inapitia ubaguzi wa wazi kieneo, ukabila na upendeleo wa wazi kwa sehemu fulani fulani nchini Tanzania.
Haya ni mambo ambayo Tanzania hatukuyazoea wala kushuhudia toka enzi za kupata uhuru.
Mwalimu alijishusha mno na hata hakupendelea kwao kwa jinsi tunavyoshuhudia sasa, mimi Butiama nimefika.
Ubaguzi wa aina yoyote una mwisho si mzuri kwa mustakabali wa Taifa.
Chama kimelala.
Bunge ndio kabisa.
Lakini wahenga wanasema tutavuna tunachopanda.
Wakati ule uchagani mnapewa upendeleo wa wazi wazi lami hadi vichochoroni,msuya anajimegea umeme hadi migombani usangi huko,sisi wa mtwara wakati kuiona lami hadi uende Daslam,mliishia kutucheka na kutuona malofa,kutudharau na kutubagua kwa kutuita "watu wa kusini" sasa hivi kibwengo kawatia gunzi kunako mnapiga piga mayowe,pumbavu kweli tulieni,malipo ni hapa hapa duniani.Tusiposema sasa mawe yatasema.
Sasa hivi nchi inapitia ubaguzi wa wazi kieneo, ukabila na upendeleo wa wazi kwa sehemu fulani fulani nchini Tanzania.
Haya ni mambo ambayo Tanzania hatukuyazoea wala kushuhudia toka enzi za kupata uhuru.
Mwalimu alijishusha mno na hata hakupendelea kwao kwa jinsi tunavyoshuhudia sasa, mimi Butiama nimefika.
Ubaguzi wa aina yoyote una mwisho si mzuri kwa mustakabali wa Taifa.
Chama kimelala.
Bunge ndio kabisa.
Lakini wahenga wanasema tutavuna tunachopanda.
Bwege nini!Wakati ule uchagani mnapewa upendeleo wa wazi wazi lami hadi vichochoroni,msuya anajimegea umeme hadi migombani usangi huko,sisi wa mtwara wakati kuiona lami hadi uende Daslam,mliishia kutucheka na kutuona malofa,kutudharau na kutubagua kwa kutuita "watu wa kusini" sasa hivi kibwengo kawatia gunzi kunako mnapiga piga mayowe,pumbavu kweli tulieni,malipo ni hapa hapa duniani.
True.ohooo! Ng'wana nani wwe? Kama siyo ng'wana mbate hupati kitu. Nimekumbuka historia chafu ya ukabila iliyoua vyama vya shirecu na nyanza1. Kumbe mkuu alifanya Nyanzano wonder mpaka tunye
WAKATI KANDA YA KASKAZINI IKIIMARISHWA KWA SHULE NA MIUNDO MBINU MLIKAA KIMYA SASA HIVI TUNATAKA KUBALANCE MIDOMO JUU SEMENI MPAKA MCHOKETusiposema sasa mawe yatasema.
Sasa hivi nchi inapitia ubaguzi wa wazi kieneo, ukabila na upendeleo wa wazi kwa sehemu fulani fulani nchini Tanzania.
Haya ni mambo ambayo Tanzania hatukuyazoea wala kushuhudia toka enzi za kupata uhuru.
Mwalimu alijishusha mno na hata hakupendelea kwao kwa jinsi tunavyoshuhudia sasa, mimi Butiama nimefika.
Ubaguzi wa aina yoyote una mwisho si mzuri kwa mustakabali wa Taifa.
Chama kimelala.
Bunge ndio kabisa.
Lakini wahenga wanasema tutavuna tunachopanda.
Ni kweli mkuu. Niliitwa shirecu kwa interview ya accountant. Nilikuwa na ACCA ya london miaka hiyo ya 90. Jamaa akaangalia vyeti vyangu akaniita chemba akaniuliza maneno ya kisukuma ambayo yapo kichwani hadi leo Ng'wana nani wee sikuwa msukuma na sikuelewa kitu nikafeli na sikuitwa hata kwenye usaili tena. Nikakaa benchi hapo nje hadi saa kumi na mbili jioni. Marafiki zangu wa kisukuma wakaniambia baada kushindwa kutambulika wanatoka kwenye familia gani maarufu walikuwa disqualifed. Akapewa kazi form iv mmoja ambaye alikuwa account clerk wa halmashauri. Very painful.True.
Watu wanafikiri ubaguzi ni wa makabilatu, kuna ubaguzi wa makundi katika jamii.
Watu wanasahau " nyarubanja" huko uhayani.
Ubaguzi ambao ni ukabaila na Mwalimu alupiga vita miaka ya 60.
Kaskazini wapo wengi. Mnapotaja semeni Wachagga. Sidhani kama Wamaasai, Waarusha, Wairaq, Wameru na Wasonjo wapo katika hesabu hizi za kila wakati kaskazini. Stone the devil, avoid just roaming around.Hiyo miradi ingejengwa Kaskazini kusingekuwa na kelele ila kwa vile inajengwa maeneo mengine ya nchi ndo maana mnapanua vidole na midomo. Watu wa Kaskazini ni wabaguzi sana
Aante mkuu kwa huu mfano ambao unatakiwa kuwa eye opener kwa watu ambao wanapinga kuwa kuna ubaguzi.Ni kweli mkuu. Niliitwa shirecu kwa interview ya accountant. Nilikuwa na ACCA ya london miaka hiyo ya 90. Jamaa akaangalia vyeti vyangu akaniita chemba akaniuliza maneno ya kisukuma ambayo yapo kichwani hadi leo Ng'wana nani wee sikuwa msukuma na sikuelewa kitu nikafeli na sikuitwa hata kwenye usaili tena. Nikakaa benchi hapo nje hadi saa kumi na mbili jioni. Marafiki zangu wa kisukuma wakaniambia baada kushindwa kutambulika wanatoka kwenye familia gani maarufu walikuwa disqualifed. Akapewa kazi form iv mmoja ambaye alikuwa account clerk wa halmashauri. Very painful.